lavalava

  1. B

    No rasmi sasa Lavalava ndio king wa Piano bongo hii

    Mie si mpenzi wa WCB lakini ukweli usemwe toka jamaa ameanza kutoa amapiano zote zimehit kuliko kawaida. Hakuna msanii anaeweza kutoa ngoma back to back kama alivyofanya jamaa kuanzia Tajiri,Tunakikao,beer nyama, Sawa na sasa Kibango inayosumbua mtaani. Myonge myongeni lakini haki yake mpeni.
  2. H

    Lavalava wa WCB amejipata kisawasawa

    Lavalava ni msanii mkali ila alikuwa anapokea negative comment kwamba ana gundu, hasapotiwi na Wasafi ila tunaojua mziki tuliona sio kweli eti ana gundu au hasapotiwi kwasababu pamoja na hayo maneno still alikuwa anatoa hit song na kupata shows nyingi. Shida ya Lavalava ilikuwa ni kutotoa...
  3. H

    Hii ngoma mpya ya lavalava Kali ametisha

    Jana ndio ilikuwa Mara yangu ya kwanza nasikia ngoma ya lavalava nilikuwa sijawahi kuitafuta kuisikiliza ila wakati nipo kwenye daladala ndipo ngoma nikaisikia ya Tajiri jamaa latisha Sana kuanzia idea yake mpaka melodies Cha muhimu asiwe anakaa kimya Sana bila kutoa ngoma kwa kipindi hiki Cha...
  4. R

    Lavalava ni msanii mzuri sana

    Habari wana jamvi, Mie bongo fleva nimeanza kuifuatilia kitambo sana enzi za bdp na sosy b na mpaka sasa bado naisikiliza nimebahatika kuviona vipaji vingi kwenye hii tasnia waimbaji kwa maraper. Lakini nikiri wazi kua Lava lava ni bwana mdogo mwenye kipaji sana sema naona kama hapati...
  5. Gulio Tanzania

    Lavalava katoka Wasafi? Account yake inatumika kutangaza matangazo

    Ni muda sasa naona Lavalava hajulikani yupo wapi post zake za mda mrefu alionekana na mpenzi wake namzungu wake sasa naona post hizo nazo zimefutwa account yake inatumika kutangaza matangazo ya wasafi bet kampuni ya wasafi ni kubwa ni vyema wakatujulisha kinachoendelea
  6. Mayunga234

    Lavalava ni mzigo kwa WCB haingizi faida yoyote na nyota pia hana

    Lavalava kitu kinachomkwamisha kutoendelea kimziki kwanza ana kaulimbukeni marafiki zake wanaomzunguka ni walamba midomo hawawezi kumshauri chochote zaidi ya mademu. Lavalava anatakiwa abadilike otherwise atapitwa kila siku kwasababu ya uzembe wake na pia hajitathimini upya ili kuongeza mvuto...
  7. sky soldier

    Lavalava ana mkosi upi, Mbosso na Zuchu walimkuta ila wamemchapa gepu

    Lavalava anaimba vizuri sana sasa sielewi tatizo lipo wapi. Lava lava kaanza kuachia kazi zake 2017 may Hata baada ya kutafuta kiki katoa ngoma nzuri ila bado ina sua sua Mbosso - Agosti 2018 zuchu - april 2020, saizi ni moto mkali sana
  8. Shadow7

    Lavalava: Leo ni birthday yangu naitumia kumuombea hayati Magufuli

    Kupitia Instagram yake msanii huyo wa WCB ameandika kuwa :- “Happy birthday To Me. Ahsante Mungu leo ni siku yangu ya kuzaliwa, nakushuru maana Kufika siku ya leo si kwa mabavu yangu bali ni kwa uwezo wako. Niseme tu nitaitumia siku yangu ya leo kumuombea aliyekuwa Rais wetu hayati Dr. JOHN...
  9. Its Pancho

    Kenya tupeni masauti tuwape lavalava, na harmorapa.

    Hivi hakuna uwezekano wao wakenya tubadilishane watupe msanii wao masauti.. Sisi tuwape lavalava,hamisa,harmorapa, Maana sioni wanachokiimba.. Huyu masauti ukimsikiliza anasound kama mbongo yaani ni bongo flava yetu kabisa ukiskliza ngoma zake kiboko,ipepete ,deka,burudani.. Unabaki kushangaa...
  10. Nobunaga

    Rayvanny - I Love You, Mbosso - Ate, Lavalava - Tekenya: Naona mmeamua kutuchezea nyie vijana wa WCB

    Rayvanny wa I Love You sio yule wa Kwetu na Natafuta Kiki. Mbosso wa Ate sio yule wa Hodari na Maajabu. Lavalava wa Tekenya sio yule tulomzoea wa mapini makali kama Bora Tuachane na Niuwe. Hivi nyie vijana wa WCB ndio mmeamua kuprove kwamba Harmonize alikuwa mkali namba 2 kama sio namba 1...
  11. H

    Dullysykes ft lavalava balaa

    Ngoma yenu ni Kali nimependa dullysykes unaonesha bado bado upo Sana kweny game na pia nimependa corus Kali ya lavalava. Hadi sasa hiv ngoma zangu Kali za sasa ni hizi 1.mauasama niteke 2.mario raha 3.lavalava Habib 4.dullysykes ft lavalava Ila ngoma ya maua sama ni habari nyingine.
Back
Top Bottom