majengo

  1. R

    Miaka 60+ ya Uhuru Tanzania haina makampuni ya kizawa ya kujenga majengo; Tunategemea Wachina!

    Kwanini tumedumaa sana na kujitengenezea mentality yakufanyiwa? Tunashindwa nini kuweka kwenye sera zetu kwamba ujenzi wa majengo Tanzania utafanywa na makampuni ya wazawa? Hata kama watataka kutafuta wageni kama engineer iwe ruksa ila tenda wapewe kampuni za ndani. Kweli tunakwenda kukopa nje...
  2. Omra27

    Huduma majengo ya Serikali ni mbaya na yanaendeshwa kwa hasara

    Sidhani kama Serikali imelenga kufanya biashara kwenye miradi yake hasa majengo yake. Mfano jengo la NHC HOUSE posta wameweka gharama kubwa sana kwa wapangaji ama wafanyabiashara kiasi kwamba jengo hili ofisi nyingi hazina watu. Nafikiri serikali ingefanya mapitio kwenye ofisi zake kutazama...
  3. Aliko Musa

    Jiunge Na Familia Ya Zaidi Ya Watu 750 Inayojadili Mambo Ya Ardhi Na Majengo BURE.

    Tumekuwa na masomo mazuri kuhusu uwekezaji kwenye ardhi na majengo. Tumekuwa na mijadala ya motomoto kuhusu uwekezaji kwenye ardhi na majengo. Tupo watu wa makundi tofauti tofauti kutoka mikoa tofauti tofauti. ✓ Wapo mawakili wazoefu humu kundini, ✓ Wapo wachoraji wa ramani nzuri za...
  4. MK254

    Drones zapiga majengo ndani ya Moscow, twende hivi hivi

    Hii picha inaonyesha namna jengo limepigwa japo Warusi wanajigamba kwamba sio issue kubwa, yaani wamepigwa mjini kati na kataifa kadogo hapo jirani, supapawa hoyeee!!! A damaged building following a reported drone attack in Moscow, Russia, July 24, 2023. CNN — Ukrainian drones struck two...
  5. Tukuza hospitality

    SoC03 Mtanzania afutiwe Kodi za Ardhi na Majengo

    ConstantineJ. Samali Mauki Utangulizi Kila mara huwa nawaza, ikiwa serikali itatekeleza sheria zake kuhusu malipo ya kodi za ardhi na majengo kikamilifu, ikiwa ni pamoja na kupiga mnada viwanja/nyumba ambazo hazazijalipiwa, ni Watanzania wangapi watakosa makazi na kwenda kuishi mitaani? Sipati...
  6. Balqior

    Tuliosoma majengo secondary ya Moshi Kilimanjaro (Form 1-form 4) kuanzia mwaka 2006-2009 tuonane hapa tujikumbushie

    Kipindi kile ukipata wastani wa 81 Na kuendelea Kwenye masomo yote unasoma bure ila iyo mitihani ugumu wake na usahihishaji ulivyo Strict wacha kabisa, mnamkumbuka Laurent shilingi aliyesemekana alisoma bure kuanzia form 1 had 6, akina sabas oisso aliekuwa wa 7 kitaifa mtihani wa form 4 akawa...
  7. TODAYS

    Kwanini hakuna usawa Ujenzi wa Majengo ya Shule, Kati ya Tanganyika na Zanzibar?

    Majuzi kati hapo nilifika kisiwani Unguja nilishangaa sana kupita huku na huko katika pilika pilika za maisha. MADA; Ukweli Zanzibar pamoja na sensa iliyopita kuonyesha kuwa na watu 1,8mil ambao kwa muktadha wa wingi wa watu na waliopo Tanganyika ni chini ya mkoa wa Manyara yenye watu 1.9mil...
  8. Jeremy Geoks

    Ramani za nyumba (majengo) pamoja na ujenzi

    Ramani ya Ukumbi/Venue Unauwezo wa kuhudumia watu 400 Pia Tunatoa huduma zifuatazo ◇RAMANI NA UJENZI ◇KUFATILIA VIBALI VYA UJENZI ◇KUANDAA GHARAMA ZA UJENZI (BOQ) ◇USIMAMIZI WA UJENZI Wasiliana nami +255 654 132 000 hummertimebuilders@gmail.com Tunapatikana; Shekilango- Dar es salaam.
  9. M

    SoC03 Mchango mkubwa unaofanywa na mafundi ujenzi anayejenga majengo ya serikali kwa mfumo wa force account

    Mimi ni fundi ujenzi nimesomea chuo cha ufund Arusha, Mwaka 2018 nilipata kazi ya kitui cha afya umaliziaji wa jengo la mama na mtoto. Nilifanya kazi hiyo nikiwa kama fundi msaidiz kwani alishika tenda ni fundi mwingine tulikubaliana kuwa atanilipa tsh 15000 kwa siku hata hivyo kwa huku kijijin...
  10. MK254

    Video: Waasi wavamia tena Belgorod, Urusi, wachoma majengo

    Hawa ni Warusi wanapiga kwao ndani, Putin alianzisha wenzake wanamaliza.... 30,290 views Jun 1, 2023 #belgorod #ukraine #russia Pro-Ukraine volunteer fighters set several buildings on fire as they shelled the border town of Shebekino using Soviet-era Grad rocket systems, it has been...
  11. Nazjaz

    TANZIA Buriani Mzee Pius Gugadi, Msadifu wa Majengo NHC

    Once again, Msasani Village tùmepatwa na pigo kubwa. Huu ni mfululizo wa vifo vya kaka zetu, dada zetu na baba na mama zetu. Leo nasikitika kuujulisha umma juu ya kuondokewa ña mzee wetu Pius Gogadi. Pius Gogadi alikuwa ni msadifu majengo mkuu wa shirika la nyumba la taifa NHC MKE wa maremu...
  12. J

    Serikali kujenga majengo ya kuhifadhi na kuhudumia zana za BBT

    Serikali imefikia uamuzi wa kutekeleza mradi wa Building a Better Tomorrow (BBT) unaolenga kuongeza ushiriki wa vijana katika kilimo kwa kuwapatia mafunzo, maeneo ya mashamba, mitaji na kuwaunganisha na fursa za masoko. Ambapo utekelezaji wa mradi huo ni matokeo ya maagizo na maelekezo ya Mhe...
  13. Aliko Musa

    Programu Tatu Ambazo Zitakusaidia Kuboresha Uwekezaji Kwenye Ardhi Na Majengo

    Habari rafiki, Naitwa Aliko Musa. Mimi ni mwandishi na mbobezi kwenye mambo ya uwekezaji kwenye ardhi na majengo. Nimeweka shabaha kwenye kuwezesha watu kujenga utajiri au kutunza fedha zao kupitia ardhi na majengo. Ninawafikia wateja wangu kwa njia kuu ya kuwashirikisha makala kupitia blogu...
  14. Stephano Mgendanyi

    Waziri Jenista Mhagama, amewataka wakandarasi wanaondelea ya shughuli ya ujenzi wa majengo ya Mji wa Serikali Mtumba Dodoma kuongeza kasi

    WAZIRI MHAGAMA AWATAKA WAKANDARASI UJENZI WA MJI WA SERIKALI MTUMBA KUONGEZA KASI Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge na Uratibu Mhe. Jenista Mhagama, amewataka wakandarasi wanaondelea ya shughuli ya ujenzi wa majengo ya Mji wa Serikali Mtumba Dodoma...
  15. TRA Tanzania

    Utekelezaji wa ukusanyaji wa kodi ya majengo kupitia mita za luku

    Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA )kwa Kushirikiana na Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) tunapenda toa ufafanuzi kuhusiana na Utekelezaji wa ukusanyaji wa kodi ya majengo kwa kutumia njia ya ununuzi wa umeme kwa wamiliki wa majengo ya Ghorofa kama kiambatanisho hapa
  16. B

    Kodi ya majengo kupitia luku baadhi ya watu wanaumia Kwa kuibiwa

    Najihusisha na huduma za uwakala na Moja ya huduma ninayoitoa ni manunuzi ya umeme ambapo serikali pia hukusanya Kodi ya majengo Kwa TSH 1000 Kwa Kila mwezi,Kuna malalamiko mengi kutoka Kwa wateja. Mosi, kukatwa Kodi isiyo halali(kuibiwa),mfano Kuna mteja alinunua umeme mwezi machi, Leo Mei...
  17. EvilSpirit

    Ifike pahala ujenzi wa majengo uwe unahakikiwa na wataalam wa serikali

    Hili ni kanisa lililoporomoka juzi kutokana na mvua kubwa iliyokuwa na upepo mkali. Iwapo wangekuwa wanasali siku hiyo kungetokea maafa.
  18. chiembe

    Majengo Mapya ya mahakama ni sawa na jeneza lenye maiti ndani, masheikh wamekaa miaka karibu kumi bila kesi zao kuisha

    Jeneza nje hurembwa kwelikweli kwa nakshi na maua, ndivyo yalivyo majengo ya mahakama. Katikati ya majengo hayo mazuri, Kuna watu wamekaa rumande miaka karibu kumi, kesi zao haziishi, na mahakama ipo. Naifananisha na jeneza kwa sababu ukilifungua lazima ukutane na harufu, maiti. Kwa mahakama...
Back
Top Bottom