Huyu haji manara mdomo wake ni mchafu anajikuta ana mamlaka ya kumtusi na kumdhalilisha yeyote kama kesi ilikuwa na magereza wafungwa wamefuata nini anasahau naye kesho anaweza kuwa mfungwa.
Na hao kituo cha sheria za haki za binadamu hatusikii wakikemea kitu wafungwa wapo kutumikia makosa yao...
TAARIFA KWA UMMA
Jeshi la Polisi Mkoa wa Singida linamshikilia Askari mmoja wa Jeshi la Magereza kwa tuhuma za kusababisha kifo cha mwananchi mmoja tukio ambalo lilitokea Novemba 26,2024 majira ya saa 5:00 usiku huko katika Kitongoji cha Stendi, kata ya Mkwese Wilaya ya Manyoni Mkoa wa Singida...
"Nini kinasababisha tofauti ya maslahi kati ya Askari wa Jeshi la Polisi na Askari wa Jeshi la Magereza, mathalani Assistant Inspekta of Police anapewa basic salary shilingi laki tisa na elfu hamsini (950,000) wakati wa magereza anapewa kiasi cha shilingi laki nane na elfu hamsini na saba...
Salaam Wakuu.
Samahani, yeyote mwenye kutambua viwango vya Mishahara ya hawa jamaa hasa kwa hawa walioanza kazi Mwaka huu, naomba kujuzwa.
Najua Mshahara ni siri hivyo ni ngumu sana kupata majibu sahihi kwa watu unaoishi nao mtaani ila humu inaweza kuwa rahisi
Angalizo; Mimi si Askari na sina...
Jeshi la Magereza ni kama limesahaulika hivi au ndio mimi sijui?
Askari magereza wengi hasa wa vyeo vya chini maisha yao ni duni sana kwanzia kazini mpaka huku uraiani tunapoishi nao.
Kwanza wengi wao uniform zao ni zimechakaa na kupauka tofauti sana na majeshi mengine.
Pili makazi yao duni...
Hizi kesi tunazosomaga humu kwamba mtu mzima amebaka mtoto kumbe baadhi huwa ni za mchongo
Morogoro. Ofisa magereza katika gereza la Kingolwira mkoani Morogoro, Samwel Stanley, ambaye Agosti 22 mwaka 2022 alihukumiwa kifungo cha maisha jela kwa tuhuma ya kumbaka mtoto mwenye umri wa miaka nane...
Habari viongozi.
Samahani sana ningependa kujua kama kuna mwanajamii forums yoyote alie itwa kwenye usaili Tujuane. Na Tuulizie kwa wale wazoefu wanaojua maswali yanayo patikana kwenye Usaili ni ya aina gani?
MBINU MPYA ZA KUBORESHA MAISHA YA WAFUNGWA
UTANGULIZI Napenda kumshukuru Mungu kwa ajili ya uhai alionipa na kunijalia mawazo mazuri ya kuandika ili jamii yangu iweze kuimarika, napenda kutumia nafasi hii kuandika kwa ajili ya rafiki zangu, ndugu zangu na jamaa yangu walio nyuma ya nondo za...
Nikiwa zangu nimetulia na familia yangu chini ya mti hapa nyumbani akaja paka na mwanae wakakaa pembeni yetu kama kawaida kwa paka wanaoishi vizuri na binadamu hawaogopi hata wanaweza kukuchezea kama kuku tupia mguu hivi
Basi bhana yule paka mdogo sijui ni shetani gani alimuingia ghafla...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Lindi imeahirisha kesi ya mauaji ya mfungwa Abdallah Ngalumbale inayowakabili maafisa watatu wa Magereza Mkoani Lindi kutokana na upelelezi kutokamilika.
Watuhumiwa hao ambao ni ACP Girbert Sindani ambaye ni Mkuu wa Gereza la Liwale, Sajenti Yusuph Selemani...
Swali langu ni kuwa wahalifu wameongezeka? Yaani magereza wametanganza ajira nyingi kuliko hata tume ya ajira.. ile tume ya ajira kila kukicha wanatangaza kazi za mtendaji wa kijiji..
kuna tatizo mahala?
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
KUKAMATWA KWA MTUHUMIWA WA KOSA LA UBAKAJI NA UDHALILISHAJI
ACP Debora Magiligimba RPC Ilala
Jeshi la Polisi Mkoa wa Ilala linamshikilia Said Hassan Said, 26, Askari Magereza, Mkazi wa Ukonga kwa tuhuma za kumbaka na kumlawiti msichana mwenye umri wa miaka 29...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.