2024 ulikuwa nimwaka mgumu sana kwangu, sijui wapi nilifeli maana kama ni kupambana nimepambana sana ila sijaona hatua nilizopiga zaidi yamaumivu tu.
Mwaka huu kama Mungu atanipa pumzi na afya njema basi nitahakikisha napambana mpaka tone la mwisho la jasho na damu
Kabla sijaharibu uzi kwa...
Hakuna vijana wanaopitia Magumu kama Hawa wa Dar , Vijana wa Dar wanataka mafanikio ya haraka sana, wanaumizwa wanapoona watu waliwafaham miezi michache nyuma wakiwa hawana kitu, sasa wanawaona Mitandaoni wakiwa wenye Mali, Magari mazuri, majumba mazuri.
Itakufaa nini kua Utajiri wa haraka...
Huwa nashangaa unakuta mzazi anakua tegemezi Kwa kijana ambae amejitafuta Kwa jasho na damu amejipata mzazi anakua analandalanda kumnyonya huyu kijana Kwa lengo kwamba amemzaa kwani huyu mzazi yeye alizaa Ili amfanye mtoto punda yaani kiasi kwamba mtoto asipomsaidia mzazi anatangaza kutoa laana...
Ndugu zangu Watanzania,
Tenda Wema nenda zako na wala usisubiri shukurani,ni bora Umfadhili Mbuzi kuliko Mwanadamu.Duniani hapa Watu wanaumizwa na Wameumizwa sana na watu wale wa karibu sana yaani wale ambao waliwasaidia kwa jasho na Damu lakini Mwisho wa siku wamegeuka na kubakia Maadui...
Habar gan wakuu
Nimekuwa nikisumbuliwa na hali ya kutokwa na jasho jingi hata kukiwepo na barid, tangu umri wa barehe mpaka leo miaka kama 10 imepita kwa anaejua hilo msaada pls
Ndugu zangu Watanzania,
Huyu Mwamba apewe Maua yake tu,apewe heshima yake tu.Atambulike na watu wote angali hai kuwa ndiye Mwamba aliyetumia ujana wake wote Kuitesekea na kuijenga CHADEMA kwa jasho na Machozi.Ametumia Muda wake wote kwa ajili ya chama.
Inasikitisha sana unapoona Mwana CHADEMA...
Nimeshangaa Lisu kusema kuwa kuna mtu mkubwa sana hayupo serikalini amemfahamisha kuwa anawindwa kudhuliwa ili asingiziwe Mbowe.
Fine, unaropoka kitu nyeti kama hicho, technolojia ya sasa watafuatilia nani alikupigia simu/whatsapp kutoka kwenye makampuni ya simu na kumjua huyo unayemficha...
PROFESSOR JAY -MACHOZI,JASHO NA DAMU
VERSE..1
Nashukuru Macho yangu mawili hayana upofu/ na mdomo upo wazi kukemea mambo maovu/ siku inapofika naona Heri ya jana/ maisha ya wabongo yanakuwa kama ya wanyama/ hiki ninachosema kila jicho linaona/ nina futa chozi la mnyonge kilio cha kila kona/...
Nikitembea tu kidogo jasho kibao hata kama kuna baridi vipi. Mfano kukiwa na baridi yani ile baridi haswa naweza nikatembea fresh tu ila nikifika tu sehem nilipokua naelekea labda dukani au sehemu yoyote nikisimama tu jasho hizoo zinaanza kutiririka tena nyingi tatizo linaweza kuwa ni nini...
Kuna baadhi ya wanawake wenye tabia ya kutothamini jasho wala kuhurumia nguvu za waume zao.
Watanzania walio wengi kipato chetu ni cha kuunga unga ili kipato chako kikuwezeshe kutimiza mahitaji ya familia yako na wakati huo uweke akiba kwa ajili ya kesho kunahitaji mahesabu ya hali ya juu sana...
Maneno anayoyatoa na vitendo ni tofauti kabisa. Anaonekana kabisa akiwa ana khofu kubwa sana. Inasemekana hapo akiwa amejificha mbali sana. Hakuna AC na hakuna Ventillation. Anaishi kwa wasiwasi na mateso makubwa.
Ukimtizama anaonekana kujawa woga,khofu na wasiwasi. Nadhani Dunia ikemee Israel...
Nina siku kadhaa nikikaa tu mahala kupata safari lager, watu laZima waniulize bro vip umetoka mkoa?
Nasema hapana
Wanasema unavyotoka jasho hivi wewe ni wa mkoa nami naamua kukubali.
Jua na joto la Dar linachoma kama pasi, lakini watu miili mikavu wala hawajali wapo kawaida, nashangaa hawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.