kalenda

  1. Mtoa Taarifa

    Kesi ya Mtumishi wa TRA aliyetishia Bastola na kujeruhi mtu Club 1245 yapigwa Kalenda hadi Januari 21, 2024

    Kesi inayomkabili mshtakiwa Derick Derick Junior, ambaye alionekana katika kipande cha picha jongefu (video) kilichosambazwa katika mitandao ya kijamii, akimshambulia mtu mwingine kwa mateke na kitako cha bastola, imepangwa kuanza kusikilizwa ushahidi Januari 21, 2025, katika Mahakama ya Wilaya...
  2. Niache Nteseke

    Hii Kalenda ya Jeshi la Magereza Mwezi Oktoba Una Tarehe 32.

    Habari wakuu, Nimekuta sehemu imetumwa hii Kalenda ya Jeshi la Magereza mwezi Oktoba Una siku 32. Hii imekaaje wakuu...?
  3. Mwanongwa

    KERO Miezi mitatu nafuatilia Passport mpya, napigwa kalenda tu, ni kweli UHAMIAJI mmeishiwa material ya kuprinti Passport mpya?

    Nilianza kufanya mchakato wa maombi ya kupata Pasi ya Kusafiria kwa kufuata njia halali, awali nilienda Kibaha Mkoani Pwani, kuna staff mmoja wa pale akanishauri kuwa kama nina haraka nifanye mambi yangu mtandaoni kisha nielekeze nikachukue Passport yangu hiyo Dar es Salaam Nikafanya hivyo...
  4. Jacobus

    Je, ZFF haiitambui kalenda ya FIFA?

    ZFF ni Zanzibar Football Federation kwa Kiswahili ni Shirikisho la Soka la Zanzibar sawa na TFF. Kimenishangaza ligi ya Zanzibar inaendelea wakati huu ambapo mechi za timu za mataifa zikiendelea. Timu za Simba na Yanga zimecheza mechi za kirafiki kwa angalizo la kutooneshwa ama kutangazwa kwa...
  5. Suley2019

    Kesi ya Diwani wa CCM Handeni yapigwa kalenda

    Kesi ya Diwani wa Chanika wilayani Handeni, Tanga, Abdallah Chihumpu imeshindwa kuendelea baada ya hakimu anayeisikiliza kutokuwepo mahakamani. Diwani huyo anashitakiwa kwa kosa la kumdhalilisha mfanyabiashara, Stanley Lyakundi kuwa ameiba eneo la wazi la Shule ya Msingi Chanika. Shauri hilo...
  6. Suley2019

    Rufaa ya Pauline Gekul (Mbunge Babati Mjini) yapigwa kalenda

    Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Manyara, imeahirisha rufaa ya jinai iliyokatwa na Hashim Ally dhidi ya Mbunge wa Babati Mjini, Pauline Gekul baada ya mjibu rufaa huyo kutopewa wito wa kuitwa mahakamani. Leo Jumatatu Machi 18,2024 Mahakama hiyo ilipanga kusikiliza rufaa hiyo namba 577/2024...
  7. Mwamuzi wa Tanzania

    Waafrika hatukupaswa kutumia kalenda moja na wazungu. Sisi tuko nyuma ya wazungu kwa miaka 300

    Hii naileta bila salamu! Karne ya 17 na 18 wazungu ndipo walipogundua teknolojia nyingi. Vitu ambavyo wazungu walivumbua Karne ya 17 -18 mpaka sasa Waafrika hatujagundua mithili ya hivyo. Tunapeleka watoto shule Ili waweze kutumia vitu ambavyo wazungu walivumbua miaka zaidi ya 300 nyuma ...
  8. Dr Matola PhD

    Ufunuo wa Mwafrika, Kalenda nyingi dunia moja!

    KALENDA NYINGI DUNIA MOJA 1. Kalenda ya Gregorian 2. Kalenda ya Pawukon (Bali, Indonesia) 3. Kalenda ya Ethiopia 4. Kalenda ya Kiyahudi 5. Kalenda ya Kichina 6. Kalenda ya Hijira 7. Kalenda ya Kiajemi 8. Kalenda ya Kijapani 9. Kalenda ya Julian 10. Kalenda ya Buddha 11. Kalenda ya...
  9. Erythrocyte

    Mbeya: Hukumu ya kesi ya kupinga Mkataba wa Bandari yaahirishwa, sasa kusomwa Alhamis 10/8/2023

    Hii ndio taarifa ya sasa iliyotolewa Mahakamani hapo, na kwamba kuahirishwa huko kumetokana na dharula iliyompata Mwenyekiti wa Jopo la Majaji. Usiku wa deni hauchelewi, Alhamisi siyo mbali. Habari zaidi, soma: Sakata la DP WORLD: Rais Samia asema Serikali itatafuta mbia wa kuiendesha bandari...
  10. Superbug

    Kalenda ya mihula ya shule 2023 inachanganya walimu

    Kalenda ya mihula ya shule kwa mwaka huu 2023 haieleweki Kuna isyosema kufungua ni 17/4/2023 na nyingine 11/4/2023 ipi Iko sahihi? Walimu tusaidieni maana Kuna mipango ya kifamilia inaharibika kwasababu ya hizo ratiba mbili! Aione mpwayungu village
  11. Mgimilamaganga

    Kalenda ya Masomo 2023 inatia ukakasi

    Habari za muda huu wadau wa elimu,bila kupoteza muda nisonge kwenye mada husika; Nimejaribu kupitia kalenda ya masomo iliyofanyiwa marekebisho,lakini kuna makosa kadhaa yamejitokeza hasa kwenye tarehe za likizo na mpangilio mzima wa vipindi. Ikumbukwe kuwa kalenda hii imetolewa kama mbadala wa...
  12. T

    Kwanini kalenda za Hayati zinanunulika sana kuliko zenye picha ya Rais?

    Kama mjuavyo katika kipindi hiki Cha mwisho na mwanzo wa mwaka vijana wengi hujishughulisha na uuzaji wa kalenda zilizonakishiwa kwa sura na picha mbali mbali. Mojawapo ya picha ambazo zimezoeleka kupamba kalenda hizo ni picha mbali mbali za viongozi wa kitaifa, ambapo wanunuaji hununua...
  13. BARD AI

    Kesi ya Makonda, Le Mutuz kupora Range Rover yapigwa kalenda

    Kesi ya tuhuma za uporaji wa gari aina ya Range Rover, inayomkabili aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paulo Makonda na mmiliki wa blogu ya Lemutuz, William Malecela imepangwa kutajwa Desemba 8, 2022. Ni baada ya Hakimu Mkazi Mkuu, Richard Kabate kuwa kwenye majukumu mengine ya kikazi...
  14. Lady Whistledown

    Shule zafunguliwa huku kukiwa na wasiwasi wa kukatizwa kwa kalenda ya Masomo

    Shule zimefunguliwa baada ya mapumziko ya wiki mbili kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika Agosti 9, huku Mamlaka zikisema kwamba ratiba ya masomo haitaongezwa ili kuruhusu wanafunzi kufidia muda uliopotezwa Wadau wamedai kuwa Ratiba inaweza kuathiriwa zaidi iwapo Mahakama ya Juu itaamuru...
  15. JanguKamaJangu

    Shahidi kesi ya ‘Mfalme Zumaridi’ augua mahakamani, kesi yapigwa kalenda

    Kesi inayomkabili Diana Bundala maarufu Mfalme Zumaridi na wenzake 83 imeshindwa kuendelea baada ya shahidi wa upande wa Jamhuri ambaye ni askari wa Jeshi la Polisi, Sajenti Evodius kuugua muda mfupi kabla ya kuanza kutoa ushahidi wake. Katika kesi hiyo ya jinai namba 12/2022 Mfalme Zumaridi na...
  16. JanguKamaJangu

    Kesi nyingine ya ‘Mfalme Zumaridi’ na wenzake 84 yapigwa kalenda hadi Mei 24, 2022

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mwanza imeahirisha kesi namba 10 inayomkabili Diana Bundala maarufu kama 'Mfalme Zumaridi' na kesi namba 12 inayomkabili mhubiri huyo na wenzake 84 ili kupisha usikilizwaji wa shauri lingine la mauaji. Katika shauri namba 10, Mfalme Zumaridi anakabiliwa na...
  17. Replica

    Bukoba waendelea kupigwa kalenda stendi kuu ya mabasi, Serikali yasema mpaka itafute fedha

    Pamoja na ukubwa na umaarufu wa Bukoba na mkoa wa Kagera kwa ujumla, mji ule hauna stendi inayoendana na jina lake, kuna eneo la wazi lenye vichochoro lukuki huku kukiwa hakuna urasmi wapi kwa kuingilia na kutokea pia nyakati za mvua hali ni mbaya. Leo bungeni, mbunge wa viti maalum, Neema...
  18. John Haramba

    Mtwara: Kesi ya mauaji inayowakabili askari saba yapigwa kalenda, mshtakiwa aweka ‘POZI’ kupigwa picha

    "Mmeridhika?" ndivyo anavyosikika Ofisa Upelelezi (OC CID) Wilaya ya Mtwara, Gilbert Kalanje na mshtakiwa namba moja wa kesi ya mauaji inayowakabili maafisa saba wa Polisi mkoani Mtwara huku kesi hiyo ikiahirishwa. Kalanje na maofisa wenzake sita leo Jumanne Machi 8, 2022 wamefikishwa katika...
  19. L

    Wanyama na wadudu waamka kipindi cha tatu cha mwaka “Jing Zhe” kwa kalenda ya kichina

    Katika utamaduni wa China, watu hugawanya mwaka mzima kwa vipindi 24 kwa jumla, na tarehe 5 Machi itakuwa ni siku ya kuanza kwa kipindi cha wadudu kuamka, kwa kichina ni “Jing Zhe”, ambayo ni kipindi cha tatu katika mwaka mzima, ambapo mimea na wadudu wataanza kukua kwa kufuata mabadiliko ya...
Back
Top Bottom