Beki is a title of nobility used by the Mongols and other steppe societies in the Central Asia in the medieval period. The exact meaning of the title is disputed, although possibly meant "honored shaman", and while frequently used for noble women, some men also used the title.
Mchezaji wa zamani wa Simba SC, Israel Patrick Mwenda, amekamilisha uhamisho wake wa mkopo wa miezi sita kutoka Singida Big Stars kwenda Young Africans (Yanga).
Pia, Soma: Singida Black Stars yasema imemlipa Mwenda Tsh. 140m yamtaka aripoti mazoezini
Beki huyo anauwezo wa kucheza kama beki...
Nimetizama kiumakini kabisa Goli la Yanga SC na sijaona na sioni kwanini Poti wangu kutoka Mkoani Mara (Musoma) Crescentius Magori umekimbilia Kumlaumu Kipa Camara. Magori ingekuwaje kama Kipa Camara asingeenda Kuupangua ule Mpira kwa Kusimama na Goli kuingia? Si ungemuua kabisa Kijana wa Watu...
Kwahiyo imetafutwa kila namna mwisho wa Siku Yanga iwe imeita Wachezaji Watano Taifa Stars na Simba ibakie na Wachezaji Wanne walioitwa? Ndiyo maana kuna muda huwa naichukia Taifa Stars kwani imejaa mno Usimba na Uyanga wakati kumbe katika Vilabu vingine kuna Wachezaji wazuri sana wa kuipigania...
Jamaa ni kama alitumwa na uto kuwavunja wachezaji wa Simba.
Refa nae akawa fair sana yule alitakiwa red card kwa uchezaji wake wa kikatili.
Alichosahau yuko Libya kikazi ila huku Tanzania watutsi wenzake wamejazana , dada zake tunawamwagisha maji kwa kale kamchezo ketu huku Ngara.
Si ajabu ana...
Klabu ya Simba ilitangaza kwamba beki wake Valentino Nuoma ameitwa timu ya taifa ya Burkina Faso
Lakin baada ya kufuatilia imegundulika kwamba beki huyo hajaitwa.
Najiuliza
Je nin kimetokea?
Soma Uchambuzi Mfupi na Madini ya Chambuzi lenye Ufahamu na Mpira kwa Mapana yake.
Achana na hao kila siku wao hawachambui kazi kuuliza Ali kamwe yupo wapi?
Mara Ubaya Ubwela imeliwa.
Mara Simba Mchumba.
Nini Maoni yako Somaji?
Huyu beki wa kulia kwa sasa hapa nchini hakuna, anaitwa Kevin Kijiri, huyu beki ana kasi, ana nguvu, mrefu na anajua boli.Anaitwa Kevin Kijiri.
Kwa sasa hapa nchini hakuna beki wa kulia kama huyo, prove me or not.
Mechi ya kwanza ya Kjjiri akiwa Simba anakwenda Stars moja kwa moja.
Huyu...
Ukimuona Mohamed Outara unaweza sema timu imepata beki wa maana sana, Simba iliwahi kumsajili beki huyo kutoka sudan.
Tulimsifia mnooooo, tukasema tumepata beki.
Siku ile alipozungushwa na Fiston Mayele tukapigwa na utopolo ndipo thamani yetu kwake ilipoishia.
Outtara alikuwa na mwili jumba...
Huyu ni raia wa hapa hapa ndani ila alikuwa anakipiga huko kwa Madiba.
Abdulrazack ni mchezaji kijana wa Kitanzania anayecheza soka la kulipwa nchini Afrika Kusini kwa ubora mkubwa akiwa kwenye kikosi cha kwanza.
Abdulrazack ana umri wa miaka 21 bado ana nguvu na muda mrefu wa kucheza soka na...
PICHA KUONESHA ALIYEKUWA BEKI WA KAIZER CHIEF
Beki wa Kaizer Chiefs Luke Fleurs amefariki dunia kwa kusikitisha baada ya kupigwa risasi wakati wa utekaji nyara.
Siwezi kuamini hili baada ya kumuona siku chache zilizopita, wakati wa huzuni ya ajabu, rambirambi zangu za dhati kwa wapendwa wake...
Beki wa Manchester City, Kyle Walker, ameiomba radhi familia yake kwa kufanya uamuzi wa ovyo kufuatia wiki kadhaa za tetesi kuhusu usaliti kwenye ndoa yake.
Mchezaji huyo ameliambia gazeti la the Sun, kuhusu uhusiano wa kimapenzi [mchepuko] na Lauryn Goodman, mtangazaji wa TV.
“Nilichokifanya...
Laiti Wachezaji wote wa Taifa Stars iliyoyaaga Usiku huu Mashindano ya AFCON huko nchini Ivory Coast wangekuwa na Spirit ya Beki Ibrahim Bska nina uhakika Tanzania tusingetolewa mapema hivi.
Kwangu Mimi huyu Beki Ibrahim Baka ndiyo ambaye Watanzania tunatakiwa tumpokee kwa Heshima zote...
Nilichogundua ni kwamba kwa hii kazi niliyonayo nisipowaza nje ya box nitakua msindikizaji tu na kushuhudia watu wakipiga hatua huku Mimi umri unaenda, kwa trending jinsi ilivyo historia ya maisha yangu itakua ni kumiliki nyumba wakati huo msoto wa utumishi ukiwa ni mgumu kwa kutokufanya vitu...
Embu tukumbuke sheria za mpira wa miguu zinasemaje kuhusu goli la kujifunga ili tujue kama mtu anayestahili kupewa credit ya goli la nne katika mechi ya jana ya Yanga vs Mtibwa ni Skudu au beki wa Mtibwa.
Skudu alipopiga mpira, kipa alianza kuruka kuufuata ule mpira ila kuna beki wa Mtibwa...
Wala simlaumu Kipa Ali Salim kwa Kufungwa Goli zile Mbili ( hasa lile la Pili ) kama ambavyo Wengi wenu mnamlaumu ila GENTAMYCINE nalia na Beki wetu Henock Inonga ambaye zaidi ya mara Mbili hapa hapa JamiiForums nimeshamuanzishia Threads kuelezea Madhaifu yake na kwamba yasiporekebishwa ipo Siku...
Beki huyu kisiki ndiyo litmus paper ya nini na vipi beki wa kulia anavyotakiwa acheze
Anakaba,ana dribble,anafanya interceptions za mashambulizi ya wapinzani,anashuka na kupanda kirahisi kwenye flank yake bila kumhatarisha kipa wake.
Yao Yao ndo SI Unit ya beki wa kulia aweje...
Kuwa na Afya njema ni zaidi ya kukosa maumivu mwilini, jeraha au kuvunjika mifupa. Mpira unachezwa na mwili pamoja na akili. Mchezaji che Malone amepata ajali ya gari usiku pale maeneo ya Mikocheni jirani na shule ya FEZA. Hata kama mchezaji wetu huyu kisiki Che Malone hakupata majeraha ya mwili...
Na kinachonikera zaidi hilo Goma lenyewe anashea na Wachezaji Wenzake Mkude na Nyoni hivyo kwa Kiwango chake Kushuka na Mpira mbovu alioucheza jana kuanzia sasa ( leo ) nawaahidi wana Simba SC wote ili Kumlinda Beki Tshabalala na Kiwango kisipotee nikimuona tu Kawe na Gari yake akielekea Mitaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.