Hivi kati ya Account ya Msemaji Mkuu wa Serikali na ile ya binafsi ya Gerson Msigwa ipi ni ya muhimu zaidi?
Mbona ya Msemaji Mkuu wa Serikali haiko verified lakini ya binafsi ipo?
Ni makusudi au?
Msemaji wa Serikali Gerson Msigwa amekana taarifa inayosambaa kwamba Rais Samia kawaachia huru Wafungwa 23 wa Kisiasa. Kadai Tanzania haina mfungwa wa kisiasa na kusema Rais hawezi kuingilia mchakato wowote wa Mahakama.
Awali chombo cha habari cha Kenya kiliripoti Rais Samia kuachilia wafungwa...
Naomba nitolewe gizani kidogo kuhusu itifaki za mambo ya mawasiliano serikalini. Gerson Msigwa hivi karibuni aliteuliwa na Rais kama msemaji Mkuu wa Serikali. Lkn naona bado anaendelea kusaini papers kama Mkurugenzi wa mawasiliano ya Rais Ikulu. Which is which hapa
Uzushi huu hapa:
Wapinzani wamechukua na kuviunganisha vibango vinne vya mtandaoni (infographics) vinavyotengenezwa na Ayo TV vyenye taarifa ya idadi ya ajira zitakazotolewa na Serikali kwa nyakati tofauti huku vikionesha mkakanganyiko kuhusu jumla ya watu watakaoajiriwa na Serikali.
- Kibango...
UFAFANUZI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, ameelekeza Televisheni za Mtandaoni (Online TV) tu ndio zifunguliwe na SIO vyombo vya habari vingine yakiwemo magazeti vilivyofungiwa kwa mujibu wa Sheria.
Gerson Msigwa
Msemaji Mkuu wa Serikali
Heshima sana wanajamvi,
Msemaji/Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu Mheshimiwa Gerson Msigwa hatimae kaondoka Ikulu.
Mheshimiwa Msigwa kapelekwa Idara ya Maelezo kama Mkurugenzi na Msemaji Mkuu wa Serekali. Sijui kama ndio kupanda cheo huko au kushuka,muhimu kaondoka Ikulu.
Mwanajamvi mwenzetu...
Rais Samia Suluhu Hassan akipokea Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali na Ripoti ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa, ametoa agizo la kusimamishwa Mkurugenzi Mkuu wa Bandari(TPA) kutokana ubadhirifu mkubwa unaoikumba mamlaka hiyo.
Rais Samia Suluhu Hassan amesema haya
“Ripoti...
Wassalam Wakuu,
Ndugu yetu Gerson Msigwa na timu yake nzima ya kurugenzi ya Habari ya IKULU naona wanashindwa kutoa heshima inayostahili kwa Mama wa Shoka Mh. Rais wa JMT, Mh. SAMIA HASSAN SULUHU. Sasa sijui anafanya makusudi au bado ana majonzi ya kuondoka kwa aliyekuwa Rais wa 5.
Nimeona...
Baada ya Mchakato wa Ajira kukamilika na Majina kutoka Sasa kumekuwa na lawama nyingi Sana kwenda Kwa Tamisemi.
Mimi nilikuwa na Ushauri Kama ufuatao....
1. Kuna ulazima Gani wa watu kwenda Kuripoti ilhali lawama zimekuwa nyingi na Watu wamekosa Imani kabisa na Serikali yetu ya CCM Kupitia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.