kiteto

Kiteto District is one of the six districts of the Manyara Region of Tanzania. It is bordered to the north by the Simanjiro District, to the east by the Tanga Region and to the south and west by the Dodoma Region. The district headquarters are located in Kibaya.
According to the 2002 Tanzania National Census, the population of the Kiteto District was 152,757.[1] According to the 2012 Tanzania National Census, the population of Kiteto District was 244,669.The District Commissioner of the Kiteto District is Lt. Lepillal Ole Moloiment.[2]

View More On Wikipedia.org
  1. Stephano Mgendanyi

    Wananchi Kiteto Wamuomba Mbunge Ole Lekaita Shule ya Sekondari, Umeme na Barabara

    Mbunge wa Jimbo la Kiteto, Mhe. Edward Ole Lekaita amemkabidhi Mwanafunzi mwenye ulemavu wa miguu Kitimwendo alipotembelea Shule mpya ya Msingi Nguzosita iliyojengwa kwa gharama ya zaidi ya Shilingi Milioni 500. Aidha, Mhe. Edward Ole Lekaita amechangia mifuko ya Saruji 100 kwaajili ya Ujenzi...
  2. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Ole Lekaita ampa tano Rais Samia utekelezaji miradi ya maendeleo wilayani kiteto

    Mbunge wa Jimbo la Kiteto, Mkoani Manyara Mhe Edward Ole Lekaita amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kazi anayoifanya ya kuhakikisha maendeleo yanawafikia wananchi kwa wakati. Amesema kuwa Rais Samia amekuwa kinara kuhakikisha wananchi wanapata...
  3. JanguKamaJangu

    DC Kiteto aenda kusikiliza Wananchi wa Ndaleta kuhusu mgogoro wa Ardhi, Wenyeji wailalamikia Halmashauri

    Wananchi wa Kijiji cha Ndaleta Wilayani Kiteto Mkoani Manyara wameilalamikia Halmashauri ya Wilaya hiyo wakidai imehusika kuhujumu Wananchi kwa kiwango kikubwa katika masuala ya mgogoro wa ardhi yanayoendelea. Wameeleza kuwa wamefikisha malalamiko yao mara nyingi kuhusu mgogoro wa ardhi lakini...
  4. Sean Paul

    Nataka kwenda Kiteto, nipo Gairo naombeni ABC za safari na mji ulivyo

    Wakuu habari za jioni. Nipo Gairo, nna safari ya kwenda Kiteto naombeni ushauri wa masuala muhimu. 1. Namna ya kufika huko toka hapa nilipo. 2. Gharama za kulala lodge na lodge nzuri na huduma zake. 3. Hali ya hewa na tahadhari za kuchukua mwanzo wa safari hadi mwisho. 4. Any other...
  5. BLACK MOVEMENT

    Wako Wapi Wabunge wa Simanjiro, Longido, Monduli na Kiteto? Hamuwaoni ndugu zenu wanavyo teseka? Wakati wenu waja

    Hawa wabunge huwezi wasikia kwenye swala lolote la kutetea Wasai wenzao wanao taabika na wanao kuwa wakimbizi chini ya utawala wa kikaburu wa CCM, hawa wanangoja vipindi vya kampeni vifike wakawadanganye wamasai wenzao na kuwalisha nyama ili wawapigie kura tena. Hawa wabunge huu ulikuwa ni...
  6. Stephano Mgendanyi

    Bilioni 3.5 Kiteto Kukamilisha Huduma za Afya Wilaya ya Kiteto, Manyara

    Mbunge wa Jimbo la Kiteto, Mhe. Edward Ole Lekaita amefika Shule ya Sekondari Ndedo na kukabidhi Kompyuta Tano (05), Printa (Printer), Projekta (Projector) na Mashine ya Photocopy mpya kwaajili ya kufundishia na kuwataka Wanafunzi kusoma kwa bidii kujiongezea Maarifa. Mhe. Edward Ole Lekaita...
  7. Stephano Mgendanyi

    Jimbo la Kiteto Tumepokea Fedha Kwaajili ya Miradi ya Maendeleo Kiasi cha Tsh. 965,280,029

    JIMBO LA KITETO: TAARIFA KWA WANANCHI WA KITETO TUMEPOKEA FEDHA KWA AJILI YA MIRADI YA MAENDELEO KIASI CHA SHS 965,280,029 Ndugu wananchi wenzangu wa Jimbo la Kiteto, nachukua fursa kuwafahamisha kuwa tumepokea fedha 965,280,029 Shs kwa ajili ya miradi ya maendeleo. Nimezungumza na Mhe...
  8. Stephano Mgendanyi

    Edward Lekaita, Mbunge wa Jimbo la Kiteto Afanya Ziara Kata ya Kibaya na Lengatei

    MHE. EDWARD LEKAITA, Mbunge wa Jimbo la Kiteto Afanya Ziara Kata ya Kibaya na Lengatei Mbunge wa Jimbo la Kiteto Mkoa wa Manyara, Mhe. Edward Ole Lekaita amefanya ziara katika Kata ya Kibaya na Lengatei na kukutana na Makundi mbalimbali ikiwemo Maafisa Usafirishaji (Bodaboda) wa MaishaPlus...
  9. Miss Zomboko

    Kiteto: Mwenyekiti wa Mtaa Jela Miaka 4 kwa kupokea Rushwa ya Tsh. 60,000

    Mahakama ya Wilaya Kiteto imemhukumu MAMBE MOHAMED MAMBE, Mwenyekiti wa Kijiji cha Nasetan, Kata ya Engusero, Wilaya ya Kiteto Mkoa wa Manyara. Mshtakiwa ametiwa hatiani na kuamriwa kwenda Jela miaka minne au kulipa faini ya shilingi 1,000,000/= kwa makosa ya kuomba na kupokea hongo kiasi cha...
  10. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Edward Lekaita Akabidhi Ambulance Hospitali Ya Wilaya Ya Kiteto na mifuko 900 ya saruji katika kata za Jimbo la Kiteto

    Mbunge wa Jimbo la Kiteto Mkoa wa Manyara, Mhe. Edward Ole Lekaita amekabidhi Ambulance 🚑 mpya kwa uongozi wa Hospitali ya Wilaya ya Kiteto na kuwataka kulitunza ili liwanufaishe. Vilevile, Mhe. Edward Ole Lekaita amekabidhi Mifuko 900 ya Saruji kwa Kata ya Bwawani (Mifuko 50), AMCOS Matui...
  11. Stephano Mgendanyi

    Kuelekea 2025 Mbunge Ole Lekaita Akabidhi Magari Mawili ya Wagonjwa Kituo cha Afya Sunya - Kiteto

    MBUNGE OLE LEKAITA AKABIDHI MAGARI MAWILI YA WAGONJWA KITUO CHA AFYA SUNYA-KITETO Kituo cha afya cha Sunya kilichopo katika Wilaya ya Kiteto kimekabidhiwa magari mawili ya wagonjwa (Ambulance) kwa ajili ya kuwahudumia wananchi. Akizungumza mara baada ya kukabidhi magari hayo jana tarehe 16...
  12. BARDIZBAH

    Tanga kuna usafiri wa moja kwa moja kwenda Kondoa kupitia Kiteto

    Msaada tafadhali. Tanga kuna usafiri wa moja kwa moja kwenda Kondoa kupitia Kiteto? Na nauli yake imekaaje?
  13. JanguKamaJangu

    Barua ya wazi ya ndugu wa Wakulima waliokamatwa Kiteto, watoa madai ya kuombwa rushwa ili dhamana ipatikane

    Pia soma = Wakulima 27 Wilayani Kiteto washikiliwa na Polisi kutokana na mgogoro wa Ardhi = Manyara: Wakulima Kiteto warejea kwenye mashamba waliyoondolewa, watuma ujumbe kwa Rais Samia wakidai wameporwa Ardhi yenye mashamba yao
  14. Roving Journalist

    DOKEZO  Wakulima 27 Wilayani Kiteto washikiliwa na Polisi kutokana na mgogoro wa Ardhi

    Siku chache baada ya baadhi ya Wakulima wa Vijiji vya Mwitikira, Ndaleta, Katikati na Ngabolo Wilayani Kiteto Mkoani Manyara wanaodai kuporwa maeneo yao ya mashamba kuamua kurejea katika mashamba hayo, baadhi yao wamekamatwa na kushikiliwa na Jeshi la Polisi wakidaiwa kuvamia sehemu ya Hifadhi...
  15. BigTall

    DOKEZO  Polisi Kiteto wamekamata Wakulima, wanawatesa na kuwanyima dhamana

    Kutokana na mgogoro wa ardhi unaoendelea Wilayani Kiteto Mkoani Manyara, baadhi ya Wakulima wa Vijiji vya Mwitikira, Ndaleta, Katikati na Ngabolo inadaiwa wamekamatwa na Polisi na wamewekwa ndani. Hakuna taarifa yoyote inayoendelea, Jeshi la Polisi mbona mnafanya maamuzi ambayo ni ya kidikteta...
  16. Stephano Mgendanyi

    Wananchi Kata ya Makame (Jimbo la Kiteto) Wamshukuru Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa Miradi Mingi ikiwemo ya Umeme

    Wananchi wa Kata ya Makame Wamemshukuru Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa miradi mbalimbali mingi ya Maendeleo huku wakimuomba Mbunge wao, Mhe. Edward Ole Lekaita kumfikishia Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan Salamu za Pongezi na shukurani nyingi kutoka kwa Wananchi. Mhe. Edward Ole Lekaita...
  17. Pdidy

    Kilo 150 za mirungi zakamatwa kiteto

    Jeshi la polisi limekamata kg 150 zikiwa zimepakizwa na pik pik mbili tofauti Ingawa mirungi imepatikana kg 150 na pikpik zimekamatwa Madereva husika wamekimbia (hapa ndipo najiulizaga). Hawa nsdio tunafikiria watatupa michongo mizima nani kawatuma wanapokea toka wapi namba zao sasa...
  18. Roving Journalist

    DOKEZO  Manyara: Wakulima Kiteto warejea kwenye mashamba waliyoondolewa, watuma ujumbe kwa Rais Samia wakidai wameporwa Ardhi yenye mashamba yao

    Wakulima wa Vijiji vya Mwitikira, Ndaleta, Katikati, Ngabolo na Olboloti Wilayani Kiteto Mkoani Manyara waliodai kuporwa maeneo yao ya mashamba wamemuomba Rais Samia Suluhu Hassan kuingilia kati changamoto yao inayowakabili kuhusu kuporwa ardhi ya Wafugaji wakidai kuwa wanapewa nguvu na baadhi...
  19. Unique Flower

    Tunauza mashamba viwanja Arusha, Boma, Kiteto

    Karibuni wateja wetu , Tunayo mashamba na viwanja maeneo yafuatayo , Kiteto tunayo mashamba kwa bei nafuu inaanza laki saba mpaka ml 1 na laki moja , hayapo mbali na mji huduma zote zakijamii zinapatikana. Zipo za kijijini ni laki 4 tu. Pi kuna viwanja vipo arusha, boma kwa bei nafuu unalipia...
  20. V

    DC Kiteto ni wakati wa kuitisha kikao cha wadau wa kilimo ili kuwaomba radhi

    Kwenye sakata la zao la Mbaazi Kiteto, wakulima na wadau wa kilimo wameumizwa sana na Maamuzi yako yaliyokuwa yamejaa dharau, kiburi na Majivuno. Mara zote ulikataa kusikiliza upande wa Pili wa wadau wa kilimo, wewe ukakumbatia kundi la Madalali. Matokeo yake wakulima waliokuwa na mbaazi zao...
Back
Top Bottom