Karibuni sana hapa Banana, Tumefungua ofisi mpya kwa huduma zilizopo hapo juu; Licha ya hayo, pia;
1. Tunasajili Kampuni, jina la biashara
2. Tunasajili Miradi ya uwekezaji (TIC)
3. Tunafuatilia leseni, TIN, number
4. Maandalizi ya Business strategic plans Business Proposal
5. Maandalizi ya...
SOLD OUT....!
KIWANJA KINAUZWA MAENEO YA KIVULE KARIBU NA SHULE YA SEKONDARI KEREZANGE
SIZE : 40 METERS X 40 METERS
PRICE : 25 MILLIONS
CONTACT : 0712 36 33 58.
ALL SERVICES AVAILABLE
HAKUNA DALALI
Habari wadau.
Natafuta kiwanja maeneo ya Kitunda Kivule mpaka maeneo ya Msongola.
Bajeti yangu ni milioni 5.
Ukubwa wa Kiwanja kisipungue sqm 300. Kama kikiwa kikubwa zaidi nitashukuru.
Kama unauza kiwanja maeneo hayo karibu unipe sifa zake.
Pesa ipo mfuko wa shati
Baada ya kupitia changamoto za kimaisha na Biashara, sasa tumeinuka tena na tayari tumefungua ofisi zetu maeneo ya Ukonga Banana, mkabala na jengo jipya.
Huduma zetu;
SHERIA (WANASHERIA NA MAWAKILI)
BIASHARA (kusajili jina la Biashara, kampuni na Taasisi,
KODI (Ushauri kuhusu kodi, makadirio...
07. 05. 2024
Nilifanikiwa Kutembelea Ofisi Ya Afisa Mtendaji wa Kata Ya Kivule, Ili Kujua Mipango Ya Maendeleo Inayoendelea Kwenye Kata Ya Kivule, Pamoja Na Mipango Waliyonayo Katika Utatuaji wa Changamoto, Kwenye Kata Ya Kivule.
Katika Matembezi Haya, Niliweza Kujua Mipango Ya Maendeleo...
Shule inapatikana Wilaya ya Ilala inajumuisha jumla ya madarasa 16, jengo moja la utawala, matundu 24 ya vyoo.
Shule imejengwa kupitia mradi wa BOOST na umegharimu jumla ya Tsh. Milioni 475.
Zaidi ya wanafunzi 1395 wanatarajiwa kupata elimu kwenye Shule hiyo.
Faida za shule
Kupunguza...
Kiwanja kwa bei ya OFA ya kufungia mwaka.
kiwanja kipo Mbezi Msakuzi kwa Lipelanya Shule ya Makamba.
Ukubwa ni 45 kwa 35 metres.
Bei ni million 30 tu.
Umbali kutoka barabarani ni km 2
Mawasiliano 0715128827
Nyumba ipo kwenye eneo kubwa la uwanja wa 35x76
Ina kisima na tank la ujazo wa Lt 7,000
ina Vyumba Vitatu vya Kulala Kimoja ni Master
Pia ina;
Sitting room (Kubwa)
Dining Room
Jiko kubwa
Stoo kubwa
Ina eneo kubwa la wazi
Nyumba ipo umbali wa Km 5-7 hadi Airport-JNIA
Mpangaji ataweza kufanya...
NILIVYOMKOMESHA TAPELI WA VIWANJA KIVULE
Habari zenu wadau wa JF!
Leo nami nimeonelea niwasimulie kisa changu jinsi nilivyomkomesha tapeli maarufu wa viwanja maeneo ya Kivule ajulikanaye kama Juma Kasangu,mnamo mwaka 2014 mwanzoni nikiwa katika harakati zangu za kutaka kujipatia eneo...
Habari wana JF
Nauza nyumba yangu kwa 22mil kwenye eneo lenye ukubwa wa sq 500 imepauliwa na bati la msauzi mgongo mpana ila sijaendelea na chochote baada ya hapo... Ila ni nyumba ya vyumba 3 vya kulala kimoja masta, sebule, dining, public toilet,bafu na jiko.
Umeme na maji vyote vipo jirani...
Habari wana JF,
Nauza nyumba yangu iko Kivule kwa wamakonde kwenye kiwanja cha s.meter 500, haijaisha ila tayari ishapauliwa na mabati ya msauzi.
Kwa walio serious karibuni..22mil
Mawasiliano 0767940945
Asanteni..
Habari,
Nauza nyumba yangu ipo maeneo ya Kivule kwa wamakonde 25mil, haijaisha...Imeezekwa na mabati ya msauzi..Kiwanja ni cha kuandikishana serikali za mitaa hakina hati, kina ukubwa wa sq 500, ina vyumba vitatu vya kulala, kimoja ndo master, ina sebule,dining pamoja na jiko.
Aliyepo serious...
Moja kwa moja.
Siku za hivi karibuni nilipanda usafiri wa daladala kutoka banana hadi kivule kwenye harakati zangu ,Kwa kweli Ktk Maisha yangu sijawahi shuhudia barabara mbovu kama ile na kila siku hali ile ile miaka nenda miaka rudi
Kutokana na ubovu wa barabara uliopitiliza nilipata...
Mzee wangu Azzan Zungu anazeeka vibaya, kwani hawezi kuwasilisha hoja yake bila kuwabagua watu? Kwa takwimu gani alizonazo kuweza kuwatofautisha watu waliopo mtandaoni! Nimkumbushe kina Sarungi, Karume, 2014 na wengineo wengi sio wakazi wa huko alipopataja.
Azzan Zungu: Najua hawa wote...
Kwa heshima kubwa napenda pole kwa kazi, sina mengi kwako ila nakukumbusha kidogo, ulivyo kuja Kivule Hapa DSM, Ili kujua zoezi la urasimishaji ardhi linaendeleaje, ulikuta baadhi ya wananchi wametozwa hela zaidi(mara mbili zaidi) kinyume na maagizo ya serikali.
Ulitoa tamko kali, kuwa wale...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.