i salute you kinsmen kwa jina la gusa achia twende kwao
nimechunguza sana kauli ya bwana chasambi kuwa ndani ya team yake hakuna role model wake ila yanga wapo anaowakubali akiwemo max mpia
sasa simbilisi mnamchukia kijana kwanini?
kiukweli chasambi aliwastahi tu sio kwamba uongo, kimsingi...
Radack Chasambi alionekana kutoa maoni yake juu ya mchezaji kioo kwenye ligi, Yeye Kwa mtazamo wake aliamua kumtaja Maxi Nzengeli kuwa ni mchezaji anayemvumtia na ana mtazama kama kioo na kufata nyendo zake
Baada zilizo hoja kutoka Kwa wachambuzi na baadhi ya members humu Jamii forums...
https://www.youtube.com/watch?v=NTfMlQAdvLs
Mtangazaji: Katika uchezaji wako wa mpira Chasambi, nani unamtizama kama kioo kwako"
Chasambi: Namtizama kama kioo kwenye timu yangu au......?
Mtangazaji: Role model wako
Chasambi: Kwenye timu yangu
Mtangazaji: Akaitikia kwa kutikisa kichwa
Chasambi...
Ladrack Chasambi leo amehojiwa na mwandishi na akaulizwa ni mchezaji gani kwake ni role model, yeye kwa kujiamini akauliza ndani ya timu yangu au kokotę, akaambiwa ndani ya Simba akasema hapana, akasema role model wake ni Mac Nzengeli.
Sasa Chasambi wewe kwa mpira gani uliokuwa nao hadi leo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.