bahati

David Bahati (born 8 June 1973) is a Ugandan accountant and politician. He is the State Minister of Finance for Planning in the Cabinet of Uganda. He was appointed to that position in a cabinet reshuffle on 1 March 2015, replacing Matia Kasaija. He is a Member of Parliament for the constituency of Ndorwa West in the Parliament of Uganda and is a member of the National Resistance Movement, the ruling party. He is chief of the Scout Board of Uganda.

View More On Wikipedia.org
  1. GRAMAA

    Nilijenga kwenye kiwanja cha familia ya mke wangu sasa bahati mbaya mke wangu huyo amefariki

    Wakuu ndiyo ipo hivyo Baba yangu mkwe alibahatika kuwa na uwanja mkubwa sana hivyo aliamua kuufanya uwanja huo kuwa ni uwanja wa familia yake hivyo aliamua kuwagawia kiwanja hicho watoto wake wote kila mtoto wake na kipande chake. Watoto wake wenyewe wapo sita hivyo kila mmoja akamkatia...
  2. Mr Dudumizi

    Ama kweli katika siasa hakuna jambo linalotokea kwa bahati mbaya. Alaumiwe mama Abdul, vijana wa Kaunda suti, au viongozi wa chama?

    Habari zenu wanaJF wenzangu Wakuu kuna mambo mengine yanashangaza sana, kiasi ya kwamba sometimes mtu unajiuliza kwamba haya mambo yanayotokea huwa yanakuja tu yenyewe au kuna mtu/watu wanayapanga yatokee kwa sababu fulan. Kwa leo naomba nizungumzie haya yanayotokea kipindi hiki cha mwezi...
  3. D

    Nilichogundua mke kuolewa siyo bahati bali awe na sifa hana tofauti na kiwanja sehemu nzuri kununuliwa ni chapu kwa haraka kuliko magumegume

    Wanaosema kuolewa ni bahati huwa wanajifariji tu! Ukweli ni kwamba kuwa mke wa mtu ni vigezo na sifa maalum ambavyo siyo kila mwanamke anavyo! Kutokuwa malaya haina maana unasifa moja kwa moja kuwa mke wa mtu bali hii ni tabia njema ingawa siyo tiketi ya kuolewa! Mwanamke mwenye sifa ya...
  4. kavulata

    Simba na magoli ya bahati na kichawi

    Kwanini Simba ni Mwakarobo miaka nendarudi? Simba bado inaamini kwenye bahati na sanaa ya uchawi michezoni. ushindi wake dhidi wa Bravos ni wa bahati na kichawi, goli la shabalala dhidi ya costantine ni la kuhatisha na kichawi pia. kubahatisha au koroga kunasaidia kushinda mechi sio kushinda...
  5. Pdidy

    Kuelekea 2025 Makonda ajaribu tena bahati yake Kigamboni

    Mungu hamwachi mtu wake Poleni sana wafiwa wote na wana CCM wenzangu Nimewaza nkasema bado tuna kijana mdogo mwenye kutufikisha mbali kama sio kaanani CCM kwa heshima na taadhima tunaomba mh makonda ajaribu tena baahati yake kugombea kigamboni All d best Mungu ibariki Tanzania na Kigamboni...
  6. Mwizukulu mgikuru

    Bahati haiji mara mbili..

    Nimemuuliza upo tayari kuolewa na mimi? akasema ndio na kumalizia na msemo" bahati haiji mara mbili". nimefurahi. Kataa ndoa kwaherini😁
  7. Hammer11

    Sijui niite bahati au nini hii?

    Hali iko hivi: kuna mwanamke mwenye umri wa miaka 28, mke wa mtu, ambaye tumekuwa tukichati naye. Aliniambia kuwa atanipa penzi muda ukifika, nami nikakubali. Baada ya hapo, nilijikita kwenye mambo yangu, lakini nikipata nafasi humjulia hali. Alinieleza kuwa mumewe anampa changamoto sana kwa...
  8. S

    Kwanini watu wapole hawanaga bahati hasa kwenye mahusiano na hawadumu kwenye ndoa?

    Yaani kwa tafiti kadhaa nilizofanya na uzoefu binafsi nimeamini kweli watu wapole na watulivu hawanaga bahati kwenye mahusiano. Unaweza kuta mdada mzuri, mtulivu, hana makuu lakini aliyeolewa nae sasa pasua kichwa, vurugu, amani hakuna. Au mkaka mpole, mvumilivu anaoa kicheche, mtaa mzima...
  9. Uwesutanzania

    Nyimbo kali za vijana wa Kitanzania, vijana ambao hawajapata BAHATI ya kutoboa (underground

    Ni mimi wako UWESUTANZANIA, Leo wacha niwape Fursa vijana wenye vipaji na hawajapata mtu wa kuwashika mkono. Ndugu yangu kama wewe ni msanii chipukizi na unahangaika siku zote, una kipaji cha kuimba na hausikilizwi,. Lete nyimbo yako katika coment ambatanisha na namba yako ya simu. Au hata...
  10. UMUGHAKA

    Waafrika kujikuta tunaishi Afrika Wala si Bahati mbaya,ni sahihi kabisa na tena tushukuru

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane! Kuna wakati huwa nalaumu sana lakini kwakuwa nina IQ kubwa,nimekuja kugundua sisi waafrika kujikuta tupo kwenye hili Bara la Afrika,ni jambo ambalo inapaswa Tushukuru usiku na mchana! Bara la Afrika ni bara ambalo linaendana sawia na akili ya...
  11. dogman360

    Asilimia kubwa ya maisha yetu hapa bongo tunayaishi tukitegemea bahati tu(luck) itokee

    Maana mpaka saivi sijaona kiashiria cha uhakika kwamba .maisha yetu siyo ya kibahati bahati tu . Hamna kitu ambacho tuna uhakika nacho ( kuna vitu wanasemaga uhakika ila na vyenyewe ni bahati tu*
  12. Yoda

    Watanzania wana bidii ya maombi sana, bila dhana ya Mungu watakosa maana ya maisha kabisa

    Katika mkasa wa jengo la Kariakoo kuanguka nimewasikia watu wengi wanaotegemea watu kutolewa au ambao waliangukiwa na jengo wakiomba na kushukuru Mungu, Allah au Yesu katika mkasa huo mkasa. Kila posti niliyosoma mtandaoni, kila clip au maongezi ya kila mtu aliyefukuliwa huwezi kuyakosa haya...
  13. Stephano Mgendanyi

    Mwana FA: Serikali Itasaidia Kutafuta Wadhamini Michuano ya Bahati Ndingo CUP

    Naibu Waziri Wa Sanaa Utamaduni na Michezo Mhe. Hamisi Mwinjuma (Mwana FA) amesema serikali kupitia Wizara yao itasaidia kutafuta wadhamini kwenye michuano ya Bahati Ndingo CUP 2024, iliyoanzishwa na Mbunge wa Jimbo la Mbarali, ili kuongeza zawadi Kwa washindi kwakuwa michezo ni ajira. Mhe...
  14. GIRITA

    Msaada kuhusu kujaza fomu za Bahati Nasibu ya kwenda kuishi Marekani

    Habari wakuu. Kuna mtu kanipa maelekezo kwamba kuna ofisi inasaidia watu kujaza form na kupigwa picha kwa akijili ya Bahati nasibu ya kwenda kuishi Marekani yaani Green card au Dv lottery inayochezeshwa kila mwaka. Sasa ninaomba kufahamu vigezo na masharti pamoja na nyaraka zinazotakiwa ili...
  15. M

    Huwezi kufungwa mara 4 mfululizo kwa bahati mbaya, siku mkiukubali ubora wa yanga na kuwaheshimu mtafanikiwa kupata matokeo!

    Napenda kuwaeleza Hawa mashabiki na wanachama oya oya wa Simba pamoja na viongozi wao kwamba daraja aliloweka yanga kwa sasa na wao bado awajalifikia, bado yanga Wana ubora mkubwa ukilinganisha na Simba! Ukiangalia ubora wa mchezaji Mmoja Mmoja pamoja na uzoefu kwa vikosi vyote viwili utagundua...
  16. SAYVILLE

    Hili goli la uwanja wa taifa lina bahati mbaya?

    Hii post nimetaka kuileta muda kidogo ila naamuaga kupotezea ila leo nimelazimika kuileta. Kuna hili goli sijui ndiyo la kaskazini, kila derby at least za hivi karibuni lazima mpira ugonge mwamba na tena mpira unagonga karibu eneo lile lile. Nikikumbuka hivi karibuni: 1. Penati ya Mukwala...
  17. G

    Kapeleka mpenzi geto bahati mbaya mwanamke akafariki. Anatakiwa kufanya nini ili asifungwe?

    Kuna njemba imepata msala hapa kitaa, muda huu watu wamekusanyika baada ya njemba kutoa taarifa kwa mjumbe. Iko hivi:- Njemba kavusha demu getoni kwake mida ya saa 1.30 jioni ya leo leo. Kamtafutia misosi kagonga kama kawaida. Saa 2 na madakika wakaingia kwenye uwanja wa 6 kwa 6. Bahati mbaya...
  18. Magical power

    Daaaah, juzi nilikuwa kwenye harusi nikakanyaga waya kwa bahati mbaya Mziki ukazima

    Daaaah juzi nlikua kwenye Harusi nkakanyaga Waya kwa Bahati mbaya Mziki uka zima X wangu Aka lopoka Huyo ndio Alivyo Akiona Chakula atulii sehemu moja Mni follow basi jaman 😌
  19. nipo online

    Nini maana ya nyota? (ni sawa na bahati?)

    Kiimani ni rahisi kuelewa mtu akikuambia una Baraka, ni kwa sababu anaona mafanikio fulani yanakupata, Lakini huku uswahilini, nimesikia kuna watu wanasema "huyu jamaa Ana nyota." wengine wakisema ni mfano wa bahati,. Sio hilo tu nimesikia pia kama hufanikwi kasafishe vyota. Au Kuna watu...
  20. haszu

    Nina bahati mbaya na ma Ex, wengi wanavinyongo na hasira na mimi.

    kuna huyu dada ye mwenyewe ndo alijileta, baada ya muda kwenye mahusiano nikamwambia ukweli kwa nia njea ya kumsaidia kua mi naona yeye sio type yangu , kuliko kupoteza muda ni vema aangalie atakaeendana nae mana mi sioni future na yeye. Ningeweza kumchezea na kumpotezea muda ila nimeamua kua...
Back
Top Bottom