bajeti ya serikali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. mirindimo

    Mfumo wa bajeti wa Serikali unaweza kukufanya ukawa maskini dakika sifuri

    Yaani bajeti mnapitisha mwezi wa 6, mnafunga mfumo mwezi wa 6 mwishoni mnakuja kufungua mfumo mwezi wa 9. Hapo hamjali kua kuna kandarasi wanadai, kuna watoa huduma wanadai, kuna taasisi zinadai, kuna watu wengi nyuma ya watoa huduma wanasubiri familia ziendeshe maisha. Hivi nchi zote duniani...
  2. Nyanda Banka

    Bajeti ya serikali imeshaanza mbona ajira kimya sasa

    Mwaka mpya wa kiserikali umeshaanza, nadhani hapo nyuma tulishapokea shadi mbalimbali kutokana na suala la ajira hususani hizi za ualimu na afya lakini naona bado ubao umenuna Mbona hili suala la ajira limekuwa kizungumkuti tunasubiria mpaka kichwa kinauma, jamani hawa wenye mamlaka ebu...
  3. H

    Ili bajeti ya serikali za Afrika iwe na uuwiano ni lazima wananchi wazilazimishe serikali za Kiafrika kupunguza matumizi kwa nguvu

    Habarini, Chanzo kikubwa cha umasikini na maisha magumu kwa Waafrika ni matumizi makubwa ya serikali kupitia viongozi kuishi maisha ya anasa na ufahari kwa kutanguliza maslahi yao binafsi. Njia rahisi ni kupunguza matumizi hayo kwa nguvu kupitia njia mbadala ikiwemo kuandamana na kichoma...
  4. BabuKijiko

    Waziri Mwigulu: Tukishusha 2% ya VAT tutapoteza Bilioni 600, Bajeti ya Serikali itaathirika

    "Moja ya hoja iliyokuwa inatolewa ni kushushwa kwa VAT kutoka 18% kwenda 12%, na mimi ningetamani iwe hata 10% lakini hatujaacha tu kuishusha sababu ya kiburi cha Wizara au Serikali tu imekataa, hatujashusha kwasababu kuna nambo mengi ya msingi tunatekeleza." "Ukishusha 2% ya VAT unapoteza...
  5. OLS

    Je, serikali inaenda kuruhusu Crypto-currency nchini?

    Kama mnavyojua katika Bajeti Kuu ya Serikali ya Mwaka wa Fedha 2024/25 kuna kodi kadhaa zimependekezwa ikiwemo kodi ya kwenye Digital Assets. Bunge limeshatoa wito kwa wadau kupeleka mapendekezo yao kwenye marekebisho ya sheria ya fedha ambayo inaenda kuleta hiyo kodi ya Amali za Kidigitali...
  6. Wiston Mogha

    ACT Wazalendo: Bajeti ya Serikali 2024/25 ni ya Matajiri na Kulipa Madeni

    NI LEO Uchambuzi Bajeti Kuu ya Serikali utakaofanywa na @ACTwazalendo utarushwa moja kwa moja na Online Tv mbalimbali. Kuzifahamu tazama katika bango. Hakikisha Hupitwi! @ACTBarazaKivuli #TaifaLaWote #MaslahiYaWote https://www.youtube.com/live/b83BKum1V0w?si=HuB4gP2CaV4cX3hT "Sote...
  7. Suley2019

    Kuelekea 2025 Mwigulu Nchemba: Upinzani hawafai kabisa watauvunja Muungano

    "Inawezekana wenzetu hawa kwa tamaa za madaraka hawajatilia maanani suala hili (Muungano) viongozi hao wanafikiri kuwa lugha hizo za kuhatarisha muungano zina mashiko kwa wapiga kura wao na kana kwamba hawajawahi kunufaika na uwepo wa muungano, kuligawa Taifa kwa ajili ya kufanikisha ajenda ya...
  8. Gemini AI

    Kuelekea 2025 Jina la Dkt. Samia latamkwa mara 40 kwenye Hotuba ya Bajeti ya Serikali

    Waziri wa Fedha, Dk Mwigulu Nchemba ametumia dakika 127 sawa na saa 2 na dakika saba kuwasilisha Bajeti ya Serikali kwa mwaka 2024/25 huku jina la Rais Samia Suluhu Hassan akilitamka mara 40. Dk Mwigulu ameanza kusoma bajeti hiyo leo Alhamisi, Juni 13, 2024 bungeni jijini Dodoma kuanzia saa...
  9. Suley2019

    Mwigulu Nchemba: Serikali imebaini Mawakala wakusanya kodi ambao sio waaminifu katika kutimiza majukumu yao

    Mawakala hao wamekuwa wakikusanya kodi kutoka kwa Wananchi na wamekuwa wakiziwasilisha kusikotakiwa kwa mujibu wa sheria. Ni vyema ifahamike kuwa kodi. Ifahamike kuwa yoyote anayekusanya sio yeye anayewajibika kuilipa hiyo kodi hivyo anapotumia hivyo anapoitumia anaiibia serikali...
  10. ubongokid

    Tusome kidogo Bajeti ya Serikali yetu ili tunapodai uwajibikaji na haki tujue tunadai nini

    Ni Jumatatu Nyingine Mahususi kabisa ambayo ni ya kwanza kwa mwezi huu wa February wa mwaka 2024.Nikiwa hapa Ofisini kwangu na mshahara ukiwa bado haujatoka. Pamoja na andiko hili naambatanisha link ya ukurasa ambao utakupatia vitabu vya Bajeti vya Serikali yetu ili tujue Pesa yetu inapelekwa...
  11. Asante CCM

    Tulia: Tusipopitisha bajeti ya serikali Rais anaweza kuvunja bunge

    Unajiuliza, lengo ilikuwa kuwatisha hao wana ndiyo wenzake ama?! Unafikiri bunge letu litakuwa na uwezo wa kuisimamia Serikali kwa ulege lege huo?
  12. Roving Journalist

    Rais Samia ashiriki Hafla ya Kupokea Fedha za Msaada wa Bajeti ya Serikali kutoka EU, leo Julai 4, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Hafla ya Kupokea Fedha za Msaada wa Bajeti ya Serikali kutoka Umoja wa Ulaya (EU) katika Ukumbi wa Karambarage Hazina (Treasury Square) jini Dodoma. === Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu...
  13. benzemah

    Mambo tarajiwa bajeti ya serikali mwaka wa fedha 2023/24

    Serikali inasoma baieti vake ya mwaka wa fedha 2023/2024 leo. Bajeti hivo ni ya majumuisho itaonyesha makadirio ya jumla ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha ujao. Majumuisho yanatokana bajeti za kisekta ambazo kwa kiasi kikubwa ndiyo zinabeba mipan-go inayotaraiiwa kutekelezwa na Serikali...
  14. Roving Journalist

    Dkt. Mwigulu Nchemba awasilisha Mapendekezo ya Serikali ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa na Mfumo na Ukomo wa Bajeti ya Serikali 2023/24

    Maelezo ya Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb), Waziri wa Fedha na Mipango, akiwasilisha Mapendekezo ya Serikali ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Mwaka 2023/24 na Mfumo na Ukomo wa Bajeti ya Serikali kwa Mwaka 2023/24.
  15. K

    CHADEMA yaikosoa bajeti ya Serikali 2022/23

    Leo nimemsikiliza sana Ndugu J.Mnyika akitoa ushauri juu ya Bajeti ya Serikali kwa mwaka 2022/23. Nimemsililiza na mengi nimekubaliana naye hasa ugumu wa maisha kwa wananchi. Anaendelea kushauri kuwa punguzo la bei ya mafuta kwa sasa bado haijamsaidia mwananchi na hivyo Serikali ione...
  16. Roving Journalist

    BAJETI YA SERIKALI 2022/23: Mwigulu Nchemba akitoa Taarifa kuhusu hali ya Uchumi

    Tufuatilie hapa kwa taarifa zote kuhusu bajeti ya serikali kwa mwaka wa fedha 2021/22 Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba anatarajia kusoma bajeti kuu ya serikali kwa mwaka wa fedha 2022/23 leo Juni 14, jioni bungeni. Bajeti inayopendekezwa ni Tsh. Trilioni 41.9 ikiwa ni ongezeko...
  17. Stephano Mgendanyi

    Ajenda ya vijana katika bajeti ya Serikali iangazwe sekta zote

    AJENDA YA VIJANA KATIKA BAJETI YA SERIKALI IANGAZWE SEKTA ZOTE Na; Victoria Charles Mwanziva: (Katibu wa Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi UVCCM Taifa) Vijana ndio dira ya maendeleo kwa Taifa lolote lile linaloendelea ulimwenguni, huwezi kuyapata maendeleo ya kweli na yenye tija kwa Taifa...
  18. peno hasegawa

    Bajeti ya Serikali ya Tanzania ilisomwa July 2021 sasa ni October 2021 Hakuna miradi ambayo imefanyika.

    Bunge la Bajeti limemalizika July2021, hadi sasa hakuna mradi Hata mmoja umeanza au umefanyika kutoka na Bajeti ya 2021/22. Ukinipa Tarura wako hoi, REA wapo hoi, tanesco wako hoi, halmashauri ziko hoi, Tanroads wako hoi, Kila Anakotembelea Rais Amess Hata kuitaja ilani ya ccm 2020/25 ...
  19. beth

    Nigeria: Serikali kukopa zaidi ya Dola Bilioni 10 kufadhili Bajeti

    Rais Muhammadu Buhari amesema Serikali imepanga kukopa zaidi ya Dola za Marekani Bilioni 10 ili kusaidia kufadhili Bajeti ya takriban Dola Bilioni 40 kwa mwaka 2022 Kumekuwa na malalamiko kuhusu Mikopo ya mara kwa mara ya Serikali lakini Rais Buhari ameendelea kusisitiza kiwango bado ni...
  20. Analogia Malenga

    Dodoma: 94% ya Wabunge waikubali bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2021/22

    94% ya Wabunge wa Bunge la Tanzania wamepiga kur a ya ndio bajeti ya Serikali ya mwaka wa fedha 2021/22. Bungeni kulikuwa na wabunge 385 ambao kati yao 23 hawakuamua kupiga kura na 5 hawakuwepo bungeni. Bajeti ya Serikali ya mwaka wa fedha 2021/22 imekadiria kutumia Tsh. Trilioni 36.26 na...
Back
Top Bottom