Mkaguzi Kata ya Kisangura Wilayani Serengeti Mkoa wa Mara Mkaguzi Msaidizi wa Polisi A/Insp Genuine Kimario ametoa viti mwendo kwa wananchi wahitaji.
Mkaguzi huyo amebainisha kuwa ameendelea kutoa viti mwendo hivyo kutokana na changamoto aliyoikuta kwa wananchi anao wahudumia ambapo aliwaomba...
Mwenge ulitakiwa kuisha tokea kipindi cha nyerere. Ila naona mwenge ni kumaliza pesa za walala hoi tu.
Majukumu ya mwenge ni yamebeba majukumu ya mkaguzi mkuu ambayo ni wajibu wake. Mwenge unafata nini tena unachukuwa machokoraa wa ccm
Ripoti hii ya mashirika ya umma kwa mwaka wa fedha 2022/23 imetolewa kwa mujibu wa Ibara ya 143(4) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 na Kifungu cha 34 cha Sheria ya Ukaguzi wa Umma, Sura 418.
Ripoti hii imeangazia matokeo ya ukaguzi na mapendekezo ya hatua stahiki za...
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) hufanya ukaguzi wa matumizi ya fedha za umma ili kuthibitisha matumizi yamefanywa kwa mujibu wa sheria na kanuni husika na kuna uwazi katika matumizi ya fedha hizo.
Ufuatiliaji wa uwasilishwaji wa ripoti hizi ni muhimu kwa wananchi ili...
Alimwambia Hayati Magufuli kuwa anamshukuru yule Mfungwa Albino Kumsemea/ Kumchongea kwake ( akiwa Rais wa JMT) kwani KUMEMUINUA MNO Kiumaarufu na Kiutendaji.
Yaani nimejikuta NACHEKA sana hasa Uso wake ulivyokuwa Mkavu, Sura Ngumu huku akiomba Msamaha kama Mtoto Mdogo zilizokuwa zikisindikizwa...
Mkaguzi kata Mkiwapa Elimu watoto mtatengeneza Jamii Isiyo na uhalifu, atoa madaftari kwa Salim.
Mkaguzi Kata ya Kerege, Mkaguzi Msaidizi wa Polisi, Suleiman Ameir amewataka wazazi wa kata hiyo iliyopo Wilaya ya Korogwe Mkoa wa Tanga Kuhakikisha watoto wanapata elimu ambayo itawakomboa kifikra...
Nimemsikiliza sana kwa maakini taarifa ya Mhe. Mpina kuhusu ubadhirifu uliofanywa na Mhe. Mwigulu - Waziri wa Fedha, Mhe. Prof. Mbarawa aliyekuwa Waziri wa Ujenzi na sasa Waziri wa Uchukuzi, na Meneja Mkuu wa TRC Ndugu Kadogosa kwa ubadhirifu mkubwa walioufanya kwenye Mradi wa SGR.
Kama yale...
Baraza la Mawaziri limeidhinisha Muswada wa Marekebisho ya Ukaguzi wa Umma 2023, hatua inayolenga kuimarisha uhuru na uwazi wa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu.
Rais William Ruto alitoa tangazo hili wakati wa hotuba yake katika tukio la Siku ya Kodi ya Mamlaka ya Mapato ya Kenya, akifichua...
"Ripoti kutoka Afisi ya Msimamizi wa Bajeti inaonyesha taswira yenye kiza kutokana na takwimu zinaonesha kuwa asilimia 83 kubwa ya mapato yote yaliyokusanywa na serikali yametumika kwa malipo ya deni.
Msimamizi wa Bajeti, Bi. Margaret Nyakango, ambaye alijitokeza mbele ya Kamati ya Bajeti na...
Ripoti iliyotolewa na Mkaguzi Mkuu wa Serikali ya Kenya imefunua ufisadi mkubwa, udanganyifu, na utendaji mbovu katika kampuni za maji na usafi unaofanyika katika mikoa mbalimbali.
Ripoti hiyo imebaini kwamba licha ya kuwa ni jukumu la ugatuzi, kampuni za maji na usafi katika mikoa mingi...
Mwaka 2015 mhesmiwa Mbowe ilichukua na kufufua magari matatu chakavu na spika tatu chakavu kutoka vyomba vya muziki vilivyokuwa vinamilikiwa na Birricana Club na kuvigeuza kuwa PA kwa thamani ya shs 100,000,000/= akifanya jumla ya shs 300,000,000/=. PA hizi alizitumia kwenye kamepeni jimboni...
Yawezekana mimi ambaye sijawahi kupitia chuo cha uongozi "Uongozi Institute" sijui namna bora ya kuongoza lakini kwa busara tu za kawaida siyo sahihi kabisa kwa waziri mkuu kumkaripia mkaguzi wa ndani wa MSD.
Ilitakiwa waziri mkuu kuonyesha ukali kwa waziri wa afya, na kuhoji haya yanatendeka...
Charles Kichere (CAG)
Hii ndiyo ripoti kamili ya Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere kwa Mwaka wa Fedha 2020/21, imewekwa hadharani Jumanne Aprili 12, 2022.
Baadhi ya mambo yaliyoguswa:
Mashirika ya Umma kutopeleka michango Sh bilioni 129.33
Mashirika ya umma...
Chama Kikuu cha Ushirika Kagera (1990) Ltd kinaundwa na vyama vya msingi 134 kutoka katika wilaya tatu za Muleba, Bukoba na Misenyi. KCU (1990) LTD yenye makao makuu katika manispaa ya Bukoba, inaendesha shughuli zake chini ya Sheria ya Ushirika namba 6 ya mwaka 2013, Ili kutekeleza kwa ufanisi...
ILEJE: Hoja 38 za tangu 2009 bado hazijajibiwa RC Mgumba ageuka mbogo kwa Baraza la Madiwani.
SONGWE: Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Omary Mgumba amegeuka mbogo kwenye Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Ileje baada ya taarifa ya Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali CAG kuonyesha...
Habari hii ni kwa mujibu wa tweet ya ACT-Wazalendo UDSM ambapo wamearifu uchambuzi huo utaanza saa sita kamili mchana wa leo.
===============
ZITTO AMSHAURI RAIS SAMIA KUUNDA TUME YA MAJAJI KUCHUNGUZA KESI ZILIZOLIPWA KWA DPP
Kuanzia mwaka 2017 kumekuwa na kawaida ya watu wanaokamatwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.