No rasmi sasa Lavalava ndio king wa Piano bongo hii

brownboy

Senior Member
Jun 10, 2023
101
270
Mie si mpenzi wa WCB lakini ukweli usemwe toka jamaa ameanza kutoa amapiano zote zimehit kuliko kawaida. Hakuna msanii anaeweza kutoa ngoma back to back kama alivyofanya jamaa kuanzia Tajiri,Tunakikao,beer nyama, Sawa na sasa Kibango inayosumbua mtaani. Myonge myongeni lakini haki yake mpeni.
 
Lava lava yupo vizuri kwenye mziki sema tu sio mpenzi wa kiki wanazotaka vijana wa 2000
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom