Lindi is a coastal town located at the far end of Lindi Bay, on the Indian Ocean in southeastern Tanzania. The town is 450 kilometers south of Dar es Salaam and 105 kilometers north of Mtwara, the southernmost coastal town in Tanzania, and gives its name to the surrounding Lindi Region, one of the most sparsely populated areas of the country. The town population was 78,841 as of the 2012 national census.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameagiza Mameneja wa Wakala wa Barabara (TANROADS) wote nchini kuhakikisha wanakagua vipenyo vya makalvati na madaraja yote katika maeneo yao kabla na baada ya msimu wa mvua ili kujiridhisha kama vinapitisha maji kwa urahisi bila kuathiri barabara.
Majaliwa...
Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, CPA Amos Makalla, amesema Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimepumzika.
Ameyasema hayo Aprili 10, 2025, wakati akizungumza na wananchi wa Kata ya Somanga, mkoani hapa mara baada ya kukagua maendeleo ya Daraja la Somanga-Mtama...
Ndugu zangu Watanzania,
Katibu wa itikadi ,uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa Mheshimiwa CPA Amos Makalla. Ametua kwa kishindo na kupokelewa na maelfu ya wananchi mkoani Lindi.
Ambapo katibu Wetu Msomi mahiri na mtaalamu wa mahesabu na mwenye uzoefu mkubwa sana ndani ya serikali na chama. Amefanya...
Tulipopata uhuru, matumaini yalikuwa makubwa. Tulidhani uhuru ungeleta maendeleo, uchumi imara, na maisha bora kwa wote. Lakini leo, Afrika bado inakabiliwa na umasikini, madeni, ukosefu wa ajira, na miundombinu duni. waasisi wa uhuru kama Julius Nyerere (Tanzania), Kwame Nkrumah (Ghana), na...
Haya maeneo yanasemwa sana kwa sayansi ya gizani aka ulozi aka ndumba aka mambo ya busara.
Hivi hapa kwa kuwa-rank unafikiri nani watakuwa vinara zaidi ya wenzao?
Je kuna waliosahaulika hapo?
Katika kipindi cha Uongozi wa Mhe. Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kuanzia Machi, 2021 hadi Machi 2025, Serikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imepeleka zaidi Shilingi Bilioni 86 Manispaa ya Lindi kwa ajili ya utekelezaji wa Miundombinu mbalimbali ya Elimu, Afya...
Lengo ni kujengwa smelter za chuma zaidi ya 200+ hapa Tanzania
Mkoa wa Lindi una madini ya Iron ore ni vizuri ikatafuta waekezaji ili watengeneze smelter za kuchakata iron ore mpaka kuwa malighafi chuma ambayo itatumiwa na viwandq vya upili kwa ajili ya kutengeneza chuma kwa matumizi...
Mkuu wa Wilaya ya Lindi, Bi. Victoria Mwanziva, amesema toka Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania DKT. Samia Suluhu Hassan aingie madarakani Halmashauri ya Manispaa ya Lindi wamepokea zaidi ya shilingi bilioni 82 za miradi mbalimbali ya maendeleo
Pia, Soma: DC Lindi Victoria Mwanziva...
Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Zainab Telack, amemsifu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa juhudi zake kubwa katika kuleta maendeleo, akimtaja kama "Rais wa Kujenga Taifa."
Akizungumza Machi 15 katika Mkutano wa Diwani wa Ilani uliofanyika Kata ya Narungombe, wilayani...
Mkuu wa Wilaya ya Lindi- Victoria Mwanziva ameendelea na ziara ya Kata kwa Kata katika Wilaya ya Lindi; na ziara hii inafanya ukaguzi wa miradi ya maendeleo na imetoa uwanda mpana wa kusikiliza na kutatua changamoto za wananchi.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi...
Mwanamke aliyejulikana kwa jina la Rukia Said akikadiliwa kuwa na umri wa miaka 25-30 amekutwa na umauti ndani ya basi la abiria akisafirishwa kutoka Kilwa Pande kuelekea Hospitali ya Rufaa mkoani Lindi - Sokoine kwa lengo la kupatiwa matibabu.
Katika Hali isiyo ya kawaida mwili wa marehemu...
Mwanamke aliyejulikana kwa jina la Rukia Said akikadiliwa kuwa na umri wa miaka 25-30 amekutwa na umauti ndani ya basi la abiria akisafirishwa kutoka Kilwa Pande kuelekea Hospitali ya Rufaa mkoani Lindi - Sokoine kwa lengo la kupatiwa matibabu.
Katika Hali isiyo ya kawaida mwili wa marehemu...
RC LINDI, TELACK: MIRADI YA ELIMU IKAMILIKE KWA UBORA UNAOTAKIWA
Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mh. Zainab Telack amewataka Halmashauri ya Mtama kuhakikisha wanawasimamaia fedha za miradi ya ujenzi wa shule na miundombinu ya elimu.
Mhe. Telack ametoa wito huo mapema alipotembelea kukagua ujenzi wa...
Mkuu wa Mkoa wa Lindi Bi. Zainab Telack, ameiagiza Halmashauri ya Mtama mkoani Lindi, kuwa makini na usimamizi wa fedha za miradi ya ujenzi wa shule na miundombinu ya elimu.
RC Zainab ametoa agizo hilo alipofanya ziara ya kutembelea na kukagua Ujenzi wa Shule na Miundombinu ya elimu, yenye...
Mkuu wa Mkoa wa Lindi Bi. Zainab Telack, ameiagiza Halmashauri ya Mtama mkoani Lindi, kuwa makini na usimamizi wa fedha za miradi ya ujenzi wa shule na miundombinu ya elimu.
RC Zainab ametoa agizo hilo alipofanya ziara ya kutembelea na kukagua Ujenzi wa Shule na Miundombinu ya elimu, yenye...
Ramadhan Mubarak
Baada ya kuimaliza mkoa wa pwani unaingia mkoa wa lindi kwa kuanza na wilaya ya kilwa
Safari ni ndefu kama masaa matatu hivi unaingia kwenye mji mkongwe, uliotawala amani na utulivu.
Upepo unasukumwa na mawimbi ya bahari ya hindi, tambarare na milima ya kuchosha mwili na...
Tarehe 3 Machi 2025 Maimuna Pathan, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Lindi, amekabidhi bati 90 kuunga mkono juhudi za ujenzi wa nyumba ya mtumishi wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Wilaya ya Nachingwea. Bati hizi ni sehemu ya michango ya Pathan katika kuendeleza maendeleo ya Wilaya ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.