Nchi kama nchi au marekani au india ni nchi ambazo zikisema vijana wake waende vocational trainings inakubalika kiuchumi mana soko la ndani linajitoshereza.
Tunaposema soko tunamaanisha effective demand (AD).
Sisis watanzani ni milion 65 tu ambapo hata mkiwashawishi vijana wajiajiri...
Waziri mkuu ndo mwenye dhamana ya juu kabisa katika utendaji wa serikali ikiwemo wizara ya ELIMU
Kauli yake haiwi ushauri Bali ina mamlaka na ukweli wa utendaji wa serikali
Kitendo Cha kuonyesha madhaifu na mapungufu makubwa ya mfumo muhimu katika Taifa lolote ambao uko chini ya wizara ya...
Je, Elimu ya Juu ni 'DEAD HORSE' kwa Vijana wa Tanzania
Katika ulimwengu wa sasa, ambapo vijana wengi wa Kitanzania wanahangaika kupata ajira licha ya kuwa na shahada za vyuo vikuu, pendekezo la Waziri Mkuu Kassim Majaliwa la kuwahimiza wahitimu kujiunga na mafunzo ya ufundi stadi kupitia VETA...
Habari zenu. Natumaini wote ni wazima wa afya.
Naomba niende moja kwa moja kwenye mada, mm nimehitimu kidato cha nne mwaka 2021 shule ya serikali katika wilaya ndogo sana hapa nchini.
Ni shule ambayo haikuwah kuwa na historia ya kuwa na mwanafunz mweny single digit tangu inaanzishwa miaka ya...
Kuna taasisi ya elimu ya juu imeruhusu umoja wa kusaidiana kwa misingi ya dini. Tafsiri yangu ni kwamba, kwa kuunda umoja huo, na kuhamasishwa na viongozi wa taasisi ni ishara ya kuwatenga watu wa dini zingine.
Nimeona ushahidi kupitia kumbukumbu ya malipo ya mishahara (salary slip) ya mmoja wa...
Today I would like to celebrate single mothers. I may not have been raised by one but the burden of single motherhood is not lost on me.
One of my ex is a single mother. She has one lovely boy! From what i see her go through, my admiration and respect for her goes higher each day.
Single...
Vyuo vyote Tanzania vya elimu ya juu vimeshafunguliwa. Kadhia kubwa iliyopo kwa Sasa ni bodi ya mikopo kushindwa kuwapatia wanafunzi boom yaan meals and accomodations kitendo ambacho kinasababisha wanafunzi kushindwa kumaliza kulipa ada, na hasahasa kukosa mahitaji ya msingi ya maisha kitendo...
Bodi ya Mikopo ya mikopo ya Elimu ya juu (HESLB) wengi hawajapata mikopo na deadline tar 4 november 2024.
1.Wengi wanapata hii msg “Your verification has been passed successfully ,regular visit your account for viewing application status “ mpaka leo hii tar 3 November 2024 jumapili kimya.Hii...
Bodi ya Mikopo ya mikopo ya Elimu ya juu (HESLB) wengi hawajapata mikopo na deadline tar 4 november 2024.
1.Wengi wanapata hii msg “Your verification has been passed successfully ,regular visit your account for viewing application status “ mpaka leo hii tar 2 November 2024 jumamosi kimya.Hii...
Bodi ya Mikopo ya mikopo ya Elimu ya juu (HESLB) wengi hawajapata mikopo na deadline tar 4 november 2024.
1.Wengi wanapata hii msg “Your verification has been passed successfully ,regular visit your account for viewing application status “ mpaka leo hii tar 2 November 2024 jumamosi kimya.Hii...
Bodi ya Mikopo ya mikopo ya Elimu ya juu (HESLB) wengi hawajapata mikopo na deadline tar 4 november 2024.
1.Wengi wanapata hii msg “Your verification has been passed successfully ,regular visit your account for viewing application status “ mpaka leo hii tar 2 November 2024 jumamosi kimya.Hii...
Ni takribani miaka 20 sasa tangu mwaka 2004 ambapo Bodi ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu (HESLB) ilianzishwa na imekuwa ikitegemewa na idadi kubwa ya wanafunzi wanaomaliza kidato cha sita kuelekea vyuo vikuu. Licha kutoa mikopo kwa wanafunzi wengi lakini bado imekuwa ikilalamikiwa na...
Hili siyo mara yangu ya kwanza kushauri, utaratibu huu utawawezesha vijana kujiongeza zaidi. Kwa Sasa maisha ya mtaani ni magumu sana tofauti na kipindi kile graduate anamaliza chuo na kupangiwa post. Ni ngumu kijana wa Leo kumpatian pesa miaka 3 ama 4 ama 5 then akihitimu anaondoka bila kitu...
Wana JF naombeni kujuzwa nina ndugu yangu ameomba mkopo wa kujiendeleza na elimu wakati selection ya kwanza inatoka account yake ilikuwa inaleta ( your application has been submited successful ).
Then selection 2 inatoka account ya dogo ikachange kuenda SIPA lakin kila tukijalibu kuangalia...
Bodi ya mikopo (HESLB) kwa hili mnataka kuvuka mipaka kwa kutaka kukata pesa za posho kwa intern (watarajali) doctors, nurses etc.
Kwanza intern sio muajiriwa anakuwa katika mafunzo kwa njia ya vitendo na halipwi mshahara anapewa posho ya kujikim ndio maana TRA hawawakati kodi.
Pili mkataba...
Kwenye gazeti la leo la Mwana Habari pana habari inayosemeka 'Rais Samia apeleka kicheko elimu ya juu'.
Habari hii inahusu mikopo kwa wanafunzi wa vyuo.
Kwa kweli nimefadhaika mno kwani niña binti ambae kateuliwa na Chuo Kikuu cha Dar es Salamm (UDSM) kwa mwaka wa kwanza.
Tarehe 4/09 nililipa...
Mnamo tarehe 28 Septemba bodi ya mikopo HESLB ilianza kutangaza waliopangiwa mkopo awamu ya kwanza yenye wanafunzi 21,509 wa mwaka wa kwanza kwa mwaka wa masomo 2024/2025.
Kadhalika Bodi ya Mikopo ya Wanafurnzi wa Elimu ya Juu (HESLB) siku ya Jumatano (Oktoba 09, 2024) ilitangaza awamu ya pili...
Mhadhara 32:
Lipo kundi la vijana waliohitimu elimu ya juu ambao watazeeka bila hata kumiliki viwanja vya kujenga nyumba ambavyo kwa sasa vinapatikana hadi kwa Tsh 1,000,000. Ni kwasababu kundi hili la vijana wenye elimu za juu wanasubiri ajira za ofisini zitakazoendana na GPA zao za vyuoni...
Tunaomba bodi ya mikopo ituangalie kwa jicho la tatu ambao hatukufanikiwa kukamilisha kuwasilisha nyaraka zote za muhimu kwenye maombi ya mikopo
Hata kama muda wa maombi umeisha au watakao kosa kabisa basi mwezi wa kumi lifunguliwe dirisha jingine
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.