akataa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. G

    Kwa mara nyingine Trump akataa kulipwa mshahara wa Urais, Ataugawa kwa wenye uhitaji

    Ni kwa mara nyingine Trump anaukataa mshahara wa Urais, dola 400,000 kwa mwaka (shilingi bilioni 1 na milioni 40) ili usaidie wenye uhitaji na shughuli za kimaendeleo. Kama ilivyokuwa katika muhula wake wa kwanza (2916 - 2020) mshahara wake utaendelea kusaidia wahitaji kwenye idara ya afya...
  2. M

    Swali kwa Zitto: Nondo akataa kupigwa picha?

    SWALI KWA ZITO :NONDO AKATAA KUPIGWA PICHA? AU msimamo wa chama kwamba picha za majeruhi hazioneshi kwa jami? PIA SOMA - ACT waongea baada ya Nondo kupatikana, wasema alipigwa sana na alikuwa kwenye kitisho cha kifo
  3. Yoda

    Sheikh akataa kusomea dua waumini wenye sadaka kidogo!

    Huyu sheikh anasema dua inatumia nguvu kubwa hivyo inahitaji muumini wa dini kuweka pesa nzuri kupata dua nzuri
  4. Waufukweni

    Erick Kabendera akataa Uamuzi wa Mahakama, apanga kukata Rufaa dhidi ya Vodacom Tanzania

    Baada ya Mahakama Kuu Masjala ndogo Dar es Salaam kuifuta kesi ya mwanahabari Erick Kabendera, aliyokuwa ameifungulia kampuni ya huduma za mawasiliano ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania Public Limited, ameibuka na kudai kuwa amepanga kukata rufaa kwenye Mahakama ya Rufani Tanzania baada ya...
  5. K

    Benjamin Netanyahu akataa maridhiano ya kusitisha vita Lebanon

    Benjamin Netanyahu akataa maridhiano ya kusitisha vita Lebanon jana kwenye kikao cha UNGA. Adai hatokaa meza moja kuongea kuhusu amani hadi atakapoimaliza Hizbollah na kuwarudisha raia wa Galilaya katika makazi yao. Na sasa jeshi la Israel linajiandaa kuivamia Lebanon kusini kwa miguu (ground...
  6. Poppy Hatonn

    Mume akataa kutoa talaka

    Hii hadithi ni very filthy. Nimeiona YouTube sasa hivi. Apparently imetokea last week. Huyu mdada anasimulia,wamekutana na huyu jamaa tik tok,baada ya urafiki wa miezii minne wamefunga ndoa . Sasa mara akaanza kunotice majirani wananong'ona kuhusu ndoa yao. Halafu siku moja kaja jamaa...
  7. J

    Waziri Jerry Slaa: Mimi siyo Mtoto wa Maskini, baba yangu alikuwa Rubani. Nimekataa Rushwa ya Milioni 300

    Waziri wa Ardhi mh Jerry Slaa amesema kuna Wanasiasa wanaona Sifa kujiita Watoto wa Maskini Lakini yeye siyo Maskini baba yake alikuwa Rubani na hadi leo anakula hela ya Urithi. Mh Slaa ametuma salamu kwa mafisadi wote kwamba yeye hana Njaa na hapokei Rushwa kwa sababu Biblia imesema mla Rushwa...
  8. Erythrocyte

    Kocha wa Yanga akataa ushamba

    Hii hapa ndio kauli yake
  9. R

    Spika Tulia akataa Wabunge kuendelea kutoa pongezi kuokoa muda

    Akiwa bungeni katika katika Mkutano wa 13, Kiako cha 1, leo Oktoba 31, 2023 Spika tulia amesema, ili waweze kukomboa Muda bunge liwe limepokea pongezi zote kwa mujibu wa kanuni zake, na sio kila mbunge akianza kuongea aanze kwanza kutoa pongezi.
  10. BARD AI

    Gabon: Jenerali Brice Nguema akataa kulipwa Mshahara wa Urais, apunguza Posho za Wabunge

    Kiongozi huyo wa Kijeshi ametangaza rasmi kuwa hatochukua Mshahara huo kwa muda wote atakaokuwa Madarakani isipokuwa ataendelea kupokea Mshahara wa Kamanda wa Jeshi, nafasi ambayo alikuwa akiitumikia kabla ya Mapinduzi yaliyomuondoa Ali Bongo. Msemaji wa Serikali amesema Jenerali Nguema...
  11. Teko Modise

    Juma Nature akataa kushiriki Wasafi Festival kisa malipo kidogo ya laki tano

    Awali iltangazwa kuwa Juma Nature Kiroboto a.k.a Kibra atakuwepo pale Nangwanda Sijaona kwa ajili ya show ya Wasafi Festival iliyofanyika tarehe 2 mwezi huu. Sasa show ikafanyika Nature hajaonekana. Shabiki mmoja huko Insta akaona amuulize swali Nature mbina ulitangazwa utakuwepo Nangwanda...
  12. benzemah

    Raila Odinga: Rais Samia alikuja Kenya kutusuluhisha mgogoro lakini Rais Ruto akaingia mitini

    Akizungumza na waandishi wa habari jijini Nairobi nchini Kenya, Waziri Mkuu wa Zamani wa Nchi hiyo na Kiongozi wa Upinzani, Raila Odinga amesema jitihada za kutafuta suluhu ya mgogoro unaoendelea kulitafuna taifa zilifanywa sio tu na jamii wa Wakenya peke yao bali hata Matifa jirani ambapo...
  13. BARD AI

    Ruto akataa nyongeza ya Mshahara wake, Naibu Rais, Mawaziri na Wabunge

    Uamuzi huo unafuatia pendekezo lililowasilishwa na Tume ya Mishahara na Marupurupu (SRC) iliyotaka kuongeza Mishahara kwa Maafisa wakuu Serikalini kuanzia Mwezi Julai 2023. Ruto amesema suala hilo haliwezi kutekelezwa wakati kuna pengo kubwa kati ya Wanaolipwa kiasi kidogo na wenye mapato ya...
  14. R

    SoC03 Upigaji mkubwa fedha za Serikali RC Songwe akataa matumizi ya mil 411 ujenzi wa soko la wamachinga

    UPIGAJI MKUBWA FEDHA za SERIKALI RC SONGWE AKATAA MATUMIZI ya MIL 411 UJENZI wa SOKO la WAMACHINGA Nadhani ifike wakati Watanzania kwa pamoja kuamka na kuanza kupinga vitu kama hivi, ikiwezekana kwa maandamano. Kuonyesha hisia kwa pamoja kwa walio madarakani kuwa kodi zetu tunazochanga sio pesa...
  15. S

    Mchezaji Akataa Milioni 100 za Azam ataka Milioni 250 kumvua gwanda

    Note 📝 NAHODHA wa JKT Tanzania, Edward Songo amesema uwepo wachezaji wa kigeni Championship, umeisaidia kuipa thamani kubwa ligi hiyo na inakuwa rahisi kwao kuonekana na timu za Ligi Kuu. Akijitolea mfano baada ya kufanya vizuri msimu uliopita ambapo alikuwa kinara wa mabao 16 na sasa ana 11...
  16. BARD AI

    Spika wa Bunge la Marekani akataa mwaliko wa Zelensky kutembelea Ukraine

    SPIKA wa Bunge la Marekani, Kevin McCarthy amekataa mwaliko wa Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelenskiy wa kuzuru taifa hilo, CNN imeripoti. Licha ya changamoto za kivita wanazokutana nazo Ukraine kutoka kwa Mrusi, ambazo kimsingi McCarthy alitakiwa kwenda kuziona, kiongozi huyo amesema hana haja...
  17. M

    Chato: Mkuu wa Wilaya akataa kuishi kwenye Nyumba ya Serikali akidai haina uzio. Anaishi hotel ya Burigi. Haya mambo hapo nyuma yalisahaulika

    Nyumba hii imekuwa ikitumiwa na wakuu wa wilaya wote waliopita. Inashangaza Deudedith Katwale baada ya kuteuliwa ameikataa. Sasa serikali inalipa pesa nyingi kila Mwezi. Kama ni ishu ya seng'enge bora aweke ahamie huko. N:B nimepigiwa simu na mtu anaeishi Chato.
  18. BARD AI

    Rais Ramaphosa akataa Rapa AKA kufanyiwa mazishi ya Kitaifa

    Vyombo vya Habari vya #AfrikaKusini, vimeripoti kuwa Gavana wa Serikali ya #Gauteng, Panyaza Lesufi, alimwandikia Rais #Ramaphosa ombi la Msanii huyo kuzikwa kama Mtu mwenye mchango mkubwa kwa jamii na hivyo apewe heshima ya Kitaifa. Gavana Panyaza hakuomba fedha za Serikali zitumike kwa ajili...
Back
Top Bottom