Watu saba wamefariki dunia na wengine 15 kujeruhiwa katika ajali ya gari la kubeba wagonjwa (ambulance) kugongana na toyo katika eneo la Luganga, lililopo katika Halmashauri ya Mji Mafinga, Wilaya ya Mufindi, mkoani Iringa.
Akizungumza baada ya kutembelea majeruhi wa ajali hiyo leo Jumamosi...
Wakati aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme (Tanesco), Gisima Nyamo-Hanga akizikwa nyumbani kwao katika eneo la Migungani mjini Bunda mkoani Mara kufuatia ajali iliyoondoa uhai wake na dereva wake Muhajiri Haule, maswali bado yanagonga vichwa kuhusu ajali hiyo.
Miongoni mwa maswali...
Amepata ajali maeneo ya mbezi kibanda Cha mkaa jana asubuhi tarehe 15/4 2025.
Mwili uko hospitali ya taifa Muhimbili -Mloganzila, kwa anaweza kumfahamu au ndugu zake.
Tanzania lazima tujenge utamaduni wa kuhoji, sio kukubali kila tunachoambiwa, na Polisi au hata na serikali. Niliposikia juu ya hii ajali kwanza nilihoji ikiwa ajali ilitokea saa nane usiku na Mkurugenzi na dereva wote wamekufa, Polisi walijuaje dereva alikuwa anamkwepa mtu wa baiskeli?
Sasa...
Ajali ilitokea usiku wa manane, dereva na abiria wakafa hapohapo. Tunaambiwa dereva alikuwa anamkwepa mwendesha baiskeli.
Je nani alimuona huyo mwendesha baiskeli? Huyo aliyemuona alikuwa wapi?
Soma Pia: Mkurugenzi Mtendaji wa Tanesco, Gissima Nyamo-Hanga na dereva wake wafariki dunia
Je...
Ndugu zangu Watanzania,
Kuna watu walikuwa wanauliza sana juu ya dereva aliyefariki katika ajali ambayo imechukua Maisha ya Mkurugenzi Mkuu wa TANESCO.
Soma Pia: Mkurugenzi Mtendaji wa Tanesco, Gissima Nyamo-Hanga na dereva wake wafariki dunia
Wengine wakaenda mbali zaidi kwa kusema kuwa...
Waafrika hasa watanzania hawatii wala kuzingatia sheria za barabarani halafu wakishapata ajali au ajali ikishatokea wanaanza kupayuka na kutoa maoni kama wehu, Mungu tunusuru! Allah tuokoe! Yesu tusaidie!
Wakati Dereva anakanyaga mafuta kisawasawa, speed kibati, mwendo wa ngiri mkia juu, kasi...
Siku zote nimesema Polisi wa Tanzania mara nyingi sana wanatoa statement za uongo na za kutunga wao wenyewe kutokana na matakwa yao, ambayo yanaweza kuwa ni ya kisiasa pia. Hii inafanya wasiaminike kabisa kwa lolote wanalowaeleza wananchi, kwa mfano kunapokuwa na taarifa za mauaji ya polisi...
Helikopta Yateremka Kwa Ajali Ya Kushangaza
Chini ya siku chache zilizopita, Idara ya Uchunguzi wa Ajali na Matukio ya Afrika Kusini ilitoa ripoti kuhusu tukio la ajabu.
Safari ya kawaida ya uchunguzi wa angani iligeuka na kuwa ajali ya kutisha baada ya pengwini, ndio, pengwini wa kweli...
Katika kipindi cha miaka michache iliyopita, tumeshuhudia ajali nyingi na kubwa nchini ambazo zimeleta madhara makubwa, ikiwemo mauaji na watu wengi kupata vilema vya kudumu.
Hali hii ni ya kutisha na inahitaji hatua thabiti kuchukuliwa ili kuokoa maisha na kuhakikisha usalama wa raia.
Kwa...
Watu saba wamefariki dunia na wengine 75 wamejeruhiwa katika ajali mbili tofauti zilizotokea wilayani Same. Ajali ya kwanza ilitokea majira ya saa saba usiku wa kuamkia leo katika maeneo ya Njoro na kuhusisha basi la Kampuni ya Osaka lililokuwa likielekea Dar es Salaam, ambapo ilisababisha kifo...
Tazama jinsi lori la mafuta lilivyopata ajali Igunga mkoani Tabora kisha bila woga wananchi wakaanza kuchota mafuta. Na miongoni mwao yupo trafiki naye akichota mafuta kwenye gari lililopata ajali
TAARIFA KWA UMMA
Tarehe 28/03/2025 majira ya saa 7:45 mchana, karibu na daraja la Tanzanite, wilaya ya Ilala, Dar es Salaam, imetokea ajali iliyohusisha magari matatu kugongana na kusababisha majeruhi wawili na uharibifu wa magari.
Ajali hiyo imetokea baada ya dereva wa gari lenye usajili namba...
Kama Una mpango wa kutumia Morogoro Road kwenda Chalinze na kuendelea ama Tanga Moshi na kuendelea tafadhali tumia Bagamoyo road maana Morogoro road imefungwa.. Magari yamejaa barabara zote mbili.. Old Morogoro rd na New Morogoro rd..
Ilikuwa ni ajali ya alfajiri pale maeneo ya Kongowe pale Howo...
Ajali inapotokea huwa inasikitisha sana na kuumiza sana!
Lakini upande wa pili huwa inafungua ukurasa mpya wa kujadili!
Mungu aliumba mitume na manabii ili kuzisaidia mamlaka za utawala katika kutekeleza sheria!
Miongoni mwa manabii walioitwa na mungu ni pamoja na
1. Baadhi ya watumishi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.