30s umri huu Kwa mwanamke anabidi kufocus kutafuta mwanaume kwao huko Mtaani kwao.
Sio anadanga huko Mtaani miaka yote na kutoa mimba then anakuja huku ambako afahamiki ili ajipatie dodo kwenye mnazi
Ukiangalia mtifuano uliopo Katika Kinyang'anyiro Cha Uwenyekiti Taifa ndani ya Chama Kikuu Cha Upinzani CHADEMA, utagundua kwamba Kuna Uzima na Mauti kwenye hicho Chama.
Mauti ya Chadema iko hapa: Tuhuma za miaka yote kuihusu Chadema kama taasisi zimekuwa zikipuuzwa sana huku wanasiasa maarufu...
Nipo mahali aisee mdada kajifunguliq nyumbani sasa kijana now yupo 15yrs hana maamuzi anakosa hata ule uhuru binafsi kama mtoto kila kosa akifanya malalamiko anatukanwa Baba yake na kabila zima
Kumekuwa na hali fulani kwamba watu wakifanikiwa
kiuchumi au kusoma kidogo basi wengine wanasema
hakuna Mungu na kutaka logic kwenye kila jambo
linalohusu uwepo wa Mungu. Hawaamini hata immortality
life baada ya kufa.
Je nawauliza nyie ni zaidi ya Elon Musk ambaye ingawa haja
jishikiza kwenye...
Mambo vip!
Nina swali kwenu wanawake mwanaume wako au mumeo akitaka kuoa mke wa pili yaani kuongeza mke wa pili na wewe ukiwepo hana nia ya kukuacha je utalipokeaje ilo jambo au utalitafsiri vipi?
Na je ni bora aoe mke wa pili uku amekupa taarifa au bora asikupe taarifa?
Mamndenyi Mama Mwana...
Hii Gen Z ina mambo mengi sana, ni kawaida kukuta mtoto wa kiume ameoa na bado anaishi kwa wazazi, yani alipo olewa mama yake na yeye analeta demu wake, huku ni kuvunjia heshima wazazi, kama unajijua ni kijana unayesumbuliwa na genye za kipumbavu basi nenda ukapange na sio kumaliza pwiru wako...
Habari wapendwa. Kama kawaida sisi mitaani kwetu tunaendelea kuchukua hatua madhubuti dhidi ya wenyeviti waliopachikwa. Sisi hatupigi mtu, isipokuwa yeye mwenyewe anaamua kuachia ngazi.
Njia tunazotumia ni pamoja na:-
1. Kila tunapokutana nao tunawaita "VIBAKA".
2. Kila tunapokutana nao...
Habari Wakuu?
Leo nimeenda buchani jijini la dasalamaa. Nikakuta bei ya nyama kilo moja ni elfu 12.
Je, huko kwenu ni kiasi gani?
Ikumbukwe Tanzania ni nchi ya 3 kuwa na ng'ombe wengi Africa.
Christmas itakuwaje?
Mama ana ......................
Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN) imetangaza kuwa itapiga mnada magari mbalimbali ambayo hayatumiki ikiwemo Range Rover Wagon siku ya Ijumaa Desemba 13, 2024.
Mnada huo utafanyika katika Jengo la TSN lililopo Mtaa wa Isimani Upanga, Dar es Salaam utahusisha pia pikipiki, vifaa vya TEHAMA...
Je nyumbani kwenu, walipo wazazi au ndugu zako, ni sehemu salama ambayo ukipigwa unaweza kukimbilia na kupata utulivu kabla ya kurejea tena kwenye mapambano; Au ni heri ufie ugenini kuliko kuthubutu kurudi huko?
Kuna kitu nataka kufundisha kuhusu hili.
Mwaka unaisha hivyo ni harusi moja pekee niliyoalikwa, ni tofauti na miaka ya nyuma.
Labda pengine mlolongo wa matukio kadhaa umefanya mwaka huu kutokuwa kwenye mipango ya kuoa kwa vijana mabachela naowajua, maana kama ni michango ipo.
Pengine nikadhani labda tatizo ni uchumi ila nimekataa...
Hivi kwanini mkisoma habari za michezo watangazaji wanakuwa na haraka sana. Habari za michezo kama mpira wa miguu hasa ligii kuu ya Tz mnaipa air time kwa dakika chache ama sekunde kadhaa.
Ila habari za michezo ya bao mnatowa muda wa kutosha hadi kuwa hoji wahusika.
Pia ligi ya ujerumani...
Hasa kwa wale wenye malengo ya kuja kuajiriwa kwasababu ukweli mchungu wa mfumo wetu wa elimu yetu inaandaa zaidi wahitimu kuajiriwa serikalini, wachache sana wamevunja mwiko huu kwa kutumia elimu zao kujiajiri kwa hiari
Ni kwanini form 6 ilitokea kuwa maarufu zaidi ?
Hapo zamani nchi ilikuwa...
Toka Jana Jioni kumekua na Shida ya Internet Kwa maeneo ya Dar es salaam (Sijui mikoani) mpaka muda huu naandika tatizo ni lile lile!
Sijui changamoto hii itaisha saa ngapi, sijasoma Wala kusikia mahali mkieleza kwamba kutakua ama Kuna Tatizo la Mtandao.
Kwa sisi ambao Huwa tunajiunga na...
Majina haya ya kiarabu asili yake original ni ya wayahudi yenye lugha ya kihebrania,
Kama una majina haya basi tambua kwamba asili ya jina lako ni kwa wayahudi
Shlomoh - Suleyman (Sulemani)
Mosheh - Musa
Amram - Imran
Chanokh - Idris
Dawid - Dawud
Yishmaʿel - Yahya (Yahaya)
HaSatan - Shaytan...
Tujaribu kuwa na moyo wa kutunza siri
mazingira tunayo yakuta huko misibani
kutangaza uliyoyaona baada ya kurudi unamuweka mfiwa katika wakati mgumu baada ya kurudi katika makazi yake
Enyi wasindikizaji wa wafiwa kuweni na vifua haipendizi kuanza kutangaza vijumba viko hivyi choo kilikuwa...
Katika tabia siipendi tuliyo nayo watanzania ni hii ya kuficha ficha mambo ambayo hata siyo ya kuficha
Mfano kwenye kazi ambazo zinafanywa na team...kazi mnaanza vizuri mnafanya vizuri linapokuja suala la kugawana posho utashangaa kiongozi wa msafara na mlipaji wanaenda kujificha sehemu eti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.