mtu

  1. Hyrax

    Kabla hamjaanza kufanya mapenzi ni vyema kila mtu azime simu yake

    Kuzima simu kabla ya tukio la kufanya mapenzi kutakusaidia kukuepusha na mambo mengi sana yaliyo nje ya uwezo wako nakumbuka tukio lililowahi kunikuta 2020 pisi imeingia hoteli niliyolipia laki mbili na nusu kwa usiku huo mbaya zaidi chakula changu kala tena cha bei tumeingia room ili tuanze...
  2. Komeo Lachuma

    Israel yapiga maeneo kama 100 hivi ya Hezbollah. Safari hii hakuna kumswalia mtu yeyote

    Tumekuwa na wakati Mgumu sana ndugu zanguni. Wakati ule anapigwa Hamas tulisema ajaribu kwa Hezbollah. Atakiona cha mtema kuni. Walipomalizana na Hamas wakaanza na Hezbollah. Wakawapiga kinyama. Wakatamani na Iran. Iran akachokozwa akaingia kwenye mfumo. Tukaanza kuwashabikia Iran kuwa sasa...
  3. Mtoa Taarifa

    Derick Derick Junior aliyemjeruhi mtu kwa Bastola (Club 1245) aachiwa kwa Dhamana

    Mtu mmoja aliyedaiwa kuwa ni Afisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Derick Derick Junior (36) amefikishwa katika Mahakama ya Kinondoni akikabilia na mashtaka mawili ikiwemo kutishia kwa silaha. Mshtakiwa amefikishwa mahakamani hapo leo, huku akisomewa mashtaka yake mbele ya Hakimu Mkazi...
  4. JanguKamaJangu

    LGE2024 Pwani: CHADEMA wamsaka Mgombea aliyechukua Fomu Kibaha, wadai sio Mtu wao

    Zoezi la kuchukua fomu za kugombea nafasi ya Mwenyekiti na Wajumbe wa serikali ya mtaa kwenye Mtaa wa Mailimoja B halmashauri ya Mji wa Kibaha Mkoa wa Pwani limelazimika kusimama kwa zaidi ya masaa matatu baada ya wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA ) kufika kwenye ofisi hiyo...
  5. Randy orton

    Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?

    Picha: Hayati Rais Magufuli enzi uhai wake This is a special thread and a tribute to the late J.P.M. Najua tupo katika kipindi cha masikitiko kama taifa, Jemedari wetu amefariki dunia, kama lisemavyo neno la Mungu katika kitabu cha biblia kuwa mfalme hawezi kuokolewa kwa na jeshi lake kubwa...
  6. L

    Kuna uhusiano gani kati ya kupokea zawadi kutoka Kwa manabii na mtu kupotea kimaisha

    Tumeshuhudia anguko la goodluck gozbert baada ya kupokea zawadi kutoka Kwa nabii mkuu ..tutarajie Nini baada ya dada yetu mpendwa shusho kupokea million kumi kutoka Kwa nabii mkuu pamoja na dada yetu huyo kusemekana kuishi kinyumba Kwa muda na mtume maarufu wa kuuza mafuta ya upako... Jamani...
  7. covid 19

    Tahadhari kwa Iran: Usijibu Mtego wa Israel

    Kama kuna mtu yupo karibu na Rais wa Iran, Ayatollah, amfikishie ujumbe huu: Asithubutu kujibu mashambulizi ya Israel – huu ni mtego wa hatari! 1️⃣ Mpango wa Kimkakati wa Israel imeanza na mkakati wa kuwadhoofisha washirika wake wa karibu, makundi ambayo yamekuwa tishio kubwa kwake. Baada ya...
  8. Detleff

    Maisha yana safari ndefu. Pambana kila muda, relax kula maisha. Usiweke umuhimu wa mtu yoyote kabla yako!

    Habari wanajukwaa! Nimefurahi kwamba wote muwazima, kwa wale wagonjwa nawaombea kwa Mwenyezi Mungu, kwa wale wasio na dini mpone haraka. Sitakuwa na mambo mengi ya kuandika, jambo ni moja tu! Kwenye haya maisha tupambane kila siku, ila tusisahau ku-relax na ku-flex kistaarabu baada ya...
  9. Yoda

    Kigwangalla aambiwe amefika alipofika kwa mbeleko zaidi, aache kudharau vijana mafukara.

    Huyu mwanasiasa huwa anajiweka hustler mpambanaji sana wakati kila mtu anajua amefika hapo alipo kwa mserereko na kubebwa, mzazi wake alikuwa mtu wa chama, kuupata ubunge mara ya kwanza yeye mwenyewe alishindwa kura za maoni akabebwa na baadaye jimbo likagawanywa ili aendelee kubaki mbunge...
  10. Mwamuzi wa Tanzania

    Mimi nikimwangalia mtu miguuni jinsi alivyovaa viatu na kichwani jinsi alivyo napata jibu moja kwa moja naongea na mtu wa namna gani

    Kujua mazingira ya mtu anayoishi. Kujua uwezo wa mtu kichwani. Kujua tabia ya mtu. Natazama hair style na shoe style ya mtu baaasi. Wewe unatazama nini?
  11. Mwamuzi wa Tanzania

    Kuwa maskini Tanzania ni chaguo la mtu mwenyewe. You can choose to die poor

    1998 nikiwa na miaka 12 kijijini kwetu alikuja kijana mmoja kutoka mkoa mwingine, alikuja kutafuta maisha. Alisema baada ya miaka 10 atawapa watu vibarua. Alifika hana kitu, kibarua chake cha Kwanza alilimishwa na Doni mmoja pale kijijini kwa makubaliano ya kupewa baiskeli used phoenix...
  12. matunduizi

    Hiki ndicho kinatakiwa kuwa kiwango cha chini kabisa cha imani ya mtu ambaye bado anaingia nyumba za Ibada

    Kutoogopa au kuzungumzia mapepo, wachawi, majini kwa aina zake. Cha ajabu, mapambano dhidi ya haya madubwana ndio imegeuzwa kuwa kigezo cha ubora wa imani. Kama wasiamini Mungu (atheists) kwa aina zao wanaonyesha ujasiri wa kuyapuuza na hata kutoyazungumzia au kuyapa promo wanaomcha Mungu na...
  13. Mtoto wa nzi

    LGE2024 Uandikishaji Wapiga Kura Serikali za mitaa: Mtendaji na Mwenyeki watakiwa kuonyesha alipo Mke wa Mtu.

    Imetokea Mara huko ..Baada ya Mume kuona jina la Mke wake katika orodha ya wapiga kura ingali kuwa Mkewe amepotea kijijini hapo zaidi ya miaka mitatu na alitoa taarifa Kwa Serikali ya Kijiji na Mtendaji. Sema kimeumanaaaa. . Pameshaanza kuchangamka mapema hivi ... Asee CCM Sasa wanaiba mpaka...
  14. C

    YESU NI MTU AU NI NAFSI NYINGINE?

    Wanajukwaa naomba mnisaidie hili,hivi yesu ni mtu au ni nafsi nyingine yenye nguvu.Nimepitia baadhi ya sifa chache za yesu lakini nimeshindwa ku conclude kama ni mtu tu. Baadhi ya sifa zake nilizozipitia ni kama ifuatavyo hapa chini: 1. Kazaliwa na Bikira na hakuwa na baba 2.Ni neno toka kwa...
  15. aise

    Basi la Mwendokasi limeua mtu Kariakoo, Dereva Bodaboda wamshambulia Dereva wa Mwendokasi

    Habari ya mchana wakuu, niko hapa maeneo ya kariakoo kuna ajali imetokea gari ya mwendokasi iliyokuwa inaendeshwa na mwanamke imemgonga mtu na mwili kusagika hapo hapo, inasemekana huyu ni mtu wa tatu anagongwa na kufa hapo hapo na huyu mwanamke. Mwenye maelezo zaidi kuhusu huyu mwanamke...
  16. Bi zandile

    Usimwonee Wivu Mtu yeyote

    Katika nchi hii kuna watu hujui wanapambana na nini. Usidanganywe na jinsi baadhi ya wasichana wanavyojipiga picha na kupost makalio yao kwenye mitandao ya kijamii. Wengi wao huwa wamevunjika moyo tu. Kupitia picha hizo huwa wanatuma ujumbe kwa wale waliowakataa. Usidanganywe na wanaume...
  17. mr pipa

    Ukimkopesha mtu laki tatu kushuka chini wewe tegemea umemsaidia wewe unazani atafanyia nini?

    Huwa nashangaaga sana taasisi, watu binafsi, kausha damu, kwanini umkopeshe mtu hiyo pesa alafu utegemee akulipe hebu vaa viatu vya mkopaji unamkopesha mtu elfu 50 alafu unakaa wiki mbili zikipita unategemea malipo? Ni biashara gani atafanya apate faida akupe hiyo elfu hamsini muwe na huruma...
  18. T

    Je mwanamke ni mtu duni wa fikra katika uongozi?

    Kwa muda mrefu wamekuwepo watu wanaoamini uongozi unahitaji nguvu za misuli na kutokana na misuli ya mwanamke kuwa dhaifu kuliko ya mwanamume sio busara kukabidhi uongozi kwa mwanamke. Watu hawa hawaelewi kwamba uongozi ni kuonyesha watu njia nzuri, bali wapo wengine wanaoweza kuwapeleka...
  19. The Mongolian Savage

    Wamebakia kujifariji kila mtu atakufa sijui ni Ideology.

    Yeeeerrrrreeeeh! He is dead. Kafa ama hajafa? Hamas sympathisers sasa hivi wanajifariji wakiwa na maumivu makali ooh kila mtu atakufa sijui Hamas ni ideology. Kwani nani hajui kila mtu atakufa nyie? Kafa ama hajafa? Asante Israel kwa kuwalipizia vijana wetu wapendwa kisasi. R.I.P and the...
  20. excel

    Mkuu, huyo mtoto wa mtu unayelala nae kimya kimya siku asipoamka hakuna mtu atakuelewa hapo mtaani

    Mi nakwambia ukweli kabisa Haya mapenzi haram unayofanya kila siku kwa kuwaleta watoto wa watu Geto kwako wanalala na wewe kisha alfajiri unawarejesha kwao... Ipo siku yako nakwambia! Mtoto wa watu akifia geto kwako, hakuna mtu atakuelewa hapo, we waone tu wanakuchekea na kukupa sifa... eti...
Back
Top Bottom