mazishi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BARD AI

    Kwanini mazishi ya Kiserikali ya Shinzo Abe yana utata?

    Wiki moja iliyopita, viongozi wakubwa wa kimataifa walikusanyika London kwa ajili ya mazishi ya kiserikali ya Malkia Elizabeth II wa Uingereza. Sasa wengi wao wanaelekea upande wa pili wa dunia kwa mazishi mengine ya kiserikali ya Waziri Mkuu wa zamani wa Japan aliyeuawa, Shinzo Abe. Lakini...
  2. Q

    Mwakilishi pekee kutoka Afrika aliyekataa kupanda basi ni Rais Sahile Work Zewde wa Ethiopia

    The only African representative who refused to be packed in a bus was the President Sahile Work Zewde of Ethiopia 🇪🇹. She was asked to go by the bus. She said "I won't go like this, I need the same level of respect as others. This has many implication. I have my own Embassy's cars for the...
  3. Suzy Elias

    Tetesi: Samia kuhudhuria mazishi ya Shinzo Abe Japan

    Inatarajiwa mnamo tarehe 27 mwezi huu Samia atahudhuria mazishi ya Waziri Mkuu mstaafu wa Japan Hayati Shinzo Abe. Abe alipigwa risasi iliyosababisha kifo chake.
  4. JanguKamaJangu

    Japan: Raia ajichoma moto akipinga mazishi ya Waziri Mkuu wa zamani, Shinzo Abe

    Raia wa Japan amelazwa hospitali baada ya kujijeruhi kwa kuchoma moto akipinga kitendo cha Serikali ya Nchi hiyo kutumia gharama kubwa kuandaa mazishi ya Waziri Mkuu wa zamani Shinzo Abe aliyeuawa Julai 8, 2022. Serikali ya Japan inatarajiwa kutumia Dola Milioni 11.4 (Tsh. Bilioni 26) katika...
  5. kavulata

    Mazishi ya Queen yamewageuza viongozi wetu Afrika kuwa watoto wa shule

    Hadhi waliopewa viongozi wetu wa Afrika kwenye mazishi ya Queen sikuyapenda hata mimi, kama watoto wa shule vilee!! wamefuata nini cha mno? ona usafiri walipewa tofauti kabisa na wengine. Nani katuroga? njaa au nini? usipokwenda watakufanya nini?
  6. Mag3

    Mazishi ya Malkia Elizabeth 11 wa Uingereza...hawa ndio walipewa mialiko rasmi kuhudhuria!

    Naomba kuchukua nafasi hii kutoa ufafanuzi wangu binafsi kuhusu utata uliojitokeza kuhusu mazishi ya Malkia wa Uingereza Queen Elizabeth 11 siku ya leo! Wapo viongozi walioalikwa rasmi kuhudhuria mazishi hayo na wapo walioalikwa jumla jumla kwa kuhudhuria kama viongozi wa nchi za Jumuiya ya...
  7. TODAYS

    Hii ni kiboko, imetokea huko London kwenye mazishi

    ☝🏾Sikiliza mtangazaji alichokuwa anasema kuhusu hiyo convoy hapo juu dhidi ya viongozi wetu kutoka Afrika wamepakiwa kwenye mabasi huku Biden kaenda na ndinga zake. 👇🏾Na hapa chini Kuna mdau kaandika hivi; Our leaders went to the UK and are being treated the way they treat us... Wadau wengi...
  8. Crocodiletooth

    Shenkin: Mbuzi anayeonekana kwenye taratibu za msiba wa Malkia Elizabeth II

    DESTURI. Nimemfuatilia huyu mbuzi anayeonekana kwenye taratibu za msiba wa Malkia maana ni wazi wenzetu wanaheshimu jadi zao. Mbuzi anaitwa SHENKIN. Inasemekana mbuzi huyu anatokana na kizazi cha mbuzi waliokuwa wakitumiwa kama "hirizi?" wakati wa vita kwa karne nyingi. Mila hii ilianzia...
  9. Roving Journalist

    Rais Samia kuhudhuria mazishi ya malikia Elizabeth II

    Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan awasili London nchini Uingereza kwa ajili ya kuhudhuria mazishi ya Malkia Elizabeth II wa Uingereza. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Muwakilishi wa Mfalme Charles III, Cynthia Gresham wa Uingereza pamoja na Balozi...
  10. Championship

    Je, Rais Putin ataenda kwenye mazishi ya Malkia Elizabeth?

    Hili ni swali najiuliza. Diplomasia na mahusiano ya miaka mingi yataweza kupotezwa kwasababu ya ugomvi kule Ukraine? Pengine muda utatupatia majibu.
  11. BARD AI

    Ukame kupandisha tena bei za vyakula nchini

    Wakati mfumuko wa bei ya bidhaa za chakula ukiripotiwa sehemu mbalimbali nchini, hofu ya bei hizo kuendelea kupanda imeibuka baada ya Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) kutangaza uwezekano wa kuwepo upungufu wa mvua za vuli katika maeneo yanayopata misimu miwili ya mvua. Hofu ya bei ya...
  12. BARD AI

    Urusi: Rais Putin hatohudhuria mazishi ya Gorbachev

    Taarifa ya Msemaji wa Kremlin, Dmitry Peskov imeeleza kuwa Rais Vladmir Putin amebanwa na ratiba nyingine hivyo hatoweza kufika tukio la kuaga mwili wa Kiongozi huyo wa mwisho wa Umoja wa Kisovieti aliyejipatia sifa nyingi kutoka Mataifa ya Magharibi. Gorbachev, ambaye alifariki Agosti 30,2022...
  13. MakinikiA

    Putin hatakuwepo katika mazishi ya raisi aliyemtangulia

    Soma hapa na jiulize kwa nini Ibaki kusema tu Putin yupo smart sana na mambo yake. Vladimir Putin Will Not Attend Mikhail Gorbachev Funeral: Kremlin "The farewell ceremony and funeral will take place on September 3 but unfortunately the president's work schedule will not allow him (to attend),"...
  14. Faana

    Mamlaka za Jiji la Dar zitafute ufumbuzi wa tatizo la ardhi ya mazishi ya ndugu wanaotutoka

    Nimeshiriki mazishi kadhaa katika sehemu mbalimbali za Jiji la Dsm, na kujionea jambo ambalo hakuna mamlaka inayolizungumzia wala kulitafutia ufumbuzi wa kudumu. Jambo nililoliona kuwa na changamoto kubwa ni ufinyu wa maeneo ya kuzika wapendwa wetu, nilichosikitishwa nacho zaidi ni pale baadhi...
  15. Lady Whistledown

    Padre afariki akiendesha Ibada ya Mazishi Mtwara

    Mchungaji wa Kanisa Katoliki kijiji cha Liputu, Wilaya ya Masasi Mkoani Mtwara, Laurence Milanzi amefariki Dunia maeneo ya makaburini alipokuwa akishiriki mazishi ya mwanakijiji mwenzao aitwae Daudi Veno Mashuhuda wa tukio hilo wanasema mchingaji huyo alianguka ghafla wakati...
  16. Lady Whistledown

    Mzozo waibuka kuhusu Mazishi ya Rais wa Zamani wa Angola, Jose Dos Santos

    Inaelezwa kuwa mzozo mkubwa umejitokeza kati ya Serikali ya #Angola na Familia ya Rais #JoseDosSantos baada ya Rais João Lourenço kuamuru kuundwa kwa tume ya Serikali kupanga mazishi ya kitaifa kwa mtangulizi wake, na kusema anategemea kila mtu kuhudhuria ikiwa ni pamoja na familia yake iliyopo...
  17. Gama

    Canada: Njia mpya za mazishi ambapo masalia ya mwili wa marehemu hufanywa kuwa mbolea

    Huko Canada, kuna ubunifu mpya ambapo mtu anaweza kuchagua aina ya mti au maua yatakayooteshwa juu ya masalia ya mwili wake baada ya kifo. Kampuni moja imebuni makasha maalum biodegradable ambayo huwekwa masalia ya mwili baada ya kuchomwa. Pichani ni moja ya kasha la kuhifadhia majivu ya...
  18. Gama

    Jino la aliyekuwa Waziri Mkuu wa Kwanza wa Congo, Patrice Lumumba lapokelewa na kupewa mazishi ya heshma

    Nchini DRC nchi nziam ilizizima kwa majonzi baada ya jino la aliyekuwa Waziri mkuu wa kwanza wa nchi hiyo kupokelewa kutoka nchini ubelgiji ambako limekuwa likihifadhiwa. Imedaiwa kuwa mtu mmoja aliyekuwa askari polisi wakati wa mauaji ya kinyama ya kiongozi huyo aliamua kuhifadhi jino hilo kwa...
Back
Top Bottom