jifunze

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. G

    Unapopokea sifa, omba Mungu wako akupe busara na unyenyekevu, wengi wamepotea kwa kulewa sifa

    Adui namba moja wa mwanadamu ni "Sifa" Sifa ni neno dogo lenye herufi nne, lakini limeumiza, limeangamiza, limeua na limepoteza haiba, roho, nafsi, karama, vipaji na uwezo wa wanadamu wengi sana duniani. Bila shaka wahenga walijua madhara na athari za sifa, wakaonya kuwa "mgema akisifiwa tembo...
  2. Jinsi ya kujua thamani ya coin unayotaka kuinunua

    Kwa kawaida, watu wengi, hasa wale wanaoanza safari yao kwenye ulimwengu wa cryptocurrency, mara nyingi hupenda kuangalia bei ya coin. Wanafikiria, “Hii bei ni ndogo sana! Acha ninunue kabla haijapanda!” Lakini, rafiki, ngoja nikushike mkono na kukuonyesha siri kubwa ya soko hili kwani bei ya...
  3. Jifunze kukaa kimya hakuna matatizo ya kudumu

    Pablo Escobar aliwahi kushauri kwamba, si vyema sana kuwaambia watu matatizo yako. Alipoulizwa kwanini alisema ivi, "Asilimia 80 ya watu unaowaambia matatizo yako, hawajali na wala hawazingatii, asilimia 20 iliyobaki wanashukuru au wanafurahia wewe kuwa na hayo matatizo uliyonayo". Rafiki yangu...
  4. R

    Lissu kuhusu mustakabali wako CDM, jifunze Kwa JK kuliko kufuata ya Lowwassa.

    Hellow!! Kuna wajinga humu wanakudanganya kuwa Eti ikitokea umeshindwa uenyekiti Kwa namna yoyote Ile kwamba ukiondoka CHADEMA utasomba umati wa wanachama wengi na kukiua CHADEMA! Hii Si Kweli, ni kujillisha upepo, wewe ni mtu mmoja, CHADEMA ni Taasisi. Ni vyema ukajifunza Kwa Jakaya Kikwete...
  5. Q

    Lissu jifunze, Huwezi kushika dola kwa kupambana na dola, Never

    Lissu sio mwanasiasa haijui siasa kaingia kwenye siasa ili kufanikisha malengo yake ya uanaharakati. Lengo la mwanaharakati sio kushika dola ni kutetea haki na kuleta mageuzi, tofauti na lengo la mwanasiasa ambalo ni kushika dola. Mbowe ni mwanasiasa, mwanasiasa makini hutumia hoja, dialogue...
  6. M

    Jifunze kutafuta sababu fiche kwenye kila sababu inayo onekana kama chanzo

    Aliyekuacha kwenye mahusiano kuna uwezekano mkubwa sababu siyo hiyo aliyokwambia bali ni ile aliyokuficha sema kapitia hiyo kama njia ya kufanikisha njama yake ya muda mrefu. Ulisema tatizo huna kazi baada ya kupata ukahamia kwenye tatizo mshahara mdogo ila ukweli mchungu ni kuwa kuna...
  7. FT: Young Africans SC 0 - 2 Al Hilal | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 26.11.2024 |

    🏆 #CAFCL ⚽️ Young Africans SC🆚Al Hilal 📆 26.11.2024 🏟 Benjamin Mkapa 🕖 10:00 Jioni Kikosi kinachoanza dhidi ya Al Hilal Dakika ya 5 Mpira Umeanza Dakika ya 10 Yanga SC wanakosa nafasi ya wazi Dakika 25 Yanga wanakosa nafasi ya wazi Dakika ya 29 Dube anakosa nafasi ya wazi anateleza hapa...
  8. Golikipa Aishi Manula ukipewa au ukielekezewa Mic Kuzungumza jifunze Kuzungumza kwa ufupi na vya maana tupu sawa?

    Sijui kwanini ukielekezewa tu Mic na Waandishi wa Habari jambo la kusema Sekunde 45 utalisemea dakika 17 Unaboa.
  9. M

    Jifunze kuishi uhalisia kabla ya uhalisia wenyewe haujafika

    JIFUNZE KUISHI UHALISIA KABLA YA UHALISIA WENYEWE HAUJAFIKA ✍️ Hii ni kanuni nzuri sana na ukifanikiwa kuiishi kuna mambo hayatakusumbua kwa sababu tayari ulijiandaa kabla ya utokeaji wake na hakuna namna unaweza kwepa utokeaji wake kwa sababu ni kanuni na asili yake kutokea. UTAKE USITAKE IPO...
  10. Kama wanawake hawakupendi na huna hela jifunze kupiga Saxophone,utawakimbia

    Hiki kidubwasha ni hatari sana,nuliwahi kuishi nchi fulani sitaitaja jina,sikuwa na kazi ya kufanya,nikajiunga bendi ya wajamaica tukipiga Jazz na Salsa kwenye mahoteli makubwa,mimi nilikuwa napiga hiki kidude,nilikuwa nagombaniwa na wanawaje mpaka nikapata mshangazi wa kizungu. Baada ya...
  11. Jifunze nguvu ya Sera ya Serikali inavyopaisha bei ya viwanja na mashamba hapa Tanzania

    Tofauti Kati ya Mji Mdogo (Township Authority) na Mji Kamili (Town Council) Mji mdogo (Township Authority) na mji kamili (Town Council) ni ngazi mbili tofauti za utawala wa miji, zenye mamlaka na majukumu tofauti. Tofauti kati yao inahusiana zaidi na ukubwa wa mji, uwezo wa kifedha, na huduma...
  12. Jifunze kwa Ufupi Mashindano ya Pikipiki: MotoGP World Championship

    Wakuu, kuna siku tulidiscuss kuhusu mashindano ya magari ya Formula One. Madereva wa Formula 1, ni "Marubani" wa Jet za ardhini Leo tungejaribu kugusia kidogo kuhusu mashindano ya pikipiki, MotoGP. Utangulizi MotoGP ni mashindano ya pikipiki yanayosimamiwa na kuratibiwa na Fédération...
  13. Polisi jifunze namna bora ya kuishi na jamii

    Ni asubuhi umeamka zako na unajiandaa kwa ajili ya kwenda kazini ila ghafla unasikia sauti yenye ukali mlangoni kwako ikikutaka utoke nje, unaamua kufungua unakutana na mtu ambaye amevaa jeans na jezi ya Man United pamoja na kofia nyeusi ya New York. Anajitambulisha kuwa yeye ni afisa wa Polisi...
  14. Jifunze Kwa waliopita utafanikiwa

    Charlie Chaplin alipofariki akiwa na miaka 88 aliacha kauli 4: 1. Hakuna kinachodumu milele duniani, hata matatizo yetu. 2. Napenda kutembea kwenye mvua kwasababu hakuna atakayeyaona machozi yangu. 3. Siku iliyotumika vibaya zaidi maishani ni ile siku ambayo hatucheki. 4. Madaktari sita bora...
  15. Maisha hayana fomula lakini yana siri nyingi. Chukua hizi 11 kama zitakufaa

    1. SIRI YA KWANZA Tengeneza connection na watu usitengeneze urafiki, Iko siku marafiki uliowatengeneza watakugeuza Chakula Cha kula[emoji1787] maana "kikulacho kinguoni kwako!", Siyo rahisi rafiki akakubali upate zaidi yake! 2. SIRI YA PILI Usimwamini sana rafiki yako kwa sababu huyo rafiki...
  16. "NISHAURI" TUNASEMAJE KWA KINGEREZA

    "NISHAURI" TUNASEMAJE KWA KIINGEREZA? Katika post hii naomba niwakumbushe msamiati sahihi wa "nishauri", yaani mtu akupe ushauri. Kusema "nishauri" huwa tunasema "Advise me". Narudia, "Advise me". USISEME: Advice me. Kuna tofauti kati ya "advice" na "advise". Advice ni ushauri (noun), na...
  17. Ni zamu yako tunasemaje kwa kingereza" jifunze hapa

    Hili ni swali kutoka kwa mmoja wa wafuatiliaji wa ukurasa wetu kutoka mkoani Mara. Ukitaka kusema ni zamu yako, huwa tunasema “It’s your turn…”. Kuna baadhi huwa wanasema “It’s your duty….”. Hii sio sahihi, kwa muktadha wa zamu. Wengi wanaosema “It’s your duty”, husema hivyo kwa kuwa shuleni...
  18. Kama una umbo kubwa, jifunze kuwa mtulivu

    First time..... Huyu jamaa alikuwa anavuka barabara mitaa flani kwenye alama za "zebra", sasa gari hazikia zimesimama uzuri mara ghafla yeye akajiona ana haraaaaka akawa anavuka huku anakimbia. Basi si akajikwaa mazee, msela alianguka kama gunia...😂 Second time..... Huyu jamaa alikuwa bonge...
  19. M

    Jifunze tofauti kati ya wivu na kutojiamini kwenye mahusiano

    Wivu kwa maana rahisi ni kutojiamini muda wote unahisi kuna watu wenye sifa zaidi yako watakuibia mpenzi wako, Wivu hukoleza mapenzi. Kutojiamini ni wivu uliopitiliza kiasi yaani muda wote unahisi umpendaye ana njama mbaya dhidi yako kiasi cha kila siku kuwa na migogoro isiyoisha,Kutojiamini ni...
  20. "Ex Anakusumbua? Jifunze Jinsi ya Kumwacha Aende!

    "Ex Anakusumbua? Jifunze Jinsi ya Kumwacha Aende! Ever feel stuck, haunted by an ex who won't let go? It's tough, especially when building a new relationship. Moving on isn't easy. There might be guilt, confusion, or lingering feelings. But remember, you deserve happiness and peace. So, how...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…