kipofu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    Uchaguzi wa CHADEMA umethibitisha utafti wangu kwamba binadamu ni kipofu ingawa ana macho

    Mimi siyo mwanasiasa! Kwa wale wasionijua niwafahamishe tu mimi ni Fundi umeme na ujenzi natambulika popote kama chata la fundi SAMICO! Uchaguzi wa CHADEMA umenifanya nimtafakari sana binadamu! Ndipo nikakumbuka moja utafti wangu nilioufanya kipindi niko nachunga ng'ombe huko Hanang...
  2. Transistor

    VIDEO:TOCH ya kipofu nili-idesign zaidi ya miaka 10 nyuma , mfumo kama huo ulio boreshwa na Elon Musk leo ukionekana ni kitu cha kimapinduzi.

    Kama Taifa letu litazingatia maombi ya vijana wabunifu wa tekinolojia,wakiwa katia umri wa ubongo wa moto na kuchukulia ubunifu wao kama kitu muhimu na kuwashika mkono na kufanya tafiti na kuboresha mawazo yao. Taifa hili linaweza fika Mbali sana kwa tekinolojia ya ndani...
  3. R

    LGE2024 Baada ya kupuuza Ule msemo wa jinsi ya kula na kipofu, Leo wanatafutwa wananchi wa kujiandikisha Kwa tochi ili kura ziibwe!

    Salaam, shalom!! Viongozi tulikuwa tukiwaonya kupunguza viburi, mlikuwa mkitamba Kwa kauli za kejeli kuwa " Hata msipoipigia CCCM kura Bado itaunda Serekali" Wengine wakaenda mbali na kudai kuwa " CCM kamwe haitatoka madarakani Hadi ipende yenyewe kama ambavyo Pascal Mayalla amekuwa akidai...
  4. LA7

    Natafuta nyimbo za msanii kipofu

    Wadau msaada wa jina la msanii jina silikumbuki ila ni msanii wa bongo flavor ni wa zamani kidogo Japo sina uhakika ila kuna nyimbo yake moja niliona video akizungumzia kumpenda mschana wa jirani Nawasilisha
  5. GENTAMYCINE

    Tuwe sehemu ya Msaada kwa Walemavu wa Macho (Vipofu) hasa Vituoni na Barabarani kwani hata Wewe ni Kipofu Mtarajiwa

    GENTAMYCINE huwa Nakereka mno kuona Mlemavu wa Macho Kipofu (tena yuko na Fimbo yake) anaomba Msaada wa ama Kupandishwa katika Dala Dala au Kumvusha Barabara au kutaka Kukaa mahala kisha unawaona Watu wanamkwepa au kujifanya hawamuoni. Waswahili tuna Roho Mbaya mno halafu ni Wanafiki sana japo...
  6. DR HAYA LAND

    Hivi kwanini wanawake wa Tz wanaamini uongo Sana , Je Mwalimu wao kipofu?

    Nipo hapa Chuo X Kuna Mwanamke nimemwambia Mimi ni Mtumishi wa Serikali nafanya Kazi ofisi ya waziri Mkuu . Wakati tupo Katika maongezi imeingia message kwenye simu yangu , jina limeandikwa Mh Mbunge , ukweli ni Kwamba huyo sio Mbunge wa Serikali ya JMT Bali ni mh Mbunge wa Serikali ya...
  7. Notorious thug

    Kipofu amuua mama mzazi Njombe.

    Hakika inasikitisha sana matukio ya Mauaji yanaongezeka kwa kasi haswa Mkoani Njombe
  8. EVANCIAN

    SoC02 Elimu kipofu

    Na EVANCIAN. Kwa miaka mingi sasa, tumekuwa tukiendelea kushuhudia uporomokaji wa viwango vya Thamani ya Elimu yetu ya Tanzania katika nyanja zote za Uchumi, Siasa, Jamii na Utamaduni ndani na nje ya Nchi. Licha ya jambo hili kuwa hatari sana, Juhudi za kulitatua zimekuwa chache sana na...
  9. sky soldier

    Kwanini kupata mtoto mwenye ulemavu wa akili, viungo, kipofu, bubu, kiziwi, n.k ni aibu na fedheha kwa wazazi wengi?

    Nasema hivi maana mambo ya aibu ndio huwa tuanakazania kuyaficha na ndivyo ilivyo kwa wazazi wenye hawa watoto huwa hawapendi watoto wao wenye ulemavu kujulikana ni watoto wao, wanawafungia majumbani huku wakijificha nyuma ya kivuli cha kuwalinda. yani mtoto anachukuliwa kama mzigo flani hivi...
  10. Mbasa matinde

    SoC01 Muelekeo wa Uchumi na Tozo (Uchumi Kipofu)

    Muelekeo wa uchumi na tozo (uchumi kipofu) Ebu tukae tulizungumze hili kwanza, Kinachoendelea Julai 1, 2021 serikali ilitangaza ongezeko la shilingi mia kwa kila lita moja ya mafuta. julai 15, 2021 serikali ilianza rasmi ukatwaji wa kodi kwa watumiaji wa huduma za kifedha kwa njia ya simu...
  11. Eng Inc

    SoC01 Simulizi: Kipofu aliyeiona 5x5 ageuka kuwa engineer

    Ni takribani miaka ishirini (20) sasa imepita tangu kutokea kwa tukio adhimu kabisa ambalo kwa kiasi kikubwa nadiriki kusema liliweza kubadili historia ya maisha yangu. Sakata zima linaanzia nikiwa shule ya msingi Chamwino iliyopo katika Manispaa ya Dodoma au Dodoma Mjini enzi hizo (kwa sasa ni...
  12. Miss Zomboko

    Mahakama yaamuru Safaricom kumlipa jamaa kipofu KSh6M kwa kumnyima kazi

    Mahakama Kuu jijini Nairobi imeamuru kampuni ya mawasiliano ya Safaricom kumlipa mwanamume kipofu KSh 6 milioni kwa kukosa kumuajiri. Wilson Macharia alituzwa kima hicho cha pesa baada ya kushtaki Safaricom kwa kile alitaja kama kukiukwa kwa haki zake. Macharia alisema alinyimwa nafasi ya...
  13. Bujibuji Simba Nyamaume

    Nico Zengekala: Mwanamuziki kipofu aliyetikisa Tanzania

    ILIPOSIKIKA sauti yake kila mpenzi wa muziki anayefuatilia bendi za hapa nyumbani alihisi kuna kitu kipya kimeingia katika tasnia ya muziki wa dansi. Hiyo ilikuwa mwaka 1982 alipoingia kwa mara ya kwanza nchini mwimbaji hatari kutoka mkoa wa Pwani nchini Kenya Nico Zengekala akiwa ni mwimbaji...
Back
Top Bottom