chokochoko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    Wanaoleta chokochoko kwenye Muungano, Uhuru unawalevya

    Niwakumbushe tu Hongkong na Macau ni special administration regions za China, Wazanzibar msijisahau kuwa na ninyi ni Special administration region ya Tanzania/Tanganyika. Serikali ya Zanzibar is simply a ceremonial goverment, without any power. Kama ilivyo kwa Hongkong na Macau Wachina...
  2. J

    Luhaga Mpina akamatwe ahojiwe analeta chokochoko, kifo cha Hayati Magufuli hakina utata wowote

    Magufuli aliugua kwa matatizo ya moyo yaliyokuwa yakimsumbua kwa muda mrefu tangu akiwa Chuo Kikuu UDSM Jenerali mstaafu Venance Mabeyo alieleza kwa uwazi mkubwa kuwa Magufuli aliugua akapelekwa hospitali ya Muhimbili baadae hali yake ikawa mbaya ikabidi wamhamishie Mzena ambapo ndipo umauti...
  3. B

    Watanzania muwe Makini Wakenya wameanza tena Chokochoko zao

    Nlikuwa Paris Ufaransa kwenye Mkutano wa the smartest young people of the World. Nilipitia hapo nikitokea Berlin Ujeruman ambako nlienda msalimia rafiki yangu mmoja wa Kitambo ambaye alikuwa amechanganyikiwa kidogo kuwa na pesa nyingi halafu hajui sasa atumieje so kichwa kikawa kinamuuma...
  4. MK254

    Urusi yaanza chokochoko na Moldova, haijapata funzo la kipigo pale Ukraine

    Urusi imepokea kipigo kikali pale Ukraine na kupoteza wanajeshi zaidi ya 130,000 hadi imeanza kukusanya mateja mtaani na wafungwa kuipigania, licha ya yote hiyo imeanza kuchokoza kataifa kengine ambako kako nje ya NATO... Russian Foreign Minister Sergei Lavrov has suggested that Moldova is the...
  5. chiembe

    Jaji Warioba ni sehemu ya kikundi cha chokochoko dhidi ya Rais Samia, wakati anavamiwa na Makonda, alikuwa na Polepole, rafiki ya Bashiru

    Polepole na Bashiru ni kundi la yule aliyekata moto, na halikumtaka SSH achukue uongozi. Polepole katika kumhami kaka yake, kamitumia Warioba aliyekuwa naye Tume ya Katiba ili atoe kauli ya kumlinda. Mzee naye akishaonyeshwa mpunga, huwa anaropoka haraka sana. Polepole alikuwa na Warioba...
  6. Boss la DP World

    Kwanini Tunao Hoji Mambo Muhimu Kwenye Muungano Tunaambiwa Tuna Chokochoko?

    Siku moja nilibahatika kukutana na waziri fulani (jina kapuni). Nikamuuliza kwanini Wazanzibari wanachukua ardhi yetu hapa bara wakati Wabara hatuna haki ya kupata ardhi Zanzibar? Akanipa jibu hili "Kijana Acha CHOKOCHOKO" alinikera sana, walio kuwepo watakumbuka. Mzee mwingine wa kanda ya...
  7. M

    Kero za Muungano: Ni wakati muafaka kwa Wazanzibari kufanya Referendum

    Nafikiri niwakati sasa umefika Zanznibar wafanye referendum kwamba wanataka muungano Ndio/Hapana. Baada ya hapo ndo tutakuwa na jibu sahihi la kupata ufumbuzi wa kudumu wa hiki tunachoita muungano.
  8. SYLLOGIST!

    Nani ni ndio "Kunje Ngumbale Mwiru"? Mwanahalisi wajibu

    Katika pita pita za kutafuta Habari, nilikutana na video ya Mwanahlisi TV ambayo inadai "Kunje Ngumbale Mwiru" mtoto wa Ngumbale Mwiru akiomba wazee, sijui ni wazee gani,waingilie kati kesi ya Mh. Mbowe. Huyu Kunje ndio nani na Kinje ni nani? Hayati Ngombale Mwiru ndio huyu huyu anaiitwa...
  9. Z

    Chadema acheni ukorofi na ukaidi, heshimuni sheria na taratibu zilizowekwa

    Kuna kila dalili Chadema sasa wameanza chokochoko, mifano ipo mingi. Mfano tukio lililo tokea mkoani Mwanza, viongozi kutoa matangazo kwa wanachi kuhudhuria mkutano wa ndani ambao haukufuata taratibu, hilo sio sahihi. Chadema acheni ukorofi na ukaidi, heshimuni sheria na taratibu zilizowekwa...
  10. J

    Kuna watu wameanza kuleta chokochoko hii kauli chadema kuweni nayo makini wanawake ni wakatili zaidi

    Chadema kuweni makini na huyu mama wanawake huwa wakatili zaidi ya wanaume,kauli yake inaongoa zaidi kwa kirefu ,"nasikia wameanza chokochoko tumejipanga"
  11. Idugunde

    Baada ya kuleta chokochoko za vurugu CHADEMA yapuuzwa Tanzania nzima. Operesheni Haki waliyofanya yaonekana ni batili

    Huu ndio ukweli wa mambo. Kama kuna chama kina gundu basi ni Chadema maana kila wanalogusa kwao linabuma. Kwa mkwara mzito walikuja na operation digital haki. Lakini ghafla bin vuu wakakengeuka na kudai kwa udi na uvumba wapo radhi kudai haki zao hata kwa kutumia majambia. Tafiti za kisayansi...
  12. Suphian Juma

    Uchumi kwanza, Katiba isubiri. Acheni chokochoko!

    UCHUMI KWANZA, KATIBA ISUBIRI. ACHENI CHOKOCHOKO. Ilikuwa asubuhi na mapema mwezi uliopita wa Sita mwaka huu 2021 naamka na kukutana na ujumbe wa simu kutoka kwa rafiki yangu James Michael, Afisa TEHAMA wa Chama cha Mapinduzi mkoa wa Kagera__"Kaka Suphian naona CHADEMA wakisapotiwa na...
  13. technically

    Rose Mayemba, Mwenyekiti CHADEMA Mkoa wa Njombe akamatwa na kuhojiwa na Jeshi la Polisi. Aachiwa kwa dhamana

    Yaani tunataka kweli kurudi kule kule? ---- Update: 1 JamiiForums imezungumza na RPC Mkoa wa Njombe na amethibitisha kuwa Mwenyekiti CHADEMA Mkoa wa Njombe Rose Mayemba amekamatwa kwa Mahojiano zaidi baada ya kuweka ujumbe kwenye mtandao wa kijamii uliomhusisha Rais. RPC amesema kuwa kosa lake...
Back
Top Bottom