Mkuranga is one of the six districts of Pwani Region in Tanzania. It is bordered to the north by Dar es Salaam, to the east by the Indian Ocean, to the south by Rufiji District, and to the west by Kisarawe District.
According to the 2002 Tanzania National Census, the population of Mkuranga District was 187,428. [1]
Naona bwana mkubwa Ulega anaendelea kujitengenezea mazingira ya uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2025. Yani yupo tayari kusomesha wanafunzi.
Haya tunasubiri tuone itakuwa mwendelezo au ndiyo lambisha utamu wa asali tu kwa muda. Muda utaongea vizuri!
===================
Mbunge wa Mkuranga mkoani...
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega (Mb) ametangaza rasmi kuanza kwa mchakato wa upanuzi wa barabara kutoka Rangi Tatu hadi Mkuranga, baada ya kupata kibali kutoka kwa Rais Samia Suluhu Hassan.
Waziri amesema upanuzi wa barabara hiyo umekubalika ili kuondoa msongamano mkubwa unaosababisha adha kwa...
Wakuu leo nadhani ni siku yangu nyingine kutumia gharama kubwa kutoka mbagala rangi tatu hadi mzinga.
Kiukweli kuna namna naona serikali inachukulia poa hili jambo.
Ni serikali ambayo imesupport wilaya ya mkuranga kuwa na viwanda vingi bila kurekebisha miundo mbinu.
Ni ombi langu hili...
BASHUNGWA AKAGUA NA KUZINDUA MIRADI MKURANGA - PWANI.
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amezindua jengo la utawala katika Shule ya Sekondari ya Mwandege lililojengwa na kukamilika kupitia fedha za mapato ya ndani ya Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga lililogharimu kiasi cha Shilingi Milioni...
Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kudai majengo ya Hospitali yaliyopo Kijiji cha Hoyoyo, Wilayani Mkuranga Mkoani Pwani yametelekezwa licha ya kukamilika kwa ujenzi na kuwa Wananchi wanalazimika kwenda umbali wa Kilometa 7 kupata huduma ya afya, ufafanuzi umetolewa.
Kusoma hoja ya Mdau...
Mimi ni Mwanakijiji wa Hoyoyo, kilichopo Mkuranga Mkoani Pwani, miaka kadhaa nyuma tulipata ugeni wa kutembelewa na Mke wa Rais Kikwete, Salma Kikwete wakati huo JK akiwa bado yupo madarakani.
Mgeni wetu huyo akatoa ushauri kuwa kama tuna maeneo tufanye mchakato wa kujenga Hospitali...
Diwani wa Kata ya Mbezi, Wilayani Mkuranga Mkoani Pwani, Rashid Selungwi ameumwagia sifa Mtandao wa Wasanii Tanzania (SHIMWATA) kuwa ni wageni wema Kijijini Mwanzega, zilipo nyumba za Wasanii, wanamichezo na Waandishi wa Habari.
Wema wa Shiwata kijini hapo ni kuendeleza maendeleo ya jamii na...
Hapana shaka afya za wakazi wa Dar es Salaam na Pwani, zipo hatarini. Hii ni kutokana na kuuziwa matunda yanayookotwa katika Dampo hili ambalo wenyeji wa maeneo husika ya Kata ya Vikindu, Mkuranga mkoa wa Pwani, wanaamini mmiliki wa Dampo ni Bakhresa Group. Matunda yanayotupwa hapa, huokotwa na...
Hali ilivyo barabara ya Tambani Mkuranga inayopita Mbande (Temeke) kwenda Kitonga(Ilala) tangu mwezi wa 1 haina marekebisho wala haipitiki na imekatika kabisa. TARURA Mkuranga na Mkurugenzi wa Mkuranga mmekaa kimya.
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema kuwa Serikali kupitia Wakala wa Barabara (TANROADS) imejipanga kuhakikisha inarejesha mawasiliano ya barabara zote na madaraja yanayoharibiwa na mvua zinazoendelea kunyesha ndani ya muda mfupi pindi yanapoharibiwa.
Aidha, Bashungwa amewaelekeza...
Mwanzoni Miaka ya 2000 kila mvua iliponyesha wakati wa kuvuka Barabara tulikuwa tunalazimika kuvua viatu na kukunja nguo kisha tunavuka.
Miaka zaidi ya 20 baadaye hali tuliyoizoea kuvuka kwenye maji kila mvua inaponyesha ndio ileile.
Miundombinu yetu wakazi wa Mkuranga kwa asilimia kubwa ni...
Sisi wananchi wa Mwarusembe eneo zima la Kinene hatuna umeme kwa mwezi moja sasa na kila tukitoa ripoti inapuuzwa, kutumiwa ujumbe taarifa imefanyiwa kazi na hali ya kuwa bado, tupo mkoa wa pwani, wiraya ya Mkuranga kata Mwarusembe mtaa wa Kinene.
Hii ndiyo Taarifa mpya ya sasa kama ilivyoripotiwa na MwanaHalisi Digital .
Husein Mwinyi ambaye ni Rais anadai wanaoeneza hilo wamelenga kumdhoofisha kisiasa (Hakufafanua kwamba watamdhoofishaje na wala hakusema Mzee kuzikwa Zanzibar kunamuimarishaje) na wala hakusema pia kama Mzee Mwinyi...
Mahakama ya Wilaya ya Mkuranga, imemhukumu kifungo cha maisha jela, aliyekuwa mwalimu wa Shule ya Msingi St Mathew iliyopo Kongowe, Livingston Kyarwenda (40), baada ya kupatikana na hatia ya kumlawiti mwanafunzi wake mwenye umri wa miaka tisa.
Kyarwenda, mkazi wa Mbagala Chamanzi anadaiwa...
Miaka ya 2000 nakumbuka kipindi hicho Sheikh Nurdin Kishk alikuwa kiboko ya bidaa basi nikawa napenda sana kuangalia kanda zake. Siku hiyo kwenye 2008-2009 nikaenda Dar kurudi nikarudi na cd za mafungu za kutosha nikawa naangalia kwa kina fulani ambaye ni rafiki yangu wa damu
Miongoni mwa kanda...
Leo tarehe 01/07/2023, nilienda kutembelea shule ya sekondari yenye kidato cha I-vi Nasibugani high school , shule hii ipo tarafa ya Kisiju, kata ya Msonga halmashauri ya wilaya ya Mkuranga mkoani Pwani, ipo km 48 toka halmashauri ya wilaya ya Mkuranga, kijana wangu amechaguliwa kusoma tahasusi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.