midomo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    Mashujaa,,wanafanya huku wakiwa gizani,,wabeba lawama waliofungwa midomo

    Hawa ni wale jamaa ambao jamii imekua ikiwategemea kwa usalama wao lakini inapotokea tatizo au sintofahamu basi Hawa makamanda huwa lawama zote hubebeshwa wao,na hata ikitokea wametatua tatizo hawatangazwi Wala kusifiwa😁😁😁. Matukio matatu kati ya Mengi ya ukamanda wa makamanda...NILIYOYASIKIA...
  2. Mjukuu wa kigogo

    EX wa Dkt. Mwaka azidi kuwaacha watu midomo wazi

    Huyu mama kaamua kujifyatua zaidi.Kumbukumbu ziende kwa mpiga picha
  3. U

    Waisrael wawili tu wamejeruhiwa kidogo pamoja na Iran kurusha makombora ya masafa marefu zaidi ya 200 kuelekea Israel

    Wadau hamjamboni nyote? Mungu ibariki Israel Taarifa rasmi ndiyo hiyo 99% yamelipuliwa angani, kudondokea baharini au sehemu isiyokusudiwa Yale matoi yaliachwa yaelee angani kwa muda na kisha kusambaratishwa Ukitazama video yake utacheka Live Update arrow right icon From the Liveblog of...
  4. Unavoidable Servant

    Chanzo cha kifo cha Mandojo ni mke wake, wanawake punguzeni midomo

    Habari ndio hiyo, kama Mandojo asingekerwa na mke wake na kuamua kwenda kunywa pombe basi leo hii angekuwa hai. Hii si kazi ya Mungu, ni kazi ya shetani iliyoratibiwa na mwanamke. Tuishi nao kwa akili.
  5. SAYVILLE

    Nilitabiri Denis Kibu atakuja kucheza Ulaya na kuwafunga midomo

    Kutokana na sintofahamu na tetesi zinazoendelea kuhusiana na Denis Kibu (mpaka leo sielewi kwa nini watu wanamuita Kibu Denis badala ya Denis Kibu lakini hilo tuliache kwa leo), nimekumbuka kauli yangu niliyowahi kuitoa kuhusu future yake. Niliwahi kusema kuweni na akiba ya maneno, kuna siku...
  6. Majok majok

    Mpira ni uwekezaji na sio propaganda, Yanga endeleeni kuwaziba midomo wanafiki, mnawajibu kwa vitendo hongereni!

    Walianza na propaganda za Yanga kushiriki kombe la looser (shirikisho), wakatoka hapo yanga ikagonga mpaka fainali uku timu zikichapwa ipasavyo wakasema wamekutana na timu dhaifu, lakini wale wale waliwai kucheza ilo ilo kombe la looser wakaishia kuchoma uwanja wa watu na kutupwa nje ya michuano...
  7. comte

    Maisha ya Lowassa ni funzo kwa midomo michafu ya wanasiasa wa Tanzania

    Lowassa kaondoka. kaenda zake akitupa mda wa kuangalia alimopita Ameonewa sana na kaonea na kila mtu Tulimfitini ili tupate tulichotaka wakati tulipokitaka lakini yeye alibaki yule yule wa kutafuta alichokusudia kupata mwisho wa siku sidhani kama alipata alichokusudia kupata
  8. UMUGHAKA

    Niwaonye Vijana wa humu JF,Ikiwa huwezi kupambana na UMUGHAKA acheni Midomo

    Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane! Kama unajua kabisa huniwezi kiakili na kimapambamo (Ngumi) kwanini unichokoze?,Sometimes huwa nikiongea naonekana mbaya! Kijana mmoja sijajua ni KE au ME anayejiita Hance Mtanashati kwa mbwembwe nyingi alinifuata kwenye uzi wangu na kutaka kufanya...
  9. Execute

    Mstari wa biblia unaowafumba midomo wanasayansi wa kizazi hiki

    Biblia imeandika kuhusu matumizi ya kadi za malipo karibu miaka 2000 iliyopita. Kwamba kutakuwa na teknolojia ambayo ita-control mfumo wa malipo dunia nzima. Ufunuo 13:17 Hakuna ambaye angeweza kununua au kuuza bila ya kuwa na alama hii. (Alama hii ni jina la mnyama au namba ya jina lake.)
  10. demigod

    Kuna Washindani wasio na mdomo. Kuna Washiriki Wenye Midomo

    Kama ilivyo wekwa bayana hapo awali. Hakuna namna unaweza kumfunga Al Ahly kwake, tena kwenye game ya mtoano isitoshe zaidi kwenye michuamo ambayo bingwa anabeba pesa nyingi. Tujipongeze kwa kushiriki, lakini hakuna timu ya kushindana. Wenzenu Yanga wanajua namna ya kucheza games za mtoano...
  11. Liverpool VPN

    Wanaume wenzangu njooni tuongee:- Mnawezaje kuishi na wanawake wenye midomo?

    INTRODUCTION:- Nikiwa kama kijana mkataa kuoa, moja wapo ya sababu inayonifanya kugoma kuoa ni MDOMO wa MWANAMKE. Aisee hawa ni mama zetu, dada zetu, binti zetu, shangazi zetu ila WANA MIDOMO AISEEE. SCENARIO:- Jana ofisini (halmashauri) kulikua na mfululizo wa vikao. Kilianza kikao cha...
  12. Hance Mtanashati

    Calisah "amvua nguo" mrembo, amchana kweupe

    Baada ya mrembo Shakila kutoka Kenya kusema kwamba kuanzia sasa na kuendelea eti atakuwa anatoza dollar 50 ambazo ni zaidi ya laki moja ya kitanzania ili akujibu tu meseji yako uliyo M DM. Sasa bhana Calisah akaja chaaap kumuumbua 🤣🤣🤣kumbe bwana huyo demu anajifanya staa kumbe naye wale wale...
  13. Bridger

    KWELI Baadhi ya Dawa za kutibu Malaria zinaweza kusababisha mzio mwilini, ikiwemo Kuchubuka Uume na Midomo

    Mdau wa JamiiForums analalamika kuwa alitumia dawa za kutibu Ugonjwa wa Malaria zinazoitwa EKELFIN ambazo baadaye zilimsababishia kupatwa na mchubuko sehemu za siri na midomoni. Anashangaa kwanini Serikali haitoi taarifa kwa watumiaji juu ya madhara ya dawa hizi kwa binadamu. Ni kweli kuwa...
  14. God Fearing Person

    Nilimeza dawa za Malaria nikachubuka Uume na Midomo. Je, Serikali inafahamu kuhusu haya Mambo?

    Kama haya madhara mnayafahumu kwanini mnapiga kimya hamtoi taarifa kwa watumiaji? Uume ulichubuka na kutoa usaha Then nyie mpo kimya tu Daktari anasema Kuna salfa Lakini why nyie Viongozi wa dawa za Binadamu hamtoi Mwongozo?
  15. Mganguzi

    CHADEMA walimtukana sana Jakaya kikaja chuma kikawafunga midomo na miguu wakasema bora Jakaya. Siku zinakuja tena sio nyingi watamkumbuka Samia

    Hawa watu wakati wa JK. Tulisikia kila aina ya matusi bahati baba wawatu alikuwa mpole sana, hata wakitukana anawaita ikulu wanakunywa chai wanaondoka.w Wlikuwa wanaitisha maandamano wanavyotaka.bado wakasema Jakaya ni mbaya sana. Akawaletea chuma kikalala nao mbele hakuna kufurukuta, wala...
  16. YEHODAYA

    Sababu ya Putin kulazimisha vijana kwenda vitani kupigana ni kuwaziba midomo wasimpinge mitaani

    Kumekuwa na mwamko mkubwa wa vijana mitaani kupinga Putin na vita yake Ukraine ambako kumesababisha ugumu wa maisha kwa warusi.Vijana wamekuwa waandamana maeneo mbalimbali kupinga Putin kaona dawa yao ni kuwaondoa uraiani na kuwapeleka jeshini ambako midomo yao itazibwa .Kule ni kusema Yes...
  17. J

    ITV mbona mnawaziba watu midomo kwenye mdahalo?

    Kuna mjadala unaendelea ITV hapa kuhusu tatizo la panya road kuibuka tena, watu wanatiririka maoni yao hapa ila muongozaji wa mdahalo ambaye ni mtangazaji Maulid Kambaya ni kama akisikia mtu akitoa maoni ambayo hakubaliani nayo anaanza kumkaba hoja yake kabla hajamaliza Achani watu watoe maoni...
  18. M

    Aziz ki mdogo mdogo ataanza kuwaziba watu midomo, Gari lake likiwaka itakuwa balaa

    Naona stephane Aziz ki taratibu anaanza kuirudisha confidence yake na anaanza kuelewana na wenzake, anapofunga goli inazidi kumjengea hali ya kujiamini na utulivu. Kitu kinachomsumbua kwa sasa ni presha kutoka nje ya uwanja ukizingatia usajili wake ulikuwa mkubwa hivyo anajaribu kuonyesha ubora...
  19. Kijakazi

    Wasomali na Midomo yao, haifungi!

    Hivi ni mimi tu labda au kuna mwingine aliyeliona hili kwa Wasomali na midomo yao kwamba haifungi, yaani saa zote meno ya mbele yanaonekana na ni wote, hata kama akifunga mdomo ni lazima meno ya mbele utayaona, …
  20. mangosongoo

    Asilimia 50 ya wanaume wananuka midomo. Lawama ziende kwa nani?

    Kwa upande wangu huwa sifurahishwi kukaa sehemu mmoja na mtu anayenuka mdomo. Inakuwaje mwanamke, au mke unamuacha mume wako anatoka nyumbani anaarufu ya kunuka mdomo? Yaani unakuta mbaba, au mkaka kwa muonekano ni mstaarabu sana na ananyazifa flan lakin akifungua mdomo wake unatamani kukimbia...
Back
Top Bottom