Wanaoleta chokochoko kwenye Muungano, Uhuru unawalevya

stormryder

JF-Expert Member
Mar 23, 2013
2,370
2,924
Niwakumbushe tu Hongkong na Macau ni special administration regions za China, Wazanzibar msijisahau kuwa na ninyi ni Special administration region ya Tanzania/Tanganyika. Serikali ya Zanzibar is simply a ceremonial goverment, without any power.

Kama ilivyo kwa Hongkong na Macau Wachina walitenganishwa na ndugu zao Bara/Main land na Wakoloni, ndiyo ilivyo kwa Waafrika wa Zanzibar, lazima Tanganyika kama China irudishe ardhi ya Waafrika kwa Waafrika

Zanzibar ni sawa na Mafia tu. Kwa sababu Uhuru wao Ilipata chini ya Sultan na tofauti Tanganyika inawafanya mjisahau kuwa nyie ni Watanganyika mlioenda kutafuta maisha Zanzibar au kupelekwa huko bila idhini yenu kama watumwa.

Mwisho Jussa, na Waarabu wote msijisahau kuwa hamjawahi kutoka hadharani na kuomba radhi wala kujutia makosa na dhambi za Babu zenu walizofanya dhidi ya ubinadamu. Mna option ya kutulia na kuheshimu Watawala wa Kiafrika ambao babu zenu waliwatesa au Kurudi Oman.
 
Kina Nani “wamelevywa” na uhuru? Mbona unatisha watu wasijadili muungano kwasababu ambazo hazina msingi hata kidogo?

Maana hata haueleweki? Maana ni kama vile unataka kusema watu wa Zanzibar ni watanganyika waliopelekwa kule na babu zao kina Jussa ambao ni waarabu?!

Na wakati wanapelekwa kule Zanzibar, hakukuwa na wenyeji?
 
Ebu tuambia Senegal na Gambia au Malaysia na mwenzake Singapore walipotengana walipungukuwa na nini? Kumbuka waliungana wakati tulipoungana siye lakini after 2 years wakagundua muungano unawarudisha nyuma
 
Kina Nani “wamelevywa” na uhuru? Mbona unatisha watu wasijadili muungano kwasababu ambazo hazina msingi hata kidogo?

Maana hata haueleweki? Maana ni kama vile unataka kusema watu wa Zanzibar ni watanganyika waliopelekwa kule na babu zao kina Jussa ambao ni waarabu?!

Na wakati wanapelekwa kule Zanzibar, hakukuwa na wenyeji?
Waarabu Zanzibar ni matokeo ya ukoloni wa kiarabu
 
Niwakumbushe tu Hongkong na Macau ni special administration regions za China, Wazanzibar msijisahau kuwa na ninyi ni Special administration region ya Tanzania/Tanganyika. Serikali ya Zanzibar is simply a ceremonial goverment, without any power.

Kama ilivyo kwa Hongkong na Macau Wachina walitenganishwa na ndugu zao Bara/Main land na Wakoloni, ndiyo ilivyo kwa Waafrika wa Zanzibar, lazima Tanganyika kama China irudishe ardhi ya Waafrika kwa Waafrika

Zanzibar ni sawa na Mafia tu. Kwa sababu Uhuru wao Ilipata chini ya Sultan na tofauti Tanganyika inawafanya mjisahau kuwa nyie ni Watanganyika mlioenda kutafuta maisha Zanzibar au kupelekwa huko bila idhini yenu kama watumwa.

Mwisho Jussa, na Waarabu wote msijisahau kuwa hamjawahi kutoka hadharani na kuomba radhi wala kujutia makosa na dhambi za Babu zenu walizofanya dhidi ya ubinadamu. Mna option ya kutulia na kuheshimu Watawala wa Kiafrika ambao babu zenu waliwatesa au Kurudi Oman.
KWAMBA UKIVUNJIKA NDIO HATUTAKUWA HURU? WAKATI MWINGINE MUWE NA AKILI BASI HATA KAMA MNALIPWA KUENEZA UJINGA WENU HUMU? TOGO NA GHANA ZILIUNGANA NA ZIKATENGANA JE SASA SIYO HURU?
MWAKA 1994 Sijui kama ulikuwa ulishazaliwa au kuja mjini. ilikuwa kila baada ya taarifa ya habari ITV wanaweka picha za mauaji ya RWANDA ati watanzania wasichague upinzani maana yatatokea mauaji kama yale lli kuwatisha watu
jambo lile halikuwa na tofauti na hizi kauli za kipuuzi mnazoleta hapa. mtu amehoji muungano badala ya kumjibu kwa hoja mnatisha watu. kuna mahusiano gani kati ya uhuru na muungano sasa
 
Niwakumbushe tu Hongkong na Macau ni special administration regions za China, Wazanzibar msijisahau kuwa na ninyi ni Special administration region ya Tanzania/Tanganyika. Serikali ya Zanzibar is simply a ceremonial goverment, without any power.

Kama ilivyo kwa Hongkong na Macau Wachina walitenganishwa na ndugu zao Bara/Main land na Wakoloni, ndiyo ilivyo kwa Waafrika wa Zanzibar, lazima Tanganyika kama China irudishe ardhi ya Waafrika kwa Waafrika

Zanzibar ni sawa na Mafia tu. Kwa sababu Uhuru wao Ilipata chini ya Sultan na tofauti Tanganyika inawafanya mjisahau kuwa nyie ni Watanganyika mlioenda kutafuta maisha Zanzibar au kupelekwa huko bila idhini yenu kama watumwa.

Mwisho Jussa, na Waarabu wote msijisahau kuwa hamjawahi kutoka hadharani na kuomba radhi wala kujutia makosa na dhambi za Babu zenu walizofanya dhidi ya ubinadamu. Mna option ya kutulia na kuheshimu Watawala wa Kiafrika ambao babu zenu waliwatesa au Kurudi Oman.
uhuru? kwaiyo unataka kumaanisha zamani mlibana mno midomo ya raia, sasa mnaamini ninyi ndio mmeumbwa kuwa miungu watu kwa wenzenu? kamwulizeni gadafi kufumba watu mdomo kulimfikishaje kwenye mtaro wa nnya.
 
Niwakumbushe tu Hongkong na Macau ni special administration regions za China, Wazanzibar msijisahau kuwa na ninyi ni Special administration region ya Tanzania/Tanganyika. Serikali ya Zanzibar is simply a ceremonial goverment, without any power.

Kama ilivyo kwa Hongkong na Macau Wachina walitenganishwa na ndugu zao Bara/Main land na Wakoloni, ndiyo ilivyo kwa Waafrika wa Zanzibar, lazima Tanganyika kama China irudishe ardhi ya Waafrika kwa Waafrika

Zanzibar ni sawa na Mafia tu. Kwa sababu Uhuru wao Ilipata chini ya Sultan na tofauti Tanganyika inawafanya mjisahau kuwa nyie ni Watanganyika mlioenda kutafuta maisha Zanzibar au kupelekwa huko bila idhini yenu kama watumwa.

Mwisho Jussa, na Waarabu wote msijisahau kuwa hamjawahi kutoka hadharani na kuomba radhi wala kujutia makosa na dhambi za Babu zenu walizofanya dhidi ya ubinadamu. Mna option ya kutulia na kuheshimu Watawala wa Kiafrika ambao babu zenu waliwatesa au Kurudi Oman.
Unaleta UBAGUZI !
Kweli uhuru ukizidi unaleta kiburi !
Baada ya hapo utaanza kuwabagua Waislamu!
Ndiko unakoelekea !
Be careful !
 
Kwani ni waarabu wa Zanzibar peke yao ndo hawataki muungano?

The last time I checked, hata watanganyika hawautaki kwenye mfumo huu uliopo.
Sasa kama wao hawautaki na watanganyika pia hawautaki, nini kinachosababisha wasitengane kwa maslahi mapana ya nchi zao?
 
Niwakumbushe tu Hongkong na Macau ni special administration regions za China, Wazanzibar msijisahau kuwa na ninyi ni Special administration region ya Tanzania/Tanganyika. Serikali ya Zanzibar is simply a ceremonial goverment, without any power.

Kama ilivyo kwa Hongkong na Macau Wachina walitenganishwa na ndugu zao Bara/Main land na Wakoloni, ndiyo ilivyo kwa Waafrika wa Zanzibar, lazima Tanganyika kama China irudishe ardhi ya Waafrika kwa Waafrika

Zanzibar ni sawa na Mafia tu. Kwa sababu Uhuru wao Ilipata chini ya Sultan na tofauti Tanganyika inawafanya mjisahau kuwa nyie ni Watanganyika mlioenda kutafuta maisha Zanzibar au kupelekwa huko bila idhini yenu kama watumwa.

Mwisho Jussa, na Waarabu wote msijisahau kuwa hamjawahi kutoka hadharani na kuomba radhi wala kujutia makosa na dhambi za Babu zenu walizofanya dhidi ya ubinadamu. Mna option ya kutulia na kuheshimu Watawala wa Kiafrika ambao babu zenu waliwatesa au Kurudi Oman.
Umeandika upuuzi mtupu. Watu kama hamna cha kuandika msijidhalilishe mitandaoni.

Mipaka yote unayoiona Africa imewekwa na Wakoloni. Kenya na Uganda wanaweza kuwa na nasaba zaidi ya hao Wazanzibar ambao wengine ni jamii za kiarabu. Uwezi kulazimisha muungano na Africa kusini sababu Wagoni wana asili ya huko. Si kila kabila au jamii fulani ilikuwepo pale ilipo tangu kuumbwa kwa dunia, makabila mengi yalihamia pale yalipo tokea sehemu nyingi. Mtu ukiwa huna hoja husijilazimishe kuandika.
 
Waarabu walikuja Africa kwa ajili ya ukoloni
 
Swali gani hilo tena? Mapinduzi ya Zanzibar yalifanyika kumfukuza nani kama siyo sultan? Nini maana ya ukoloni? Hata kama biashara yao ya mwazo ilikuwa ni ya watumwa, lakini mwisho wa siku ni wao waliounda serikali.
 
Niwakumbushe tu Hongkong na Macau ni special administration regions za China, Wazanzibar msijisahau kuwa na ninyi ni Special administration region ya Tanzania/Tanganyika. Serikali ya Zanzibar is simply a ceremonial goverment, without any power.

Kama ilivyo kwa Hongkong na Macau Wachina walitenganishwa na ndugu zao Bara/Main land na Wakoloni, ndiyo ilivyo kwa Waafrika wa Zanzibar, lazima Tanganyika kama China irudishe ardhi ya Waafrika kwa Waafrika

Zanzibar ni sawa na Mafia tu. Kwa sababu Uhuru wao Ilipata chini ya Sultan na tofauti Tanganyika inawafanya mjisahau kuwa nyie ni Watanganyika mlioenda kutafuta maisha Zanzibar au kupelekwa huko bila idhini yenu kama watumwa.

Mwisho Jussa, na Waarabu wote msijisahau kuwa hamjawahi kutoka hadharani na kuomba radhi wala kujutia makosa na dhambi za Babu zenu walizofanya dhidi ya ubinadamu. Mna option ya kutulia na kuheshimu Watawala wa Kiafrika ambao babu zenu waliwatesa au Kurudi Oman.
Kwa kiswahili Chokochoko maana yake nini?
 
huyu jamaa ni masalia ya magufuli, anaamini kutawala ni kutisha watu na kuwa mbabe, hapo ndio wanajisikia vizuri sana. angekwua hai angekwambia, kama angeamua achague leo kati ya ubabe na mapatano au uhuru kwa watu angechagua nini, angekwambia.
 
Sisi vilaza tunatabia ya kuandika jambo lakini watu wakalipuuza sababu tu ya maneno yaliyoandikwa na vilaza sisi

Ninyi watu wa usalama wa Taifa hili, ni aidha mnajua kinachoendelea ama mnafanya kusudi kwa kinachoendelea... Lakini msipochukua tahadhari yoyote kuhusu hii mijadala, linaliweka taifa katika hali mbaya mno...

Tufanye ninyi T.I.S.S hamjalala

Kumbukeni tunaelekea kwenye mwaka wa uchaguzi... Mtu/watu, kundi/kikundi chenye nia hovu na kisichoitakia mema hii nchi inaweza kutumia mwanya huu wa mjadala wa muungano na kuleta yasiyotarajiwa (migogoro mingi kwenye nchi zenye muungano huanza hivi)

Haya mods unganisheni kwenye mada ile yenye kichwa cha habari cha Mh Zito, ama futeni... Maana ndio kazi yenu
 
Back
Top Bottom