WAZIRI MAVUNDE AGEUKA MBOGO; ATAKA MRADI WA DHAHABU MAGAMBAZI UANZE UZALISHAJI MKUBWA
-Awataka wamiliki wa leseni kufuata masharti kwa mujibu wa Sheria*,
-Awapa mpaka 1 Septemba 2024 kujibu hoja za matakwa ya kisheria
-Mgodi una wastani wa Wakia 700,000
-Wananchi wa Handeni-Tanga waishukuru...
KIMEUMANA DC SHAKA AGEUKA MBOGO UJENZI WA ICU HOSPITALI YA WILAYA KILOSA
Na Mwandishi Wetu. Kilosa -Morogoro
MKUU wa Wilaya ya Kilosa Mkoani Morogoro, Shaka Hamdu Shaka, ameagiza kufanyika kwa uchunguzi wa mradi wa ujenzi wa jengo la wagonjwa mahututi (ICU) katika hospitali ya Wilaya hiyo...
Wakuu habari zenu.
Naomba ushauri wenu ili nipate kuruka kiunzi hiki mbele yangu na Maisha ya endelee kama kawaida bila kumdhuru au kumuumiza yoyote na mimi pia kua salama
Wiki iliyopita nilipata taarifa Ex wang niliedumu nae takribani miaka 3 kwenye mahusiano yupo Taabani hospitali baada ya...
"Swali: Safu yako ya ulinzi inaruhusu goli takribani saba, inakwenda kimataifa unatazamaje hili?"
"Jibu Nabi: Nipe hongera, Sadiki wewe na rafiki yako Ibrahimu mna maswali sawa sawa, hii ni ajabu sana. Kwanini mnauliza maswali ya zamani, sijui kama wewe ni mtaalamu au lah, unafikiriaje magoli...
Mwaka 2014 Sheria ya iliyokuwa SSRA ilianza kutumika kulipa mafao na ikasaidia sana kupandisha mafao ya Mfuko wa NSSF na iliyokuwa PPF ambayo ilikuwa inawanyonya kisheenziii wastaafu kabla ya 2014 Julai. Hata baada ya Kanuni hiyo Mfuko wetu wa NSSF uliendelea kuwanyonya wastaafu wengi kwa kigezo...
Baada ya mh Rais Samia kupiga indiketa ya kuutumbua uongozi wa mkoa wa Mara, leo Ally Hapi katumia jukwaa vizuri kujitetea.
Pamoja na ukweli kuwa Ally Hapi angeweza kuyatatua yote aliyomwomba Rais , lakini wachunguzi wa mambo wanafikiri Ally Hapi bado hajawiva kiuongozi.
Wakurugenzi ndani ya...
Mzuka wanajamvi!
Unakuta mtu anadhulumu wengine yeye akidhulumiwa anakuwa mkali vitisho hadi vya kuua. Kwanini usipotezee tu.
Yani wewe unajiona una haki kuliko uliowadhulumu?
Na uliowadhulumu wamenyamaza tu wewe kudhulumiwa unakuwa mkali.
Si upotezee tu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.