kuagiza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Jimbi

    Rais anapata wapi mamlaka ya kuagiza Spika asilipe posho za Wabunge?

    Wakuu, ile dhana ya uwepo wa Mihimili Mitatu inayojitegemea ni DANGANYA TOTO TU. Magufuli amedhihirisha hilo leo kwa kuagiza Ndugai asilipe posho za Wabunge walioamua kujiweka "karantini". Kama Rais ana mamlaka ya kuliingilia Bunge, vipi kuhusu Mahakama? Atashindwaje kutoa maagizo yanayofanana...
  2. Mad Max

    Taratibu za Kuagiza Pikipiki kutoka nje ya Nchi

    Wakuu Habari. Naomba kujuzwa taratibu za kuagiza pikipiki kutoka nje (Mfano Japan). Kwa magari tunaona kuna website kama Beforward Tradecarview Autocom etc, sasa kwa pikipiki kuna utaratibu huo? Na ikishafika bandalini, wakati wa kuitoa ushuru una kadiriwaje au unafuata taratibu gani? Shukrani.
  3. Prodigy Oligarchy

    Ipi ni kampuni bora ya kuagiza gari Japani

    Wana Jf habari, Pameibuka makampuni mengi sana, ambayo yanajihusisha na uuzaji magari kutoka japan kuleta huku Na kila moja akijitangaza kuwa bora zaidi. Kitu ambacho kwa wageni ambao wanahitaji kufanya maamuzi ya uagizaji, huwa kinawachanganya, wasijue ipi ni sahihi ipi sio. Naamini tunao...
  4. afrique

    Naomba ushauri katika kuagiza gari. Je, nitumie mitandao mikubwa au niende kwa dealers

    Habari zenu, Nataka kuagiza gari naona hata hao makampuni ya kuagiza wanacwanachukua picha za beforwad na Japanese autocom. Sasa si heri ninunue tu huko beforwad au autocom! Ushauri wenu experts na experience zenu zitanisaidia
  5. pansophy

    Naomba kujua namna ya kuingiza silaha (Bastola) kwa matumizi binafsi

    Habari wanajamvini Nimepita Tanganyika Arms kwa lengo la kujua utaratibu wa kuingiza silaha (bastola) kwa ajili ya matumizi binafsi lakini sikufanikiwa kupata majibu. Naomba muongozo kwa anayefahamu utaratibu wa kuingiza kifaa hiki.
Back
Top Bottom