karama

Al Karama, or simply Karama (Arabic: الكرامة‎, literally meaning dignity), is a residential district of Dubai located on the western banks of the Dubai Creek and one of the older communities of the city. It is outwardly distinctive due to the regularity of its low-rise residential buildings. The area, which was planned on a tight grid system, is home to thousands of people even though it is only two square kilometers in size. Al Karama is the most populous residential area in Dubai and the most central part of Dubai. Al Karama is also one of the most accessible parts in Dubai, that makes it very easy for residents to travel to any other parts of the city from Karama with ease due to the wide range of transport available in the town.

View More On Wikipedia.org
  1. G

    Unapopokea sifa, omba Mungu wako akupe busara na unyenyekevu, wengi wamepotea kwa kulewa sifa

    Adui namba moja wa mwanadamu ni "Sifa" Sifa ni neno dogo lenye herufi nne, lakini limeumiza, limeangamiza, limeua na limepoteza haiba, roho, nafsi, karama, vipaji na uwezo wa wanadamu wengi sana duniani. Bila shaka wahenga walijua madhara na athari za sifa, wakaonya kuwa "mgema akisifiwa tembo...
  2. Carlos The Jackal

    Uchaguzi 2025 Uongozi ni karama ya kuzaliwa, Paul Makonda anaendelea kulithibitisha hilo

    Huhitajiki kua Rais ili uwe Kiongozi Bora Bali kuielewa tafasiri halisi ya Uongozi inatosha kabisa kuwekwa Moyoni mwa Wananchi. Mpango, Majaliwa, Mko wapi?? Mbona Uthubutu alonao Makonda, ni mkubwa kuliko hata Nafasi yake?. Ni sahihi kusema Makonda amezaliwa kua Kiongozi?. Katibu Mwenezi...
  3. J

    Mnyonge mnyongeni Mbowe ana Talanta ya "leadership". Si kila Kiongozi anaongoza, wengine ni wasimamizi na wengine watawala

    Uongozi ni Karama, Uongozi ni Taranta, Uongozi ni Zawadi Kutoka kwa Mungu wa mbinguni Ipo tofauti kubwa Kati ya Leader, Manager na Administrator Freeman Mbowe is a leader Kiongozi wa Upinzani kuaminiwa na Viongozi wa Dini na wakatumia Jukwaa lako kuikosoa na kuishauri Serikali siyo jambo...
  4. JF Member

    Ukisikiliza Hotuba za Samia ukalinganisha na Mwendazake utagundua uongozi ni karama

    Hizi Ziara za Samia zinawaacha wananchi wakiwa wamekata tamaa tu. Kwanza anawapandisha wapiga pambio tu, wanamsifia mda wote as if wananchi alosimama nao hawana changamoto. JPM alikuwa anasikiliza wananchi na kelo zao kisha anatoa maelekezo kwa wasaidizi wake. Ziara za JPM zilikuwa na...
  5. Mtondoli

    Rais Samia Hana nongwa na mtu ,ni rais mwenye karama ya uongozi,

    Ndugu zangu rais huyu ukimtazama vizuri kuanzia speech zake na action anazozichukua utagundua kuwa Hana nongwa na mtu, Ila Kuna watu wananongwa na rais.alianza vizuri Sana na hajabadilika ni Yule Yule na Nia yake ni ileile.ya kuwaunganisha watanzania.kutibu majeraha yaliyotokana na mbinyo wa...
  6. Mtondoli

    Tundu Lissu uongozi ni hekima wewe huna karama hiyo ,,,

    Wadau mjumbe hauwawi,,tulikosea Sana kumwamini lissu kuwa anafaa kuwa rais wa nchi ,tulikosea Sana na hii kitu imekighalimu Sana chama chake,,tulidhani Kila mhubiri anafaa kuwa mchungaji,,la hasha wengine wanatakiwa tu kuwa wainjilisti na sio wachungaji,,au tulidhani kuwa mchungaji wa mifugo...
  7. T

    Naomba kujua tofauti ya maneno haya: Kipawa, Kipaji, Karama

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Naomba kupata ufafanuzi/maana na tofauti ya maneno haya ya Kiswahili:- 1. Kipaji 2. Kipawa 3. Karama Natanguliza shukrani.
  8. H

    Mwalimu Nyerere na sifa zisizobishaniwa

    Bahati mbaya vijana wengi humu JF hawakuwahi kumwona wala kumwelewa Mwalimu Nyerere. Mimi nilibahatika nyakati hizo nikiwa shule ya msingi, kiongozi wa chipukizi, nilipeana mkono naye kara moja. Na mara ya pili na ya tatu l, akiwa amestaafu. Nilipata kuvisoma vitabu vyake vichache, na wakati...
Back
Top Bottom