kozi

Közi is a Japanese musician, singer-songwriter and DJ. He is best known as guitarist for the visual kei rock band Malice Mizer. After the band went on indefinite hiatus in 2001, he formed the industrial rock duo Eve of Destiny and also started a solo career. Közi is currently in the bands Dalle, XA-VAT, ZIZ and Vamquet, while occasionally performing solo shows.
During his time in Malice Mizer, Közi often assumed the role of a pierrot doll, dressing in clown-like costumes with large ruffs, always in shades of red, his favorite color. In music videos and on-stage he would often make movements reminiscent of a marionette. Közi has continued this visual style to some extent, but his contemporary stage costumes are more gothic. His work on the Izayoi no Tsuki project was reminiscent of carnival music, and artwork for his projects usually follow a dramatic, theatrical theme. Very few details about his private life are known.

View More On Wikipedia.org
  1. P

    Ameacha chuo mwaka wa pili kozi ya clinical medicine na anataka kwenda kusoma degree ya ufamasia

    Hello habari kuna dogo kaamua kuacha kozi ya clinical medicine na kwenda kozi ya ufamasia ,na alikuwa anafanya vizuri tu sasa ilikuwa anakarbia kufanya mtihani wa cat one mwaka wa pili kaamua kuacha anataka akasome ufamasia tumemweleza aendelee kwanza na diploma afu atajiendeleza badae hataki...
  2. P

    Waliosoma uganda au wenye kujua kuhusu hii kozi ya ufamasia nchini uganda

    Wakuu habari,hivi ni vyuo vikuu gani vizuri Kwa kozi ya pharmacy ngazi ya degree nchini Uganda nataka nimpeleke ndugu yangu akasome huko Uganda msaada wakubwa
  3. hon daniel killion

    Kubadilisha kozi ukiwa umeajiriwa na Serikali

    Habari JamiiForums, Nina maswali mawili kidogo. 1. Nahitaji kukuuliza swali kidogo, hivi mtu akiajiriwa na Serikali anatakiwa kukaa miaka mingapi kazini ndo akasome tena mfano ana diploma anataka degree🙏 2. Na mfano Serikali imekuajiri kama mtu mwenye diploma ya environment health na unataka...
  4. wa kibondemaji

    Data management

    Habari wakuu naombeni mimi ni CO muajiriwa serikalin kutokana na kuwa na muda mwingi kazin kwangu nimewaza kusoma kozi ya data management pale open university bika kuomba ruhusa kazin,vipi kuhusu upatikanaji wa ajira au recategorization nitakapomaliza degree yangu?
  5. wa kibondemaji

    Nahitaji kusoma kozi za Mtandaoni

    Naombeni msaada wa uelewa kuhusu online courses, nahitaji kusoma online je niwapi nitapata course za online ambazo nitakuwa certfied? Na je hizi course gharama yake ikoje? Je ziko kozi za bure mitandaoni ambazo ukisoma unaweza kupata ujuzi fulani? Ni site zipi nitapata hizo kozi?
  6. D

    Kati ya IT(Information Technology) na Computer Science je ni kozi ipi Ina fursa zaidi na inaongoza kwa watu wengi waliofanikiwa?

    Wadau msaada Je, kati ya IT(Information Technology) na Computer Science je ni kozi ipi Ina fursa zaidi na inaongoza kwa watu wengi waliofanikiwa?
  7. Mwafrika Halisia

    Sijapata mkopo kwa ajili ya diploma katika kozi ya Clinical Dentistry

    Wakuu habari za saa, Mimi ni mwanafunzi niliyechaguliwa Kozi ya clinical dentistry . Katika utoaji wa mkopo Kozi yangu pia ni moja ya kozi iliyopewa kipaumbele kupata mkopo ngazi ya diploma. Lakini tangu nilipofanya application mwezi wa nane mwaka huu hadi Leo hii batch zote zilizotangazwa...
  8. Mbabanyi

    Serikali itambue kozi ya Health Information Science kwenye portal ya ajira za serikali

    Tunaomba serikali itambue kozi ya Health information Science kwenye Portal za Ajira za serikali. Je, serikali Ina mikakati gani? Maana huu ni mwa wa Saba na intake ya 8 Toka ianzishwe pia serikali tunapenda kupate mwafaka maana wengn tunatoka familia masikini Pili, funguo la kujitolea Kwa...
  9. zigi 01

    Naombeni ushauri chuo gani kizuri kwa kozi ya ICT

    Naombeni ushauri chuo gani kizuri kwa kozi ya ICT kati ya vyuo hivyo hapo kwa level ya degree!. Chuo kizuri kwa kozi ya ict kati ya must, arusha tech na ardhi
  10. Tanki

    Kwa Dar es salaam. Ni wapi naweza kwenda kusoma kozi ya Store keeping japo Nipatie Certificate tu.

    Nitashukuru zaidi kama utaniambia na Bei ya hiyo kozi na muda wake hadi kozi kuisha. Natanguliza shukrani
  11. S

    Wadau ninasoma bachelor of science in chemistry sion future katika hii kozi naomb ushauri

    Wadau mimi ni mwanachuo nasom bachelor of science in chemistry mwaka wa pili lakini sioni future katika hii kozi kutokana na uhaba wa ajira na msoto wa waliomaliza naombeni ushauri
  12. J

    Naomba ushauri namna ya kuhama kozi chuo cha udom

    Samahani viongoz wangu!Nilikuwa naomba mnisaidie je naweza kuhama kozi katika chuo cha udom kutoka nursing kwenda pharmacy au md nanabidi nifuate hatua zp? Na itakuaje kuhusu mkopo? Naomben msaada wenu nilikuwa pcb ufaul wa CBC yan points 8
  13. GENTAMYCINE

    Nipo mbioni kuanzisha Kozi Maalum ya Kuwafundisha Marais wa dunia namna ya Kuongea Points mbele ya Hadhira na siyo Pumba

    Na gharama yake itakuwa ni Nafuu sana kwa kila Rais ila kutakuwa na Sharti Kubwa kidogo la Kwanza kutaka kuijua Elimu ya Rais husika, Chuo chake alichosoma na kama Alifaulu vyema huko kisha mwisho atapimwa Akili kama zinamtosha sawa sawa na pia kuangalia kama ama havuti Bangi au si Mlevi wa...
  14. maelekezo

    Naomba ufafanuzi wa kozi aina yaa Filter Mechanics

    Masada wakubwa kuhus filter mechanics ni kozi inayohusu nini haswaa na ina upana gani kwenye ajira
  15. Udart

    MSAADA KOZI YA COMMUNITY DEVELOPMENT

    Kwema. Nina mdgo wangu anataka kusoma KOZI ya community development Kwa level ya cheti binafsi nilipenda asome procurement . hii ya community binafsi naona kama uwanja wa kupata kazi ni mgumu japo naomba wabobez mnisaidie japo naheshimu anachokitaka yeye...
  16. kruzostom

    Ushauri kuhusu kubadili kozi pale Kampala

    Nimepangiwa education pale Kampala lakini nataka kozi ya afya je, nikienda mapema naweza kufanikiwa labda kwa private? Naomba mtu mwenye uhakika hili ndo aweze kunifafanulia vizuri Kama vipi nifanye application upya yaan ushauri wa uhakika tuache kujibu kwa mazoea plz plz jamani
  17. Joseph mwakabelele

    Kozi ya Educational Technology inahusiana na nini hasa?

    Jamani mi nauliza hivi kozi ya Educational Technology inahusiana na nini hasa? Na mtu akisoma hii kozi anakuwa nani au fursa zake zinapatikanaje?
  18. M

    Anaomba msaada wa hii kozi tafadhali

    Kuna binti kamaliza form six mwaka huu kaomba chuo kapata vyuo viwili na alikuwa anasoma PCB kapata UDSM na UDOM lakini kozi aliyopata ndo haelewi kozi yenyewe ni Aquaculture vyuo vyote viwili kapata kozi iyo ss anauliza vp iyo kozi ajira zake zimekaaje
Back
Top Bottom