mbu

The Mbu puffer, giant puffer or giant freshwater puffer (Tetraodon mbu) is a carnivorous freshwater pufferfish originating from the middle and lower sections of the Congo river in Africa, as well as the east coast of Lake Tanganyika near the Malagarasi River mouth.
The species is commonly referred to as the giant freshwater pufferfish due to its massive size, growing to a length of 67 cm (26 inches). As such, these fish are difficult to adequately house in home aquaria since they require a very large tank and appropriately scaled water filtration.
Like all of its relatives, the Mbu puffer is capable of inflating itself with water or air when stressed or otherwise frightened. It feeds on smaller fish, mollusks and crustaceans and snails. Species kept in captivity require a varied diet consisting of shelled foods to help ensure good health and to prevent tooth overgrowth.

View More On Wikipedia.org
  1. T

    SI KWELI Mbu akimng'ata binadamu, yeye hufa hapo hapo

    Nimekuwa nikisikia mara kadhaa kuwa mbu akimng'ata binadamu basi mbu huyo anakufa hapo? imekaaje hii wakuu?
  2. Kwa nini iringa mjini pamoja na kuwa na baridi kali nyakati za usiku lakini kuna mbu wengi?

    Wakuu Ni siku ya tatu leo niko iringa mjini..ebana huu mji una mbu wengi tofauti na nilivyodhania. Hapa nilipo ni baridi lkn kuna mbu sio poa.. Nauliza ni sehemu zote hapa iringa mjini kuna mbu hivi au ni hii sehemu niliyofikia tu mimi?
  3. J

    Mbunge wa Kilombero amuomba Rais Samia kutazama upya bei ya ushuru wa mazao

    Mbunge wa Kilombero, Abubakar Assenga amemuomba Rais Samia Suluhu Hassan kutazama upya bei ya ushuru wa mazao jimboni humo na kutozuia uvuvi wa samaki aina ya mlamukaliandili, ili kuondoa kero kwa wananchi. Assenga amesema hayo leo Jumatatu Agosti 5, 2024 katika mkutano wa hadhara ambao Rais...
  4. Mbu wa Dar ni mdebwedo

    Mbu wa Dar wanatongoza kabla ya kung'ata uatasikia nzuuu nzuuu nzuuu, ukiwapush wepesi kinoma, dawa za kuchoma tu wapo hoi bin taabani. Mbu hana afya kabisa..... Mbu mwembamba kama sisimizi...... Mbu kakondeana kwa utapiamlo mkali..... Mbu anahitaji msaada wa haraka ICU direct.. Malaria yao...
  5. Djibout imeachilia mbu waliobadilishwa vinasaba kupambana na malaria

    Nchi ya Djibouti imeamua kutumia njia tofauti baada ya kuona wanazidiwa na malaria. Imekua ni nchi ya pili baada ya bukina faso kufanya kitu kama hiko. Kwa nini Djibouti inatoa mbu waliobadilishwa vinasaba? Malaria huua zaidi ya watu 600,000 kila mwaka duniani kote. Malaria ni ugonjwa hatari...
  6. Maelfu ya mbu waliobadilishwa vinasaba (GMO) wameachiliwa nchini Djibouti katika kukomesha kuenea kwa spishi vamizi malaria

    CHANZO NI BBC SWAHILI Mbu dume wasiouma aina ya Anopheles stephensi mbu waliotengenezwa na Oxitec, kampuni ya teknolojia ya kibayoteknolojia yenye makao yake makuu nchini Uingereza, hubeba jeni inayoua watoto wa kike kabla ya kukomaa. Mbu jike pekee ndio wanaouma na kusambaza malaria na...
  7. Kuchuja mbu na kumeza ngamia - Serikali za Afrika

    Watawala wa Africa tofauti na viongozi wa "ulaya' wao wana mambo yao , wanaamini hivyo na huwaambii kitu! Vyeti feki --------matokeo Halali. Walimu feki ---- Wanafunzi Halali Phd Feki ------ Ubunge halali. Ubunge feki ----- Phd Halali Manabii feki -- Imani halali. Njia haramu -- Matokeo halali...
  8. Lindi: Bwana Afya aongoza usafi katika Hospitali ya Wilaya ya Nachingwea kumaliza kero ya mbu wengi

    Baada ya member wa JamiiForums.com kuleza kuwa anakerwa na usumbufu wa uwepo wa mbu wengi katika Hospitali ya Wilaya ya Nachingwea Mkoani Lindi, hatua zimeanza kuchukuliwa kwa kufanya usafi. Afisa Afya Wilaya ya Nachingwea, Joseph Masia amekiri Hospitali hiyo kuwa na Mbu wengi na hivyo...
  9. Mambo ya kuzingatia katika Kudhibiti Mbu waenezao Malaria, Uchunguzi wa Ugonjwa na Tiba sahihi ya Malaria

    Mambo muhimu juu ya udhibiti wa Mbu waenezao Malaria kwa njia za Utangamano; Matumizi sahihi ya Vyandarua vyenye dawa kwa kila mwanajamii kila siku Upulizaji viuatilifu ukoko kwenye kuta ndani ya nyumba ni njia fanisi ya kuua mbu waenezao malaria na hivyo kupunguza maambukizi ya malaria...
  10. INAUZWA Nauza taa za kuchaji zinazoua mbu na wadudu wengineo

    Taa ya kuua Mbuu Na Wadudu mbalimbali Ni Ya Kuchaji Inaua Mbuu Na Wadudu mbali Kwa Shoti Maalumu Haina madhara kwa binadamu, Ikishachajiwa na kuwa full chaji inaweza tumika masaa 48 haina gharama ya ziada zaidi ya kuichaji Pia Inatumika kama taa ya kawaida ili kupata mwanga Battery 4000 BEI...
  11. KWELI Taasisi ya Afya Ifakara huzalisha Mbu maalum kwa ajili ya utafiti wa Malaria

    Aloo, hawa mbu wa Ifakara mbona kama siwaelewi hivi? Nimeweka neti wako nje ila bado wanang'ata, hapo miguu haijagusa neti ni kama wanatumia wireless. Nimeuliza wenyeji wakasema kuwa mbu hawa ni spesheli wameletwa kwenye mradi wa utafiti wa malaria. Hii ni ajabu sana.
  12. E

    NEMC soko la Kilombero Arusha makelele mpaka Mto wa Mbu

    Mjipime....sio kukurupuka jikiteni huko Magomeni na Unga ltd
  13. L

    Kama tukifuga wale mijusi weupe nyumbani tunaweza kuondokana na tatizo la mbu

    Aisee hii mijusi ni msaada sana kwenye ulaji wa mbu, na kimsingi wanasaidia kupunguza idadi ya mbu nyumbani. Sasa hivi home nina mijusi 100, huwa sihangaiki kupiga dawa siku hizi. Mambo yanaenda naturally.
  14. R

    SoC03 Taa ya umeme inavyoweza kutokomeza malaria kwa kunasa na kuua mbu

    TAA YA UMEME INAVYOWEZA KUZUIA MALARIA KWA KUNASA NA KUUA MBU Utangulizi Malaria ni miongoni mwa magonjwa ambayo yamekuwa tatizo kubwa na umekuwa ukiuua watu miaka hadi miaka. Malaria husababishwa na mbu jike ajulikanaye kama Anofelesi. Katika nchi zinazoendelea malaria ni ugonjwa unaosababisha...
  15. Utapeli wa Dawa ya 'HIT' katika kuua Mbu

    Hizi dawa zilikuwa vizuri miaka minne iliyopita ila hali ya sasa kwa kweli ni UTAPELI wa wazi. 1. Haiui MBU kwa kiwango kinachopaswa yaani katika Mbu 50 watakufa watatu (3). Yaani mpk mbu afe ni umloweshe na hiyo dawa ndio atakufa ila ukipuliza kama inavyoelekezwa upulize ktk mazingira ya eneo...
  16. Kwanini wavuta bangi hawasikii kero za Mbu?

    Majuzi kati nilikuwa mitaa ya Sinza kupiga misele kwa washkaji nilikaa kama siku 4 hivi siku 3 zilikuwa za mateso kwangu uyu mdudu anaeitwa MBU. Hata awe mmoja ndani siwezi lala sasa uyu mwenzangu ni mtu wa ganja yaani ganja ni kolee jamaa akilala hasikii mbu wala shangazi yake mbu...
  17. Kwanini Uking'atwa na mbu panawasha na wengine hawawashwi?

    Wana JF! Naombeni kujua kwanini Kuna mtu aking'atwa na mbu anawashwa na mwingine hawashwi..??
  18. Ukila mbu unaweza kuumwa Malaria?

    Hapa nimeshika mbu kama watano, sema watu nimewatafuna. Ili nsimwachie wenzie wakaj kumbeba wakampeleka kumtibu. Nikitafuna wengi ntapata malaria??
  19. B

    Naomba kufahamu bei ya taa hizi

    Wadau hivi ni kweli taa hizi za mbu zina uwezo wa kuvuta na nzi. Vipi bei yake halali ni Tsh ngapi
  20. Mbu asiyekufa kwa Dawa zilizopo Afrika agundulika Kenya

    Wataalamu kutoka Taasisi a Utafiti na Tiba (KEMRI) wamesema aina ngeni ya Mbu wa Anophelesi Stephensi kutoka Asia Kusini amebainika kuwepo kwenye makazi ya Watu katika Kaunti ya Marsabit. Kwa mujibu wa Data za Hospitali zimeonesha ongezeko la Wagonjwa wa Malaria ingawa sio msimu wa Magonjwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…