kupumzika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. mike2k

    Kwanini Mbowe anapaswa kupumzikka?

    Mfumo wa uongozi wa muda mrefu wa Freeman Mbowe kama Mwenyekiti wa CHADEMA unaweza kueleweka kwa kuangalia madhara ya kukaa katika cheo cha juu cha chama muda mrefu: Kama Mbowe angaliachia madaraka baada ya muhula wake wa kwanza, angekumbukwa kama mtu aliye na maono ambaye kazi yake...
  2. U

    News alert Pamoja na kutakiwa kupumzika na madaktari baada ya upasuaji tezi dume Netanyau atahudhuria uapisho wa trump 20/1/2025 Washington DC

    Wadau hamjamboni nyote? Mwamba amedai Oktoba 20 atakuwepo Washington DC kushuhudia mwamba mwenzake Donald Trump akila kiapo kuongoza taifa kubwa zaidi duniani Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: January 1, 2025 Netanyahu still planning to attend Trump’s inauguration, despite surgery By...
  3. Singasinga

    Trump kushinda labda warmongers wa USA waamue kupumzika

    Habari wakuu. Kuelekea uchaguzi wa Marekani kuna kitu nimejaribu kuwaza, Sote tunazijua sera za Trump sio mtu wa kupenda mavurugu vurugu ndito maana hata uchaguzi uliopita alishinda ile deep state ilimkataa baada ya kuona sera zake sio rafiki kwa biashara kubwa za nchi ile ikiwemo millitary...
  4. Allen Kilewella

    Serikali ihakikishe madereva wanaoendesha mabasi usiku wanapata muda wa kutosha kupumzika.

    Sera zinazosimamia masuala ya usalama barabarani zimeweka Sheria na kanuni za kufuatwa. Uendeshaji magari ya abiria una Sheria na kanuni zake. Mojawapo ni dereva wa Magari ya abiria anatakiwa awe na utimamu wa mwili na akili wakati wote aendeshapo magari. Nilikuwa naongea na dereva mmoja wa...
  5. Yoda

    Kwanini Tanzania hatuweki open spaces za watu kupumzika katikati ya miji?

    Kwanini Dar es Salaam, Arusha, Mbeya na Mwanza hakuna open spaces katikati ya miji kama Nairobi wakati Tanzania tuna ardhi kubwa kuliko Kenya?
  6. Tlaatlaah

    Tetesi: Wazee kumshauri Tundu Antipas Lissu kupumzika au kuacha siasa kabisa

    ni kwa upendo na mapenzi makubwa, wazee wa mkoa wa singida wanapanga kukutana, kujadili na kuamua mustakabali wa siasa za kijana wao mpendwa Tundu Antipas Lisu kutokana na hali yake ilivyo, hasa baada ya kuthibisha mwenyewe juu ya utimamu wa mwili wake, ukilinganisha na majukumu na kazi nzito...
  7. Tlaatlaah

    Tetesi: Aliyewahi kuwa Waziri wa Nishati na baadaye kutenguliwa akiwa waziri wa mambo ya nje ya nchi kupumzika siasa 2025, kujipanga na uongozi wa juu 2030

    "Ni uamuzi mgumu sana kisiasa, lakini ni wa kimkakati zaidi" Mnyetishaji alidokeza bila kufafanua zaidi kipindi hicho cha mapumziko nini kitakua kinaendelea 🐒 Je, kwa mustakabali wa siasa za Tanzania, unadhani huu ni uamuzi muafaka na sahihi kwa mwanasiasa huyo?
  8. Kinjekitile Jr

    Ukweli mchungu kwa Wana CHADEMA; MBOWE anapaswa kupumzika

    Asalaam ndugu zangu!!! Ifahamike;Mimi ni Mwana CHADEMA tena sio Mwana CHADEMA wa kuhamia lahasha!!! Bali ni Mwana CHADEMA wa kuzaliwa…….nimezaliwa nikamkuta mzazi wangu mmoja ni Mwana mageuzi,hivyo nami nikawa Mwana Chama wa hiki Chama kwa kwa Kurithi kutoka kwa Bi’Mkubwa wangu…………Nikienda...
  9. GENTAMYCINE

    Endelea zako tu Kupumzika kwa Amani Hayati Robert Mugabe hukuwa na Baya na hapa Umenena kwa uhakika na usahihi wote

    Ask your girlfriend to visit you, she will say 'she doesn't have money for transport' but if someone tells her that you are with another girl at the hotel. She can even hire a private jet to follow you. Chanzo: Robert Mugabe Hilarious Quotes Sasa kama Mkongwe kabisa Hayati Robert kamaliza...
  10. B

    INAUZWA Usiteseke kufua, jipatie washing mashine yako sasa! weekend ni siku ya kupumzika

    Mashine za kufulia za kisasa zipo karibu yako kwa bei nafuu. Ni za Kilo 4.5 - 120,000 tu Kilo 7 - 560,000 tu Bei zetu ni nafuu sana mtu yoyote anaweza ku afford Offer hii si ya kukosa kwa kipindi hiki cha sabasaba. Kwa mawasiliano zaidi tunapatikana kwa 0772835536. Karibuni sana wateja
  11. B

    INAUZWA Usiteseke kufua, jipatie washing mashine yako sasa! weekend ni siku ya kupumzika

    Mashine za kufulia za kisasa zipo karibu yako kwa bei nafuu. Ni za kilo 3 - tsh 120,000 tu Kilo 4.5 - 350,000 tu Kilo 7 - 560,000 tu Bei zetu ni nafuu sana mtu yoyote anaweza ku afford Offer hii si ya kukosa kwa kipindi hiki cha sabasaba. Kwa mawasiliano zaidi tunapatikana kwa 0772835536...
  12. I

    DOKEZO Wizara ya elimu fuatilieni shule binafsi za msingi zinazokiuka maagizo ya Serikali

    Tunatambua umuhimu wa wanafunzi wa darasa la 4 na darasa la 7 kusoma na kujiandaa kwa ajili ya mitihani yao ya kitaifa baadae mwaka huu. Lakini imekuwa ni kawaida kwa shule za binafsi kukiuka utaratibu wa mapumziko(likizo)pindi shule zinapofungwa kwa kulazimisha wanafunzi kupumzika Kwa wiki moja...
  13. L

    Paul Makonda kuitetemesha na kuitikisa mikoa kumi mfululizo bila kupumzika

    Paul Makonda, Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndugu zangu Watanzania, Fahamu ya kuwa Ndugu Paul Makonda Katibu wa itikadi na uenezi wa CCM Taifa, yule mwamba wa siasa za majukwaani na ambaye anachukuliwa kama sauti ya wanyonge na ambaye...
  14. The Burning Spear

    Kwanini stand ya Mnazi Mmoja haina sehemu ya abiria kupumzika wakisubiria usafiri?

    Naziuliza mamlaka za jiji la Dar es Salaam. Inakuwaje pale stand ya Mnazi Mmoja hapajajengwa vibanda kwa ajili ya kujikinga na mvua au jua. Naongelea hasa huku kwenye daladala za Kinyerezi, Segerea. Mburahati na vibajaji vinavyo enda city centre. Vibanda hivi Husaidia pia mtu kupumzila pale...
  15. kikoozi

    Naomba kujua maeneo mazuri kwaajili ya chakula na kupumzika ndani ya Morogoro

    Habari za uzima ndugu zangu, ndio tunaumaliza mwaka huu kwa kishindo, baada ya kujichanga ndani ya mwaka huu, nimetenga bajeti ya Tsh. laki 5 kwaajili ya kubadilisha maandhari na kuatafakari mambo mapya kwa mwaka ujao wa 2024. Baada ya kutafuakari kwa kina nimeona niende Morogoro (wanasema mji...
  16. GoldDhahabu

    Ni wapi Tanzania kuna bustani nzuri ya kupumzika kama ya Nakuru nchini Kenya?

    Ni sahihi kuiga vitu vizuri. Kama hatuna bustani nzuri kama hii iliyopo jijini Nakuru, Kenya, ni bora jitihada zifanyike ili miaka michache ijayo, tuwe na nzuri, tena kubwa kuizidi ya jijini Nakuru. Najua pale Mwanza Mjini, jirani na Gandhi Hall, kuna bustani ya uma lakini ukiilinganisha na ya...
  17. J

    Wakili Mwakubusi: Vyama vya Upinzani kazi yao ni kufukuzia tu ubunge na ruzuku, haviwezi kulikomboa Taifa

    "Vyama vyetu vya siasa nadhani aidha vimechoka sana vyote vinahitaji kupumzika au viongozi wake wamechoka sana wanahitaji kupumzika, na ndio maana wanapoteza ile hamu ya kulikomboa na kulisimamia taifa, wanakuwa watu wa kufukuzana na tuvyeo, ubunge, ruzuku, kugawana, kukaa kaa mezani. Kila...
  18. The Burning Spear

    Tanzania pawepo na maeneo huru ya kupumzika

    UTANGULIZI Maeneo ya kupumzika ni mazuri kwa afya ya kili pia ustawi wa jamii yetu, Unajua pale mtu ambapo umetoka katika mizunguko au umechoka kukaa ndani kuna haja ya kuwa na maeneo huru ambayo mtu anaweza kupumzika bila buguza yoyote kwa mda Fulani, Maeneo yaliyo mengi yanamilikiwa na watu...
  19. S

    Rais kama Mtumishi wa Umma ana haki ya kupata mapumziko. Miaka miwili mfululizo bila likizo ni kawaida?

    Jamani kama sikosei kisheria Mh. Rais kama mtumishi wa umma, anayo haki na stahiki ya kwenda likizo ya mwezi kila mwaka kama ilivyo kwa watumishi wote wa umma. Hata kwa wenzake waliomtangulia walienda likizo mara kwa mara na sote tulifahamu hili. Kwa jinsi mambo yalivyo mengi sasa hivi nchini...
  20. J

    Unatenga muda wa kuweka simu pembeni na kupumzika?

    Ili kuepuka uchovu unaotokana na kukosa usingizi wa kutosha, ni muhimu kuwa na uwiano mzuri kati ya Matumizi ya Simu na Muda wa Kupumzika. Inashauriwa; 1) Kuweka muda kwenye Mitandao ya Kijamii: Simu na 'App' nyingi huruhusu kuweka ukomo na kukupa taarifa unapofikisha muda 2) Kuwa na Ratiba ya...
Back
Top Bottom