Clouds and the Earth's Radiant Energy System (CERES) is on-going NASA climatological experiment from Earth orbit. The CERES are scientific satellite instruments, part of the NASA's Earth Observing System (EOS), designed to measure both solar-reflected and Earth-emitted radiation from the top of the atmosphere (TOA) to the Earth's surface. Cloud properties are determined using simultaneous measurements by other EOS instruments such as the Moderate Resolution Imaging Spectroradiometer (MODIS). Results from the CERES and other NASA missions, such as the Earth Radiation Budget Experiment (ERBE), could lead to a better understanding of the role of clouds and the energy cycle in global climate change.
Wakuu,
Kama mnakumbuka siku chache nyumba niliweka uzi wangu hapa kuhusu uwepo wa Wachina wengi nchini.
Mjadala ulikuwa mkali mkali mno humu na naona Clouds waliona uzi ule wakaamua kwenda nao kwenye chao cha Power Breakfast saa chache baada ya uzi wangu kwenda hewani.
Soma pia: Video: Ni...
Nimesikitishwa na kituo cha clouds FM kusema ati Yanga na SBS ni ndugu na wana jambo lao Moja
Clouds FM ni media ambayo imejijengea heshima Kwa muda mrefu, kwanini Sasa inataka kujiondelea hiyo heshima
Mmejiajiri media personnel wasio kuwa na waledi
Yaani undugu wa Yanga na Singida BS unatoka...
Kwa miezi kadhaa sasa kama unafuatilia posts za Clouds FM utagundua kwamba watu wengi wanalalamika kupotea kwa redio hiyo kwenye mikoa yao kwa muda mrefu.
Miongoni mwa mikoa ambako Clouds imepotea ni Morogoro, Shinyanga, Kagera, Kilimanjaro nk. Zaidi ya miezi 6 redio hiyo haisikiki humo.
Kwa...
Enzi za RFA na Kiss FM, unasikiliza VOA, DW na BBC. Walikuwa na propaganda zao, lakini walihabarisha sana Watanzania juu ya dunia. Kijana mdogo anafahamu yanayoendelea huko Mosul, Iraq. RFA wenyewe walikuwa na vipindi vizuri kama Je Wajua. Kiss FM kwenye burudani, unasikiliza American Top 40...
Kwema.
Mimi binafsi napenda sana kusikiliza nyimbo za KIKONGO bolingo sebene nk sasa zamani cloud walikuwa na Ben kinyaiya jamaa alikuwa anaendesha kipindi safi safi sikumbuki jina la kipindi ila ilikuwa inadili na nyumba za Congo na hapa nyumbani kiufupi jamaa alikuwa...
Ktk kipindi hiki muhimu kuelekea mchezo wa kufa na kupona kuelekea kufuzu AFCON.
Badala ya kuhamasisha umoja wa timu, wao wanajadili nani bora kati ya Msuva na Samata.
Nadhan tuna safari ndefu kufikia Uchambuzii wa Michezo wenye tija kwa taifa
Mwanamuzi, muimbaji na mtunzi wa nyimbo za injili Israel Mboni ametua Tanzania kufanya tamasha Mlimani City na Leaders Club.
Katika interview pale Clouds muwe mnaweka, kama ni mtu wa injili basi wale watu wa gospel, wenye uelewa wa injili na kufuatilia na ikibidi wekeni mlokole.
Sasa Sudi...
FINA MANGO NDANI YA POWER BREAK FAST CLOUDS FM.
Fina Mango Mtangazaji wa Redio aliye Jipatia umaarufu mkubwa katika utangazaji kwa kupitia Kipindi cha Power Breakfast cha Clouds Fm..
Enzi hizo akiwa na watangazaji wezake Gerald Hando na Paul ..
Yeye ni mtoto wa mwisho katika familia ya watoto...
Jana (Julai 01' 2024) ndio siku rasmi Crown Fm wameanza kutangaza baada ya kumaliza majaribio, na leo ( Julai 02' 2024) wamerusha kipindi cha michezo.
Kwa mtazamo wangu naona jina la Crown Fm na Clouds Fm kama hautakuwa makini katika usikilizaji unaweza sikIa kama wametamka Clouds Fm, na hiyo...
Mzee mbabe untouchable mkali ka Mugabe,
Hakuiva na Manji wenye ganji akasema akabwe,
Panya wakafyata mkia wakapotea wenye ngebe,
Acha kumpinga ukimsema unanyea debe,
Hakua mlevi wa uhuru kunyata kama kalewa,
Labda kama madaraka yanalevya alolevyewa,
Sometimes hivi vyeo vina hangover,
Lake gang...
Kwa wasiofahamu, Murtaza Mangungu ni mmatumbi wa Kilwa Kaskazini, kwao ni Kipatimu kule kulikoanza vita ya Maji Maji, Mangungu amekuwa mbunge wa jimbo la Kilwa Kaskazini, baadae akaangushwa na mbunge wa Cuf ambaye ni mpwa wa marehemu Kingunge Ngombale Mwiru aitwae Vedasto Ngombale.
Baadae...
Usiku wa leo kwenye kipindi cha Sports Extra ya Clouds FM mwenyekiti wa Simba upande wa wanachama alikua anhojiwa mambo mbalimbali kuhusu mwenendo wa klabu ya Simba na kile kinachoendelea sasa hivi ndani ya klabu hiyo.
Watangazji Biko Scanda, Shaffih Dauda na Alex Lwambano walikua wanaongoza...
Kituo cha Redio kinachomilikiwa na Nyota wa Bongo Flava pamoja na Mtangazaji Salim Kikeke kimemchukua DJ D Ommy aka “The INTERNATIONAL DJ! JITU na sasa ni “Head of Music Department” hapa CROWN Media. @djdommy pale ni Nyumbani.
WIKI YA MATUKIO Imeanza na TUKIO la kwanza la Kimkakati Limepigwa...
Tundu Lissu yuko mubashara Clouds FM, akichambua kuhusu Tume hii ya uchaguzi. Atakuwepo hadi saa 3 asubuhi, wapo na Zitto Kabwe na Onesmo Ole Ngurumwa.
Tusikilize uchambuzi makini.
Clouds FM imetangaza kuwa yale Mahojiano yao na Godbless Lema yamehairishwa.
Clouds FM wamsema mahojiano hayo yamehairishwa baada ya Godbless Lema kupatwa na dharura hivyo kuomba mahojiano hayo yasogezwe mbele
Pia Soma: Godbless Lema kutikisa Power Breakfast
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.