Nimeweka tangazo kama linavyosomeka namba zilizotumika ni namba za UVCCM dar es salaam .
Inaonekana vijana walio uvccm watapewa kipaumbele kwenye hizo ajira
Huu ni mchezo ambao haukabiliki haiwezekanu tukaungiza siasa kwenye Ajira .
Kua UVCCM haiwezi kukupa uhakika was Ajira tunaomba haki...
Ukifuatilia mitandao ya kijamii utagundua CHADEMA ndicho chama chenye wafuasi au wapambe wengi sana katika mitandao ya kijamii nchini, katika hili utakosea sana ukifikiri uwakilishi mitandaoni unawakilisha uhalisia nje ya mitandao( kwa ground).
Maandamano yakiitishwa na viongozi wa CHADEMA...
Habarini
Huyu jamaa nasikia anamiliki king d auto spares, huenda labda anamiliki king d hotel ya sinza
Hizi pesa nyingi watu wanazipataje wakuu.🤔mtu mwenyewe haendani na pesa anazomiliki, mtu amevaa suti ila suruali amepiga mlege😁
Lugumi muonekano wake unaendana na pesa anazomiliki ila sio...
Nionavyo mimi:
1) Naendelea kusikiliza na kusoma wanayosema baadhi ya vijana wa chama cha siasa, aina ya kauli wanazotumia dhidi yao wenyewe, inasikitisha sana.
Hakuna sababu ya kufanya hivyo. Kuna haja ya kufanya "harmonisation" au "coexistence of the two sides".
2) Kwa upande mwingine, ni...
Nataka kufahamu km kuna usalama wa akaunti baada ya kununua BIDHAA kwa kutumia MASTER CARD za bank km NMB, CRDB nk kwenye mitandao km ALIEXPRESS, ALIBABA nk.
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Tundu Lissu akiwajibu wanachama wa chama hicho wanaomshambulia mitandaoni kuelekea uchaguzi wa ndani wa Chama hicho.
Katika Harakati za Kujamiana na watu mbalimbali kwenye mitandao basi nikapata binti mmoja nikamwelewa sana Ila siku ya appointment picha alizotuma na mwana dada niliyekutana nae ilikuwa ni ardhi na mbingu
🤣Dah filter ipigwe fine wazee
Vipi kwenu, wadau ilikuaje mpaka ukasema hutaki tena...
Baadhi ya wanajamii husababisha raia wenzao kushindwa kusema ukweli unaowahusu. Hii husababishwa na mtazamo hasi kutoka kwa jamii husika.
Utakuta kwa mfano mtu anapitia changamoto fulani na angependa kuizungumzia ili kupata msaada au kuwasaidia wengine kujifunza; mtu huyo itambidi atumie nafsi...
Pamoja na sheria ya mikopo ya mitandaoni kusainiwa, lakini bado kuna baadhi ya vijikampuni vinatoa siri za wateja wanapochelewa kulipa kwa kutuma msg za kumdhalilisha mkopaji, kwa watu ambao wapo kwenye simu yake hii ni kinyume na sheria ilisainiwa.
Tungependa kupata muongozo sahihi kwa watu...
JamiiForums imeendesha mafunzo ya siku 2 kwa watumishi na viongozi wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (CHRAGG), yakijikita katika Ushirikishwaji wa Umma, Mbinu za Upigaji Picha, Mawasiliano Salama, na Usalama wa Kidigitali.
Mafunzo haya yalilenga kuwapa washiriki ujuzi muhimu wa...
BOT walitoa tamko kutoitambua baadhi ya kampuni za mikopo online,nakuelekeza ziache operations zake.
Mbona bado zinafanya kazi na msg bado zinatumwa Kwa watu? Hii inamaanisha nini wakuu?
PIA SOMA
- BoT yakataza rasmi kampuni za mikopo mitandaoni kuchukua mawasiliano ya wateja ili...
Unyanyasaji wa Mtandaoni, unazidi kuwa tishio kubwa kwa watoto kila mahali duniani. Dalili zake mara nyingi hazionekani moja kwa moja, lakini zinaweza kufahamika iwapo kirahisi kama tu mzazi au mlezi utaweka umakini kwa mwanao.
Mtoto aliyeathirika anaweza kuonekana mnyonge au mwenye huzuni kila...
Mfani rj45 connector ni 200 madukani ikizidi 500, mtu anauza 1500 au 2000
Kifaa ambacho dukan ni elf 65, mtu anaweka 120,000. Kifupi wanaweka bei mara mbili ya inavyokua kawaida, watu wanatamaa sana.
Habari wana JF,
Nina mpango wa kuanzisha biashara ya kuagiza nguo za special za kupoint kutoka kwa wauzaji mbalimbali mtandaoni, hasa kwenye mitandao kama Alibaba. Hii ni biashara ambapo nitachagua nguo chache chache kutoka kwa wauzaji tofauti, badala ya kuagiza kwa wingi.
Ningependa kujua...
Benki Kuu ya Tanzania inapenda kuufahamisha Umma kuwa imebaini kuwepo kwa Majukwaa na Programu Tumizi 'Applications" zinazojihusisha na utoaji wa mikopo kidijitali bila ya kuwa na leseni na idhini kutoka Benki Kuu ya Tanzania.
Aidha, Majukwaa na Programu hizo zimeshindwa kukidhi matakwa ya...
Jeshi la Polisi limemsafirisha kwenda jijini Dar es Salaam mfanyabiashara wa mtandaoni, Jenifer Jovin maarufu Niffer baada ya kujisalimisha polisi jana.
Mfanyabiashara huyo alijisalimisha kwa Jeshi la Polisi jana baada ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kuagiza Jeshi hilo kumhoji kwa kosa la...
Ndo maana mimi sio muumini wa hizi takwimu za WB na IMF kuhusu hali ya maendeleo. Nchi tajiri kama Brazil kuwa na barabara kama vile DRC inashangaza.
https://www.facebook.com/share/r/poog7wqSU6Y4K2Dp/
Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imesema kati ya maombi 16 ya ‘aplikesheni’ yaliyopokelewa kwa ajili ya kutoa mikopo mtandaoni, manne pekee ndiyo yamekidhi vigezo na kupewa leseni za kukopesha, huku aplikesheni 55 zikikabidhiwa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ili ziondolewe mtandaoni.
Meneja...
Unatafuta njia ya kubadilisha ujuzi wako kuwa pesa?
kupitia Ujuzi wa graphics design unaweza kupata kipato online.
Kama umewahi kufikiria jinsi ya kufanya kazi unayoipenda, ukiwa na uhuru wa kuifanyia mahali popote, basi makala hii ni kwa ajili yako.
Katika ulimwengu wa leo, ujuzi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.