Jamani wa afrika sijui nani katuloga? Tunaullooo sanaa
na ubinafsi uliozidi.
Kwa upepo ulivyo ndani ya chadema Mbowe hawezi kuachia uwenyekiti wa chadema.
Maana kuna chawa wengi wamepewa pesa kwa ajili ya kumnanga lisu. Tayali wakina NYERERE na wenzie wameanza na propaganda, wapo tayali...
Taarifa za chini ya capet ni kwamba, taratibu za awali zimeshakamilika ikiwa ni pamoja na jina la chama, rangi za chama, nembo pamoja na logo ya chama. Majibu ya msajili yatatoa uelekeo.
Nyuma ya mpango huu, viongozi waandamizi kutoka vyama mbalimbali vya siasa, wanatajwa kuhusuka ikiwa ni...
Mwenyekiti wa zamani wa Nccr Mageuzi Mhe. James Mbatia, akiwa anafanya mahojiano na Edwin Odemba ameitaka Serikali iweke bayana msimamo wake kuhusu suala la ushoga na usagaji.
Mbatia amesema,
"Napinga Ushoga kwa nguvu zangu zote, Mungu alituleta hapa Duniani tuzaliane na kuijaza Dunia...
Kiuhalisia ukitoa wana harakati kama kina Mdude ,Mwabugusi na wengine wachache nchi inabaki na watu wachache sana ambao ambao wazalendo wa kweli na mioyo yao kila siku hunena mema kuhusu Tanzania .
Lisu , Mbatia na Mnyika ni moja ya watu makini sana na wazalendo Tatizo hawana nguvu za kichama ...
Mbatia ametoa rai kwa Rais samia /serikali kuwa isiwekeze shiling 125 billioni kuimarisha uovu, badala yake iziweke kwenye kuendeleza maisha ya watanzania. Ametoa mfano, zikiwekezwa Muhimbili, zitatoa huduma bora kwa watu wake!
Serikali imetenga fedha hizo kununua silaha kudhibiti lolote...
..ni mahojiano na Dar24.
Dkt. Kimei ametoa tuhuma nzito dhidi ya Augustino Mrema, na James Mbatia, ambao ni watangulizi wake.
Lakini ktk kutoa tuhuma hizo Dkt. Kimei pia ameituhumu Serikali ya awamu ya 5 kwa kulitenga kimaendeleo jimbo la Vunjo.
Nadhani Dkt. Kimei ana mushkeli kidogo ktk...
Hello JF
Wote au baadhi tunafahamu namna James Mbatia alivyo na amejidhihiri kuwa mstari wa mbele kuonya, kushauri na kukemea maovu kwa namna ya heshima, unyenyekevu na staha yenye uzalendo kwa nchi yake.
Ni ajabu kuona yaliyotokea juu ya nafasi yake ya uenyekiti wa NCCR Mageuzi katika...
Makamu Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi, Bara, Joseph Selasinametoa ombi hilo katika Mahakama Kuu, Masjala kwa maelezo kuwa bado anakamilisha nyaraka za utetezi.
Katika ya msingi namba 184/2022, Mbatia anaiomba Mahakama itamke kuwa tuhuma alizozitoa Selasini dhidi yake ni za uongo, na hivyo imwamuru...
Ikiwa imepita miezi mitano tangu kuibuka kwa mvutano wa makada ndani ya Chama cha NCCR Mageuzi, Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini imebariki kung’olewa kwa aliyekuwa mwenyekiti wa chama hicho, James Mbatia.
Mei 21, Halmashauri Kuu ya NCCR-Mageuzi iliitisha mkutano uliofanyika katika...
Mgororo wa uongozi ndani ya Chama cha NCCR- Mageuzi sasa unazidi kufukuta na sasa aliyekuwa Mwenyekiti wa chama hicho James Mbatia, kumtaka Kaimu mwenyekiti wa chama hicho, Joseph Selasini, amlipe fidia ya Sh3 bilioni kwa kile anachodai kuwa ni kumkashfu.
Mbatia amefungua kesi hiyo dhidi ya...
Akihojiwa na kituo cha tv mheshimiwa Rungwe amesema wanamkaribisha sana Mbatia kwenye chama chao cha chauma na watamtafutia kazi ila asiwe na wazo la kuwa mwenyekiti maana mwenyekiti tayari yupo.
Ameenda mbali na kusema kama ni suala la kukaa muda mrefu kwenye uenyekiti wa chama basi yeye...
Katika ripoti yake ya ukaguzi kwa mwaka 2020/21 iliyowasilishwa bungeni Aprili 12 mwaka huu, CAG Charles Kichere ameligusia suala hilo, akisema hesabu za Mamlaka ya Mapato (TRA) kwa mwaka wa fedha 2020/21 zinaonyesha kuwapo kodi zilizoshikiliwa katika mahakama za rufani kwa muda mrefu Sh...
Enzi za Shujaa Magufuli kila jambo alisukumiziwa yeye lakini yeye alikaa kimya tu akiendelea kuchapa Kazi.
Aliwahi kusema Neno moja tu " Nimejitoa sadaka kwa ajili yenu"
Mungu wa mbinguni amrehemu Maguful!
Mgogoro wa NCCR Mageuzi umeibuka kwa sura tofauti baada ya aliyekuwa Mwenyekiti wa chama hicho, James Mbatia kuzuiwa kufanya mkutano wake na Waandishi wa Habari.
Katika hali ya kutaka kujibu uamuzi wa jana wa chama hicho, Mbatia aliitisha mkutano na Waandishi wa Habari katika Hoteli ya Regency...
Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam leo Jumatano imewazuia Mjumbe wa Halmashauri Kuu NCCR Mageuzi, Joseph Selasini na wenzake kuratibu na kuitisha Mkutano au kikao chochote kitachohusu chama hicho.
Kama Mahakama haitaweka zuio la vikao kufanyika, hapatakuwa na maana ya maombi haya kuwepo...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amekutana na kufanya mazungumzo na Ndugu. James Mbatia, katika Ofisi ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es Salaam, Septemba 2, 2022.
Msikilizeni jamani huyu kada wa Nccr Mageuzi anavyolalama.
VIDEO:
Katibu Mkuu NCCR Mageuzi Bi. Martha Chiomba akieleza namna alivyotukanwa na kudhalilishwa na wanaoitwa 'Makada wa NCCR Mageuzi', amtupia lawama James Mbatia kwa kuona udhalilishaji huo na kisha kukaa kimya licha ya taarifa kupewa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.