Fikiria ulimwengu ambao mkulima nchini Tanzania au Uganda anabashiri wakati mwafaka wa kupanda mazao yake, mwanafunzi nchini Kenya anapata elimu bora kupitia simu yake, na hospitali nchini Nigeria au Rwanda zinagundua wagonjwa haraka na kwa usahihi zaidi, yote haya shukrani kwa akili bandia...
Kiongozi Mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe amedai katika uchaguzi uliofanyika wa Serikali za Mitaa Vijiji na Vitongoji kulikuwa na kura nyingi za bandia katika maeneo mbalimbali nchini jambo ambalo lilikuwa dalili ya kufanyika kwa ubadhirifu katika chaguzi huo.
Zitto ameyasema hayo...
Nimefika Kata ya Ndembezi, Manispaa ya Shinyanga. Tumekamata kura fake 41 kutoka kwa msimamizi msaidizi wa kituo cha Ndembezi Shule.
Tumewakabidhi Polisi Kura hizo fake zaidi ya 40 tulizozikamata.
Pia soma:LIVE - LGE2024 - Special Thread: Matukio ya Rafu za Uchaguzi na Malalamiko kwenye...
Kupata taarifa zote kuhusu uchaguzi wa serikali za mitaa kwa kila mkoa ingia hapa: LIVE - LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Katika hali isiyokuwa ya kawaida inadaiwa kuwa masanduku matatu (3) ya kura...
Umasikini ambao tunao katika bara la Africa ni umasikini bandia na sio kwamba unapatikana Kutokana na Mazingira.
Katika post hii nitamui-invite ndugu Robert Heriel Mtibeli ambaye aliwahi kuzungumzia hili jambo .
Umasikini - ni hile hali ya mtu kushindwa kukidhi mambo makuu matatu ambayo ni...
Watoto huzaliwa wakiwa na uwezo wa kunyonya bila kufundishwa (sucking reflex). Kitendo hiki ni muhimu sana kwasababu ndiyo njia pekee ya kumpatia chakula mtoto mdogo. Sayansi imeonesha kwamba mtoto huanza kunyonya (vidole) tangu akiwa tumboni kwa mama, hii inaonekana kupitia picha za ultrasound...
Wadau ni muda umepita sasa Bila kugusia sarafu bandia, lakini ni wakati sasa wa kuangalia kuhusu hizi sarafu bandia na wengi mnaoelewa muwaepushe watanzania na ponzi scheme.
Jambo kubwa naweza sema hapa ni usalama wa pesa zetu kwasabu coin zipo nyingi baadhi ni stable na baadhi ni unstable...
Huniambii kitu hata!
Mimi siingilii Uhuru wa maonî ya Watu walah!
Kûna waliniita Mario,
Kûna waliniita Serengeti boy,
Kûna waliniita kibenteni.
Basi kama mjuavyo Siku hizi Vijana Hawana Kazi, na kama nimetoa Ajira Kwa Watu kunitungia Majina na huenda Kwa Mwezi wanapewa Pesa za kujikimu Maisha...
Sitalitaja hilo Taifa lakini kila mwenye akili na mfuatiliaji wa mambo atalibaini na zaid atanielewa japo inaumiza.
Bidhaa bandia siku zote hufanana na bidha halisi ila kwenye matumizi na mambo menginyo, bidhaa ya bandia hujionyresha kwani huwa zina ufanisi duni na zaid hazidumu.
Ukifanya...
Rais Samia Suluhu Hassan akitoa maelekezo kuhusu mtoto mwenye ulemavu wa mguu kufanyiwa mchakato wa kupewa mguu wa bandia kwa gharama ya Ofisi ya Rais.
Ametoa maelekezo hayo kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Tunduma Mkoani Songwe, Mariam Chaurembo wakati aliposimama kuzungumza na Wananchi wa...
Kadiri siku zinavyozidi kusonga mbele ndivyo inavyoonekana kwamba matumizi ya teknolojia ya Akili Bandia (AI) yanashika kasi sana duniani. Maendeleo haya ya haraka yameanza kubadilisha sekta nzima ya teknolojia na kuonesha uwezo wa kugusa nyanja nyingi za maisha ya kisasa. Kwa sasa inaonekana...
Matumizi ya Akili Bandia (AI) yanatarajiwa kuwa sehemu muhimu ya nguvu za kiuchumi na kijeshi duniani katika siku za usoni. Ushindani wa matumizi haya ya teknolojia umeifanya Marekani ianze kudhibiti mauzo ya nje kwenye chip za hali ya juu, na kuiondolea uwezo China wa kupata chip za hali ya juu...
Historia ya Mapinduzi ya Viwanda
Tangu karne ya 18 hadi sasa, dunia imepitia vipindi vinne muhimu vya mapinduzi ya viwanda. Kila kipindi kimekuja na teknolojia mpya na bunifu katika kila sekta, teknolojia hizo zimekuwa na tija katika uzalishaji na pia zimeambatana na changamoto mbalimbali...
Huwa na waza sana, kwamba ili mtu awe hai ni lazima moyo uendelee kufanya kazi na kusuply damu maeneo yote ya mwili.
Sasa wanasayansi wanashindwa vipi kutengenezea moyo bandia ili usaidiane na moyo halisi, ili itapofika muda moyo halisi umeshindwa kufanya kazi basi moyo bandia unaendelea...
Habari wanajamii forums,
Nimeteuliwa kuwa reviewer wa Jarida la Matumizi ya akili bandia katika uhandisi (Journal of Engineering Applications na Artificial Inteligence).
Hivyo kwa wanaopenda kufanya tafiti katika eneo la matumizi ya akili bandia kwenye mambo ya sayansi na uhandisi karibuni...
Leo tunakutana hapa kujadili mustakabali wa nchi yetu katika ulimwengu wa teknolojia, hususan Teknolojia ya Akili Bandia (AI). Teknolojia hii ina uwezo wa kubadilisha maisha yetu kwa kiwango kikubwa ndani ya miaka 5 hadi 25 ijayo. Lakini kwanza, tuanze kwa kuelewa akili bandia ni nini...
Nimeangalia Maua yana bei sana. Nimeshindwa kujua kwanini?
Natamani kuuza maua kwa bei rahis lakini siijui hii biashara?
Nahitaji ushauri
1. Biashara ikoje?
2. Kuagiza nje na kununua jumla hapa bongo ipi bora?
3. Wateja ni kina nani hasa?
4. Faida yake
Jeshi la Polisi Mkoani Arusha linamshikilia Mtumishi (Mhasibu) wa halmashauri ya Wilaya ya Karatu huku likimsaka mwingine kwa tuhuma kuhujumu mapato ya Serikali kwa kutoa risiti bandia za EFD.
Kulingana na Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Karatu Juma Hokororo amesema watumishi hao...
Kumekuwa na utiriri wa pesa nyingi za bandia mtaani noti pamoja na sarafu za mia tano serikali inatakiwa kufanya yafuatayo ili kuondokana hali hii
I) KUELIMISHA UMMA
Uhamasishaji unatakiwa kufanyika ili kuwaelimisha wananchi jinsi ya kutambua pesa halisi na pesa bandia hii ni pamoja na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.