Jana usiku nilikua na drive nje ya mji...nikaona dot 2 zinawaka kwa mbele, hatimaye nikagundua ni fisi amechill pembeni ya barabara... TAPETUM LUCIDUM ni layer yenye asili ya mng'ao iliyopo nyuma ya retina katika jicho la kiumbe hai. Sio viumbe wote wanayo, hii wamepewa viumbe baadhi ambao wapo...
Mara ya kwanza kumuona bundi akiwa amekaa au ame chill kwenye fisher board nyumbani ndio ilikuwa mara ya kwanza kumshuhudia bundi kwa macho. Siku hii ilikuwa mchana mapema
Toka nimuone bundi nyumbani kwangu hii imekuwa ni mara ya nne nashuhudia bundi katika maeneo haya.
Cha kushangaza bundi...
Aliwahi kuandika mwana fasihi MBUNDA MSOKILE kwenye kitabu chake cha USIKU UTAKAPOKWISHA, kwamba; Ukikosa Kware mawindoni rudi na bundi.
• Msemo huu uwakumbushe wale ambao wanasubiri kazi za maofisini, hawataki kazi za juani.
• Msemo huu uwakumbushe wale ambao wanatafuta mchumba (mume/mke)...
Hili ndio bandiko lake kutoka Account yake ya X
NGEDERE NA BUNDI WAOKOA MABILLIONI YA PESA UNUNUZI WA TRENI ZA SGR.
NGEDERE mmoja na BUNDI mmoja jana maeneo ya Kidete wilaya ya Kilosa ndiyo kalisanua TAIFA katika ufisadi ununuzi wa Treni za SGR.
Bila NGEDERE jana kufanya kazi nzuri ya...
Rais Samia akiwasalimia wananchi katika uzinduzi wa treni Agosti 1, 2024
Rais Samia Suluhu Hassan leo Alhamisi amezindua rasmi huduma za usafiri wa reli ya kisasa (SGR), treni iliyokuwa imebeba wageni walioshiriki uzinduzi huo wakiwamo mabalozi na viongozi mbalimbali wa kiserikali kutokea...
TAARIFA KWA UMMA
HITILAFU YA UMEME KATI YA KILOSA NA KIDETE
Dar es Salaam, Tarehe 31 Julai 2024
Shirika la Reli Tanzania (TRC) linaomba radhi kufuatia hitilafu ya umeme iliyojitokeza kati ya Stesheni ya Kilosa na Kidete na kusababisha treni ya reli ya kiwango cha kimataifa (SGR) iliyokuwa...
Dereva pikipiki ya Afisa mifugo Wilaya ya Handeni Mkoani Tanga, Abel Adamson Mwaipopo (25) amefariki Dunia baada kumgonga Bundi na Kisha pikipiki take kupoteza muelekeo na kuanguka na hatinaye kupoteza maisha.
Afisa mifugo wilayani Handeni mkoani Tanga (Jina lake bado halijafahamika) amefariki dunia baada ya kumgonga ndege aina ya Bundi na pikipiki aliyokuwa akiendesha yenye namba za usajili STM 0232 . Ajali hiyo imetokea asubuhi ya leo Ijumaa, Mei 17 2024 eneo la Sindeni, Handeni jirani na kona ya...
Nataka kufuga bundi kuzuia uharibifu wa panya wa mazao shambani kwangu, ila sasa hii jamii ninayoishi nayo wakiona nakusanya bundi hawanielewi, wanadhani mie mchawi. Halafu mie nawaona bundi wako wa-cute!
Nifanyeje? Wasije wakanichoma moto ndani ya nyumba yangu.
Huyu nae ni mbabe wa koboko. Yaani Mungu fundi kweli,hili dude limekaa kifala kweli ila shughuli yake koboko anaijua. Yanawatafuna balaa. Na eneo lililo na Bundi koboko lazima achague mambo mawili abaki ili aliwe au ahame haraka sana kuokoa maisha yake. Wewe mchukie tu na mhusishe kwa ushirikina...
Nchi nyingi huwa na ndege, mnyama, mdudu, ua, mti. . . Vya taifa. Mnyama wa taifa la Tanzania anajulikana ni twiga ila hivyo vingine havijulikani au labda havipo. Katika kusearch ndege wa taifa la Tanzania nikakutana na bundi wa Usambara(Usambara Owl-Eagle) wanasema ndiyo ndege wa taifa la...
Ni wiki 2 mfululizo maeneo nayoishi kuna jamaa alimleta mkewe kwao ambaye alitoka kujifungua mtoto wa kike. Ndani ya hizo wiki mbili katoto hako kachanga hakakua na afya nzuri usiku kalikua kanalia sana. Cha kushangaza Kanapolia au anamaliza tu bundi naye akawa analia sana hasa mida ya kuanzia...
Habarini wakuu, poleni na mihangaiko.
Leo katika pita pita zangu shambani nimebahatika kuokota mayai ya bundi. Kwa wajuvi wa mambo nawiwa kuuliza hivi mayai ya bundi huliwa?
Au kama Kuna mtu anayataka kwa shughuli zake binafsi anitafute.
Wazo lililopo kichwani ni kwenda kuuza kwa waganga wa...
Nimesoma sehemu kuwa ndege aina ya Bundi, licha ya kuhusishwa na imani za kichawi kama mikosi, mtu kufariki akionekana au kusikika akilia jirani, kutokea ghafla nk eti si kweli kwamba ni mchawi bali ana uwezo wa kunusa mtu aliyekaribia kufa.
Je, ukweli wake ni upi?
SIASA INAHITAJI UWE NA JICHO NA PUA YA BUNDI!
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Hakuna somo gumu kama somo la Siasa. Sio udaktari, sio uinjinia, sio ualimu, sio uanasheria, sio ukulima. Siasa ndio somo gumu zaidi Duniani. Kwa sababu Kabla ya yote Siasa ilitangulia na Baada ya yote Siasa ndio...
Act ni chama kipya hapa nchini kilianzishwa baada fujo kule chadema mwaka 2013(kama nimekosea mwaka) wakati zitto akitaka kugombea uenyekiti mbowe akamfukuza ndo ACT ikazaliwa
Zitto binafsi niliwahi fanya nae mazungumzo ya simu sehemu moja nilipoona ana chuki za wazi kwa magu...pia...
BUNDI ANAVYOTUMIKA KATIKA UTAJIRI, NUKSI, NA USHRIKIANO WAKE NA WACHAWI
Kwanza bundi ni ndege wa ajabu kidogo,anajitofautisha na ndege wengine kwa tabia zake ambazo kwa asilimia kubwa wanga wengi hupita anamopita yeye. Bundi anauwezo wa kuzungusha kichwa chake mara tatu kama vile unavyozungusha...
Kwanini Ndege Bundi anatafisiriwa kiuchawi?
Nahis bundi ana faida nyingi sana...na ndio maana baadhi ya mashirika yanatumia kama nembo yao.....
Baadhi ya Sifa za bundi..
Bundi ana uwezo mkubwa wa kunusa Mnyama anayekaribia kufa, ana uwezo wa kuona karibu mara nane ya uwezo wa Binadamu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.