genocide

Genocide is the intentional action to destroy a people—usually defined as an ethnic, national, racial, or religious group—in whole or in part. A term coined by Raphael Lemkin in his 1944 book Axis Rule in Occupied Europe, the hybrid word geno-cide is a combination of the Greek word γένος (genos, "race, people") and the Latin suffix -caedo ("act of killing").The United Nations Genocide Convention, which was established in 1948, defines genocide as "acts committed with intent to destroy, in whole or in part, a national, ethnic, racial or religious group, as such" including the killing of its members, causing serious bodily or mental harm to members of the group, deliberately imposing living conditions that seek to "bring about its physical destruction in whole or in part", preventing births, or forcibly transferring children out of the group to another group. Victims have to be deliberately, not randomly, targeted because of their real or perceived membership of one of the four groups outlined in the above definition.The Political Instability Task Force estimated that, between 1956 and 2016, a total of 43 genocides took place, causing the death of about 50 million people. The UNHCR estimated that a further 50 million had been displaced by such episodes of violence up to 2008.The word genocide has also come to signify a value judgment as it is widely considered the epitome of human evil.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Shirika la haki za binadamu la Amnesty International latoa ripoti kuwa Israel inafanya Genocide huko Gaza

    Katika ripoti waliyoitoa juzi, shirika la haki za binadamu la Amnesty International limeeleza kuwa kuna ushahidi mwingi wa kuwa Inachokifanya Israel huko Gaza ni mauaji ya Kimbari (Genocide). Wakieleza kuwa kwa mujibu wa makubaliano ya kimataifa, kosa la genocide linahusisha, mauji, kutenda...
  2. Eli Cohen

    Mnaelewa maana ya genocide kweli? Idadi ya wapalestina imekuwa kwa asilimia 2.02% tangu Oktoba 7th mwaka jana

    Wakati madai ya uwongo ya "mauaji ya kimbari" yanazunguka, idadi ya watu wa Gaza iliongezeka kwa watu 43,000 katika wiki chache tu. Mara ooh Israel anaua watoto kila siku, blah blah
  3. N

    Holocaust Genocide vs Gaza genocide

    Dunia ilipiga sana kelele na bado inamshutumu Hittler juu ya mauaji ya wayahudi pale Germany aka Holocaust. Leo hii Ulaya manazi wanaonekana ni chukizo na wanaandamwa kila mahala juu ya mauaji waliyoyafanya ya wayahudi kwenye concentration camps. Kwanini Dunia Iko kimya juu ya mauaji na...
  4. kimsboy

    LIVE Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel, Palestine Gaza na Iran

    Nimeona nije na uzi maalum wa kupeana updates wa vita mpya inayotarajiwa kulipuka kati ya Iran na Israel muda wowote kuanzia sasa Inaonekana inayokuja mashariki ya kati itakua sio ya mchezo Yemen tayari keshaandaa wanajeshi laki 4 Iraq kuna wanajeshi laki 2 na nusu Hezbollah wapo zaidi laki...
  5. Eli Cohen

    Uturuki inaituhumu Israel kwa genocide kwa Wapalestina. Je, wao wamesahau walichowafanyia Wakristo wa Armenia?

    Mamlaka ya uturuki iliwaua Waarmenia kati ya 600,000 hadi 1,500,000. Mnamo tarehe 24 Aprili 1915, mamlaka ya Ottoman ilikamata na kufukuza mamia ya wasomi na viongozi wa Armenia kutoka Constantinople. Kwa amri ya Talaat Pasha, wastani wa Waarmenia 800,000 hadi milioni 1.2 walipelekwa kinguvu...
  6. G

    Jeshi la Israel lavunja rekodi, Raia 13 wamefariki kwa kila wanamgambo 10, Ratio iliyozoeleka 90 kwa 10, Ni wapumbavu wanaoamini kuna Genocide !

    Vita inapotokea ratio ya wastani huwa ni raia 90 watafariki kwa kila mwanajeshi 10 wataouwawa vitani. Israel imeshangaza ulimwengu wa vita kwa kuweza kuwa na ratio ndogo sana Kufikia mwezi uliopita Wizara ya Afya ya Gaza imerekodi vifo elf 25 vilivyohakikishwa, Hamas wanasema kuna jumla ya...
  7. M

    Rais Biden, Waziri wa Ulinzi na Waziri wa mambo ya nje wa Marekani washitakiwa katika mahakama huko Marekani kwa kusaidia uzeshwaji wa Genocide Gaza

    Rais Joe Biden awa rais wa kwanza katika historia ya Marekani kufunguliwa kesi ya uhusika wa mauaji ya Kimbari. Hii inatokana na msaada wa silaha na kiintelijensia na kushindwa kwake kuchukua hatua stahiki zilizomo katika uwezo wake kuzuia mauaji ya kimbari huko Gaza. Kesi hiyo imefunguliwa na...
  8. kalipeni

    Kwanini BBC hawaonyeshi live genocide case Afrika Kusini dhidi ya israel?

    Vyombo vyote vikubwa vya habari vinaonyesha live kesi inayoendelea genocide case iliyofunguliwa na serikali ya Afrika kusini dhidi ya Israeli lakini BBC ni kama hawajui kinachoendelea kwa sasa.
  9. Mto Songwe

    Serikali ya Tanzania inafanya "Cultural genocide" Ngorongoro

    Ni huzuni lakini inabidi tukubaliane na ukweli kuwa tumekubali kuwa kimya ili serikali iendeleze operation yake ya "cultural genocide" Ngorongoro. Wazungu kutoka ulaya wakati wanafika bara la America walikuta wakazi wa pale walio pingana nao kwa ubabe wa kifala na kipuuzi wazungu wale waliamua...
  10. Moronight walker

    Ukatili DRC: Genocide against Banyamulenge on progress

    Sisi wanadamu ni viumbe wa ajabu sana MUNGU katuumba na akili timamu ya kujitabua lipi jema na lipi ni baya. DRC ni sehemu iliyotawaliwa na mauaji tangu miaka ya 90 ila mpaka leo hakuna Juhudi zozote za kuzuia mauaji hayo. Hata mwezi uliopita watu waliuawa zaidi ya 100 eneo ya Kishishe na m23...
  11. Mathanzua

    Did Jewish President Zelensky conspire with his Zionist masters to genocide the Ukrainian citizenry?

    There’s something very wrong with the meticulously engineered war in Ukraine! Ukrainian President Volodymyr Zelensky was quite obviously contracted by his Zionist masters to provoke this war with Russia. Not only is there no question about this stark reality, all of the emerging evidence on the...
  12. Chachu Ombara

    Makambako: Katibu wa Baraza la Walei auawa ndani ya eneo la Kanisa Katoliki, kichwa chatenganishwa na kiwiliwili

    Nickson Myamba ambaye ni katibu wa baraza la walei kigango cha Makambako, jimbo la Njombe, amekutwa ameuawa kwa kutenganishwa kichwa na kiwiliwili chake ndani ya Kanisa Kuu Katoliki la Parokia ya Makambako usiku wa Februari 7, 2022. === KIONGOZI WA KANISA AKUTWA AMEUAWA KANISANI, KICHWA...
  13. Moronight walker

    Silence Genocide against Banyamulenge

    Jamii ya kabila ya banyamulenge waishio Europe, USA na kwingineko wanaandamana na kulalamika juu ya Maimai na jeshi la congo FARDC inafanya mauaji ya kimya kimya juu ya banyamelenge (Congolese Tutsi). Mpaka Sasa nyumba zaidi ya 40,000 zimechomwa moto, ng'ombe zaidi ya 20,000 zimeibiwa na...
  14. Bossless

    Sintosahau nilichokishuhudia kwa macho yangu nchini Rwanda wakati wa vita vya kikabila 1994 hadi naingia kaburini

    Habari zenu wakubwa kwa wadogo. Kwanza napenda kutoa pole na shughuli za kutwa kwa wale wahangaikaji wote kama mimi ambao kila siku lazima tutoke ili tuweze kujipatia riziki halali kila siku iendayo kwa mungu. Tuseme wote asante mungu. Nisiwachoshe niende moja kwa moja kwenye mada,mdaa huu...
Back
Top Bottom