Niliwahi kushauri na ninaendelea kuishauri Serikali kupitia Mkoa wa Dar es Salaam kuwa, wajenge Kariakoo nyingine eneo la Mbezi mwisho karibu na stendi ya Magufuli au karibu na hapo.
Nilisha eleza faida sina haja ya kurudia, huu utakuwa ni mpango wa miaka 100 ijayo.
Walio plan Kariakoo iliyopo...
Wakati Rais Samiah akiwaapisha Viongozi Jana , Kuna mambo matano aliyasema kwenye hotuba yake ambayo yalinisikitisha.
1. Jambo la kwanza Rais kadai mikopo inaifanya Tanzania inyayasike
Nimehuzunika Rais anapokiri ya kwamba mikopo tunayokopa inatufanya tunyanyasike. Huyu ni udhaifu mkubwa wa...
Binafsi naamini ni ngumu kwa TRA kuelewa hali halisi inayolalamikiwa bila kufungua duka la majaribio Kariakoo.
Walipe Kodi zote stahiki, na wasiuze chochote bila kutoa risiti, watoe risiti na wadai risiti kila wanaponunua. Wasijipe upendeleo wa aina yeyote na wasitoe rushwa, halafu tuone kama...
Hadi Sasa ni saa 2:24 asubuhi maduka mengi hayajafunguliwa.
Licha ya Mkuu wa Mkoa, Albert Chalamila, kuwasisitiza Wafanyabiashara wa Kariakoo kuendelea na shughuli zao kama kawaida, hadi Saa 9 Asubuhi Wafanyabiashara wengi wamefunga Biashara zao katika Mitaa ya Kariakoo, leo Juni 24, 2024...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila ametoa tamko la kuwataka Wafanyabiashara wote wa Mkoa wa Dar es salaam kujiepusha na migomo na kila mmoja kujitafakari, hii ni baada ya kusambaa kwa taarifa jana kuhusu Wafanyabiashara wa Dar es Salaam na Mikoa mingine kupanga kugoma.
Akiongea...
Wafanyabiashara wote wa viunga vya Kariakoo mnatakiwa kufunga biashara zenu zote ikiwemo maduka yenu, ofisi zetu na chochote unachokifanya kuanzia Jumatatu ya Juni 24, 2024 bila ukomo hadi pale changamoto zetu zote za kibiashara zitakapoweza kutatuliwa.
Mikoa ya Mbeya, Iringa, Mwanza, Arusha...
Kwema wakuu,
Kuna mtu kanifata anahitaji ushauri, anataka kujilipua kwenda kariakoo kufanya biashara.... Kwanini Kariakoo? Anaamini Kariakoo ndo hub ya biashara hapa Tanzania.... Mzunguko wa kariakoo si rahisi kuupata mahali pengine popote hata kama unapata faida ndogo
Amekua akifanya...
Wakuu habari za uzima?
Kuna uzi mmoja jamaa alianzisha kama sikosei ni Goodluck7 akiuliza biashara ya mtaji wa milioni 2.
Nilitoka komenti yangu kuhusu kuja Kariakoo kufanya biashara kwa pesa hiyo.
Nilipokea Pm nyingi sana lakini sikujibu hata moja sababu PM yangu haifunguki na...
Habari,
Nchi ya uturuki imekuwa miongoni mwa nchi ambazo Watanzania wengi wamejivunia utajiri kutokana na kuagiza bidhaa mbalimbali kupeleka Tanzania.
Katika kipindi cha miaka ya Karibuni miongoni mwa bidhaa zinazoongoza kuchukuliwa kutoka uturuki ni bidhaa za umeme vyenye thamani ya shilingi...
Hellow members, kama wewe unategemea kuanza biashara na unatarajia kufunga mzigo wa biashara Kariakoo basi hii ni ya kwako.
Ipo hivi hapa nina vitabu viwili nimekuandalia vitakavyokupa muongozo wa kupata machimbo ya bidhaa kwa bei ya jumla nzuri sana ndani ya soko la kariakoo.
Vitabu hivi...
Wakuu kwema?
Poleni na majukumu leo Mimi nilienda Kariakoo japo mimi ni mgeni hapa dar nazunguka hivyo hivyo kwa kuulizia.
Nilikuwa naomba ushauri nilikuwa Nina wazo la kuuza mayai ya chemsha kariakoo kwa kuzungusha je Kuna kibali cha kuniruhusu au naweza fanya bila shida Kama hao wanaouza...
Sitaandika sana,
Huwezi amini maneno haya yalitoka kwenye kinywa cha mwanadamu, tena mbele ya camera!
Leo hii nimemwona jamaa huyo huyo analia mbele ya camera baada ya mwili wa mpendwa kuwasili. Najua somo amelipata siku nyingine atajifunza cha kuongea.
Dunia mapito jama.
Sina kumbukumbu sahihi kuwa ni lini wafanyabiashara wa Kariakoo wamewahi kugoma kwasasabu yoyote. Kariakoo ndiyo Dubai ya nchi yetu, ina wafanyabiashara wa kila aina, wakiwemo wenye mitaji mikubwa, ya kati na midogo.
Kikubwa zaidi wanajitambua, naamini hawawezi tu wakakurupuka kugoma bila...
Mgomo unaoendelea Kariakoo uwe wake up call kwa serikali kuacha kutumia vyombo vya dola kuendesha biashara za raia. Tutumie wataalam watuambie tatizo lilipo na tulipatie ufumbuzi.
Siku dola ikipewa jukumu la kuimarisha usalama biashara zifanyike usiku na mchana nchi itapiga hatua. Lakini...
Ni kweli Kariakoo ni sehemu ya biashara hilo halina ubishi, lakini ukweli mwingine pia ni makazi na matumizi ya wengi wapitao njia.
Embu pita tu pale Kariakoo uone jinsi nyumba zinavyobadilishwa, vichochoro vyote sasa ni viduka, gorofa zinabadilishwa kutoka makazi kuwa maduka kimya kimya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.