mpangaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Chief Kumbyambya

    Nimemtongoza mpangaji mwenzangu kanikataa halafu ananipigia taarabu

    Toka jana anapiga taarabu za vijembe na kujisifu wanavyopendana ka bwana kake na mimi nikaona isiwe kesi, nikadownload ngoma moja ya jamaa wa Kenya anaitwa alvindo nimbo inaitwa Taka Taka. Inasema... Unakataa kuwa demu yangu naenda kwa mrogi nakuroga unakufa... Na nakuja kwa mazishi yako...
  2. Waufukweni

    Morogoro: Mpangaji afungiwa ndani Saa 27 na Mmiliki wa nyumba kwa madai ya kukiuka Notisi ya kuhama

    Wakuu, huu ni Uungwana kweli? Huko Marogoro mwenye nyumba kamfungia ndani saa 27 mpangaji kisa amekiuka notisi Katika hali isiyokuwa ya kawaida, mmiliki wa nyumba Plot namba 149 BLOCK ‘A’ Kihonda Kilimanjaro, Dk. Lusako Mwakiruma ilioyopo Mtaa wa Kilimanjaro Manispaa ya Morogoro, amemfungia...
  3. Osei Tz

    Kodi ya Fremu alipe directly mmiliki wa Frem na sio mpangaji

    Ukifungua biashara ukienda TRA ili wakokotoe kiasi cha kodi unachopaswa kulipa lazima wakuulize umepanga frem ya bei gan, Ile thaman ya frem kwa mwaka wanakokotoa asilimia ambazo ndio kodi ambayo kimsingi ilibidi ilipwe na mmilik wa frem au Jengo. Pointi ni kwamba wamilik wa majengo au frem...
  4. ndege JOHN

    Mkeo akikupa taarifa ya mpangaji mwenzenu wa kiume kumuomba namba utachukua hatua gani?

    Kwa mfano kuna mpangaji mpya amewasili mnapoishi ila baada ya mwezi akamuomba namba ya simu mkeo kwa siri kwamba lengo wewe usijue tena alivyo mshamba akatumia kimemo na ushahidi upo wa kimemo na mkeo akamnyima na akaja kukusimulia wewe ila kwa kuogopa kugombanisha mpangaji na mkewe akakuomba...
  5. Dr Matola PhD

    Anahitajika mpangaji wa nyumba kwa taasisi au Dispensary, nyumba ipo Kinyerezi mwisho.

    Anahitajika mpangaji binafsi au taasisi kwa ajili ya kupanga nyumba kubwa yenye fence kubwa ya viwanja viwili double vya low density. Eneo ni Kinyerezi mwisho bomba la Songazi ni mita kama 200 kutoka barabara kuu lami. Matumizi unaweza kufanya ofisi au Dispensary itategemea na plan za...
  6. Mjanja M1

    Baba mwenye nyumba na mpangaji (Confession)

    Mpangaji akimuongelea Baba mwenye nyumba, Mwenye Nyumba akimjibu Mpangaji Kazi kweli kweli!
  7. Aliko Musa

    Suluhisho la Manyanyaso Ya Bi.Mwajuma Dhidi Ya Mpangaji Wake Bwana Hassan

    Siku moja nilipigiwa simu na msomaji wa makala zangu za mtandao wa UWEKEZAJI MAJENGO. Msomaji wangu huyu alijitambulisha kwa jina la Hassan. Maelezo yake yalikuwa kama ifuatavyo: Kulikuwa na mwenye nyumba anayejulikana kwa ukatili wake dhidi ya wapangaji. Jina lake ni Bi. Mwajuma, mwanamke...
  8. rajiih

    Hii mvua inaniletea tamaa ya kutaka kumla mpangaji mwenzangu ila nafsi inasita

    Habari wana JF poleni na Mvua kubwa zinazoendelea kunyesha kote Nchini Kuna mdada amehamia katika Room inayofuatana na yangu sasa toka amehamia tunaishi poa sana kiasi hata nikiomba mzigo sahii ananipa. Sasa juzi kamerudi kamelewa kakaniomba nikasaidie kufungua mlango wake sikustuka kumuona...
  9. Mjanja M1

    Unajisikiaje kuona Mpangaji mwenzio akiingiza wanawake kila mara?

    Umepanga mahali, halafu kila siku unaona Mpangaji mwenzio anaingiza Malaya ndani kwake. Unajisikiaje wewe kama Mpangaji? NB: UNA MKE NA WATOTO.
  10. Mlundilwa Jr

    Mpangaji mwenzangu amehama kisa shughuli zangu za kiuchumi zinamkera

    Wakuu habari, Mpangaji mwenzangu amehama kisa shughuli zangu zinazoniingizia kipato zinamkera. Nikawaida kukuta kwenye hizi nyumba za kupanga kukuta watu wakifanya shughuli mbalimbali za kuwaingizia kipato ili maisha yaendelee na kuweza kulipa kodi. kuna wengine ktk hizi nyumba za kupanga...
  11. Kaka yake shetani

    kodi ya jengo kuweka kwenye malipo ya kununua umeme ni kumuonea mpangaji

    huku tukisubiria chuo cha uchambuzi wa michezo ,leo kwa wale tulioponga kwenye biashara ua makazi swala la mpangaji kuwajibika kodi ya jengo kwenye umeme ni kama walijifikiria wao wenye nyumba zao ambao ndio wapo bungeni na mishahara minono. mnakamua 1500
  12. OKW BOBAN SUNZU

    Natamani kila mpangaji angekuwa kama nilivyokuwa mimi

    Nilihamia kwangu mwaka 2016. Kabla ya hapo nilipanga nyumba ya mama mmoja mstaafu. Yule mama alikiri hakuwahi kupata mpangaji kama mimi. 1. Kodi alitaka nilipe kwa miezi mitatu lakini nilikuwa namlipa kwa mwaka mzima. 2. Mara nyingi nilikuwa nalipa kodi kabla haijaisha. Nikishapata hela isiyo...
  13. Bull Bucka

    Ni sahihi mwenye nyumba kumwekea mpangaji sharti la aina ya wageni wanaomtembelea?

    Jijini Dar es Salaam na maeneo mengine nchini Tanzania, suala la makubaliano kati ya mwenye nyumba na mpangaji ni jambo la kawaida. Makubaliano haya hujumuisha mambo mengi kama vile kodi, malipo ya huduma za nyumba, na masuala mengine yanayohusiana na kukaa kwenye nyumba ya kupanga. Hata hivyo...
  14. LIKUD

    Kisa cha mpangaji mjaluo aliyewageuka wenye nyumba alizopanga na kuzichukua yeye mahakamani

    Leo nimekutana na binti wa mjaluo huyo na kugundua kwamba kumbe ameshafariki tangu 2015. Nilimfahamu mjaluo huyu mwaka 2005 au 2006 hivi alikuja kupanga nyumbani kwetu. Mshua wangu hakuwahi kumfahamu vizuri mjaluo yule. Ni hivi huyu mjaluo ambae kazi yake ilisemekana ilikuwa ni uvuvi...
  15. maksaidy

    Ninahitaji chumba cha kupanga

    Habari zenu ndugu zangu wa jf 🖐, Mimi shida yangu kubwa iliyonileta hapa ni uhitaji wa chumba cha kuishi maeneo ya kigamboni ila kisiwe mbali sana na kivuko cha feri. Sababu iliyopelekea kuja kuomba huku ni baada ya kuhangaika bila mafanikio, ila nina uhakika wakupata chumba moja kwa moja...
  16. Yoda

    EWURA kuwa mpangaji wa bei ya mafuta katika soko huria itazamwe upya

    Kwa nini serikali inapanga bei za mafuta katika uchumi wa soko huria kupitia taasisi yake ya EWURA? Hili wazo la kuipa taasisi ya kiserikali jukumu la kibiashara kuwapangia bei wafanyabiashara binafsi lilitokana na sababu zipi za msingi na limekuwa na manufaa gani mpaka sasa kwa walaji wa...
  17. R

    Nani anapaswa kulipa hela ya udalali kati ya mwenye nyumba na mpangaji?

    Wakuu, Katika harakati za kutafuta nyumba kwa ajili ya shughuli mbalimbali madalali wamekuwa wakitumika kufanikisha jambo hilo. Wenye nyumba hutafuta madalali ili kuweka wepesi katika kupata wateja, na imekuwa rahisi kwa wapangaji kufikia maeneo hayo kirahisi kupitia madalali. Ambapo, baada ya...
  18. lusanasaimon

    Huyu mpangaji mwenzangu nashindwa kunielewa

    habari za leo I hope nyoote hamjambo. wakuu kwa wale wenzangu na mimi ambao bado tunajitafuta yaani tunaishi kwenye nyumba za kupanga mnawezaje kuishi na wapangaji wenzenu wanaotaka kujua maisha yako kindaki ndaki? iko hivi mimi ni kijana na nina miaka 26, na nina mke japo hatujapata mtoto na...
Back
Top Bottom