Hata kwa maneno ya Governor wa Benki Kuu ya Tanzania kuwa dola itaanza kupanda tena kuanzia February 2025 unaweza kujua tu kwamba kila kitu kipo kwenye control. Wasilolijua watu wengi ni nani hasa huyo yupo kwenye control ya haya mambo. Si mwingie ni Mmarekani mwenyewe!
Kuna wakati nchi inaamua...
Idadi ya vifo vilivyotokana na kuporomoka kwa jengo la ghorofa, Kariakoo jijini Dar es Salaam vimefikia 29, baada ya miili mingine tisa kupatikana.
Jengo hilo liliporomoka asubuhi ya Jumamosi Novemba 16, 2024 na kusababisha vifo, majeruhi zaidi ya 80 na uharibifu wa mali za mamilioni ya fedha...
Kwenye ajali ya Kariakoo iliyohusisha kuporomoka kwa jengo la biashara la ghorofa nne kisha kifusi kufunika mamia ya watu, huyu mama amepoteza wanae wawili. Mabinti warembo kutoka katika ardhi ya Mkoa wa Songwe huko Tunduma, ambao waliamua kuchagua njia sahihi ya upambanaji na si njia nyingine...
Hakuna haja ya kuunda tume kwa tatizo ambalo serikali inalifumbia macho na jibu la tatizo hilo wote wanalifahami.
Iko hivi;
Mfanya biashara + Eneo la biashara kubwa + Mipango Miji + Fundi Maiko = Maafa
Assumptions;
Mfanyabiashara- Mkinga, Mrombo
Eneo la Biashara- Kariakoo, Sinza, Ilala...
Ijumaa Novemba 22, 2024: Waziri Mkuu aunda Tume maalumu ya watu 21
- Kwa mujibu wa maelekezo ya Rais Dkt. Samia, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amezindua Tume maalum ya wajumbe 21 ambao wamebobea kwenye masuala ya ujenzi kuchunguza chanzo cha tukio la ajali ya jengo lililoanguka Kariakoo, pamoja na...
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameongoza maelfu ya wananchi wa Dar es Salaam kuaga miili ya waliofariki kutokana na ajali ya kuporomoka kwa jengo la Ghorofa eneo la mtaa wa Congo na Mchikichi kata ya Agrey Wilaya ya Ilala Jijini Dar es Salaam lililoanguka tarehe 16 Novemba, 2023.
Tukio la ibada...
Irene Mallya anamtafuta Mama yake Happiness Mallya, mfanyabiashara wa Kariakoo mkoani Dar es Salaam, ambaye hajulikani alipo tangu ilipotokea ajali ya kuporomoka kwa jengo Jumamosi Novemba 16, 2024.
Irene amezungumza na TBC Digital katika eneo hilo la ajali Kariakoo ambapo shughuli za uokoaji...
Watanzania, msikubali kufanywa wajinga kwa mtu mmoja kuhamisha mjadala unaohusu maisha ya watu na kuwaletea vihoja vyake ili mvijadili na muache hoja za msingi zinazohusu maisha ya watu na utayari wa serikali kwenye matukio kam,a haya.
Waandishi wa habari na nyie kazi kwenu ipi iwe ni habari...
Ndugu zangu Watanzania,
Nimekutana na kufanya mazungumzo na wana CCM wenzangu mitaani .ambapo wana CCM mbalimbali kutoka maeneo mbalimbali wameumizwa na kuumia sana mioyo yao kutokana na kuporomoka kwa Ghorofa kulikopelekea baadhi ya watu kupoteza Maisha na wengine kujeruhiwa vibaya.
Tukio...
Kwa mujibu wa mashuhuda, ghorofa hilo lilianguka ghafla saa tatu na dakika tano asubuhi wakati mafundi ujenzi walipokuwa kazini wakitoboa kwa ajili ya kuongeza sehemu ya maduka.
"Tulianza kusikia kelele za mtikisiko, kisha kwa ghafla jengo zima likaanguka. Wananchi wameshindwa kujiokoa na...
Rais Samia amesikitishwa na ajali ya kuporomoka kwa jengo la ghorofa Kariakoo, Mkoani wa Dar es Salaam iliyotokea asubuhi ya leo Novemba 16.
Pia, Soma: Ghorofa limeporomoka Kariakoo asubuhi ya leo Novemba 16
"Nimesikitika kupokea taarifa ya ajali ya kuporomoka kwa jengo la ghorofa katika Kata...
Muda huu mtaa wa Congo na Mchikichi
Kariakoo, uokoaji unandelea.
Tuwaombee wenzetu wapone
Pia, Soma: Ghorofa limeporomoka Kariakoo asubuhi ya leo Novemba 16
Madai ya rushwa na matumizi mabaya ya fedha yamekuwa yakitajwa, huku wakosoaji wakimlaumu Mbowe na viongozi wa chama kwa kukosa uwazi na kushindwa kuleta mabadiliko ya kweli.
Swali linalojitokeza ni: Je, CHADEMA bado kina nafasi ya kushinda uchaguzi ujao wa serikali za mitaa? Mgawanyiko huu...
Ukweli ni kwamba tokea mwaka 2023 shilingi ya tanzania imeporomoka kutoka 2330 mpaka 2730 kwa dola moja ya marekani ukilinganisha na shilingi ya majirani zetu KENYA ambao shilingi yao inazidi kupata nguvu dhidi ya dola ya marekani hasa mwaka huu wa 2024
Nini maoni yako, wapi tunakosea...
Kwa wiki kadhaa sasa sarafu ya EURO (EUR) imekuwa ikiimarika dhidi ya Dollar ya marekani (USD).
Je tutegemee kutokea anguko la EUR week hii baada ya kuwa Bullish kwa muda sasa?
Nini maoni yenu? Karibuni
Ni jambo ambalo nimelishuhudia na sijui kama watu wengine wanaliona, kwamba katika awamu hii ya utawala wa Raisi Samia kumekuwa na masuala mengi sana yanayohusu wanasheria hawa mawakili wetu. Labda niseme wazi kwamba haijawahi kutokea katika jistria ya Tanzania mawakili wakawa busy kama hivi...
"Faida za kuwa na familia imara yenye amani, mshikamano na upendo kwa watoto ni kubwa sana, kwanza watoto watakuwa salama, sio rahisi watoto kufanyiwa ukatili, watoto watakuwa na maadili mazuri lakini utaona hata idadi ya watoto wa mitaani inapungua"
Mratibu THRDC, Wakili, Onesmo Olengurumwa...
Wakubwa habari zenu mimi ni kijana wa 30+ na hivi karibuni natarajia kupata mtoto wa pili, majaliwa ya mwenyezi mungu.
Haya tujikite kwenye mada hapo juu, kwa jamii ninayo ishi nimeshuhudia vitendo viovu na maadili mabaya hasa kwa wadogo zetu, wengine watoto ambao unao uwezo wa kumzaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.