information technology

  1. M

    Kati ya science in IT na bachelor in IT na ipi ni nzuri kati ya hizi mbili?

    Hivi Kuna tofauti kati bachelor of science in IT na bachelor in IT na ipi ni nzuri kati ya hizi mbili
  2. Information Technology [TEHAMA]ni Taaluma Pana

    Kuwepo Kwa jambo kubwa ambalo ni zuri , ambalo unalimiliki wewe unakuwa na furaha sana na ikiwa jambo hilo anamiliki mtu mwingine basi wewe muda mwingine unakuwa na mawazo labda yule mwenye nalo anajiskia furaha sana, ningekuwa Mimi ningekuwa na furaha pia. Lakini kuwa nalo jambo hilo au kuwepo...
  3. F

    Kazi za mtu wa IT

    Nisaidieni kazi ambazo mtu aliyesoma IT anazifanya kwa upana zaidi.
  4. Vijana wenye uwezo wa kutengeneza Control number ni bora wapewe ajira rasmi badala ya kuachwa mtaani

    Tumesikia huko Arusha kuna mfumo wa control number umebainika tofauti na wa kihalali. Sasa hizi akili za ma genius watoto wa IT. Nashauri hawa wapewe ajira ni hatari sana kuwacha mtaani. Bora wawe wanapewa kazi toka vyuoni huko
  5. Computer science na Information Technology

    Habari wadau, poleni na kazi. Hivi mwalimu aliyesoma Mathematics na IT chuo anaweza kufundishia Computer science Kwa ngazi ya A-Level? Nawasilisha mada.
  6. MINING GEOLOGY IT: Uwanja wa kipekee ambapo jiolojia inakutana na Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (ICT) katika tasnia ya uchimbaji madini

    UTANGULIZI "MINING GEOLOGY IT" ni uwanja wa kipekee ambapo jiolojia inakutana na teknolojia ya habari na mawasiliano (ICT) katika tasnia ya uchimbaji madini. Hii inajumuisha matumizi ya teknolojia ya habari kusaidia katika michakato yote ya uchimbaji madini, kutoka utafiti wa awali hadi...
  7. System Analyst–Information Technology at Jubilee Insurance October, 2023

    Position: System Analyst–Information Technology Job Ref. No: HRJLICT1023 report to the: Administratively: Chief Operating Officer Technically: Senior Manager – Long-term Applications Role Purpose The analyst is responsible for identifying and implementing application solutions to solve...
  8. M

    Msaada: Anayejua kuhusu Kozi ya Instructional Design and Information Technology anijuze

    Anayejua kuhusu Kozi ya Instructional Design and Information Technology anijuze Nauliza juu ya hii kozi, mwenye kujua juu ya hii anihabarishe.
  9. M

    Kati ya information technology na accountancy nichukue ipi?

    Naomba ushauri: Nimechaguliwa Chuo cha CBE kozi ya information technology IT na chuo cha TIA kozi ya accountancy nichague kozi gani yenye soko kubwa la ajira?
  10. Natafuta kazi, nimemaliza (UDOM) Bachelor degree in instructional design and information technology(IDIT).

    Kazi ambazo naweza kufanya ni: ✅Graphics Design(Logo design, posters design....nk) ✅Motion graphics ✅Video editing ✅Photography ✅2D animation ✅Design learning content for adults ✅Online courses development ✅Mobile maintenance ✅Computer maintenance ✅Maintain daily website activities Email...
  11. J

    Information technology Secretary Anahitajika

    Msaidizi wa kazi za IT Anahitajika. Vigezo Awe anajua kusoma na kuandika vizuri kiingereza Awe na simu ya smart phone Awe na uelewa kiasi jinsi ya kutumia computer Awe anajua kutype kwenye computer Ofisi ipo Makumbusho Dar es salaam Kwa alikwepo tayari atume message inbox ikiwa na maelezo...
  12. Information Technology Officer at WFT-Trus May, 2023

    Post Title: Information Technology Officer Interesting Career Opportunities at WFT-Trust WFT-Trust is the first and only women’s rights fund in Tanzania that has been in existence since 2008 and has been at the forefront championing gender equality, equity and women and girls’ rights through a...
  13. Natafuta field ya IT diploma

    Greetings guys of JF nimepost Uzi huu natafuta field ya IT katioa level ya diploma nimetafuta field jimekosa nimeona nije umu kwa ajili ya msaada wenu mkoa was Dar au Dodoma Niko tayari kwenda.
  14. K

    Bachelor of science in business information technology UDSM-COICT.

    Kuna katoto ka dada yangu kamechaguliwa hiyo kozi udsm.ila naona kama ni kozi mpya hivi. Kwa wanaoifahamu hii kozi,wanipe abc zake please.
  15. Information Technology Intern at WiA Company Limited

    Information Technology Intern Internship Dar es Salaam WiA Company Limited WIA is a System Integrator, leader specialized in providing Enterprise and government with innovative, reliable and cost effective ICT solutions. Job Description: We are looking for a competent Junior IT engineer...
  16. Information Technology Intern at WiA Company Limited

    Job Overview Information Technology Intern Internship Dar es Salaam WiA Company Limited WIA is a System Integrator, leader specialized in providing Enterprise and government with innovative, reliable and cost effective ICT solutions. RECENT GRADUATE IT INTERN Job Description: We are looking...
  17. Natafuta Kazi, nimesomea IT nina uzoefu wa kufanya mapambo

    Habari wapendwa . Rejea kichwa cha habari apo juu . Natafuta kazi ngazi ya Diploma Nina experience katika :- Computer application ì Computer troubleshooting. Simple LAN configuration. Retail POS ( vend and shopify) Cashier Salesman Marketing Balloon decoration ( husaidia kuongeza wateja na...
  18. U

    Natafuta kazi nina bachelor degree in information technology"

    Habari wanajukwaa naamini humu kuna watu wa aina Tofauti Tofauti na wengine wamepata kazi zao kupitia hili jukwaa. Hivyo nakuja mbele yenu kuomba Nafasi au Connection itakayonisaidia Kuweza kupata Ajira ... Elimu yangu NI BACHELOR DEGREE IN INFORMATION TECHNOLOGY. nimespecialize kwenye...
  19. Information Technology Assistant at U.S Embassy Dar Es Salaam

    About: Announcement Number: Dar es Salaam-2022-037 Hiring Agency: Embassy Dar Es Salaam Position Title: Voucher Examiner (Alternate Cashier) Open Period:03/17/2022 – 03/31/2022 Format MM/DD/YYYY Vacancy Time Zone: GMT+3Series/Grade:LE – 0420 7 Salary: TZS TSh29,568,947 Work Schedule: Full-time –...
  20. Computer4Sale Karibu nauza laptop, Computer na nafanya maintenance

    Karibu nikuzie laptop na computer aina zote kama: -HP -DELL -LENOVO -APPLE -FUJITSU -ALIENWARE -SAMSUNG n.k Accessories aina zote zinapatikana kama: -RAM (1gb 2gb 4gb 8g) -Hard disk (180gb, 320gb, 500gb, 1000gb, 2000gb) -Adapter charge aina zote -Keyboard na Mouse wired na wireless -VGA...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…