My friends, ladies and gentlemen!
Rushwa inatembezwa kwa wajumbe wa mkutano mkuu wa Chadema Taifa kama njugu, bila aibu au kificho.
Hakuna upande unaogombea uongozi, wa kukemea upande mwingine, kwasababu wote wanashiriki kwenye uovu huo unao chafua haiba ya chama chao na uelekeo wa misingi...
Mashindano madogo ya Shirikisho ambayo CAF ilitaka kuyafuta Kwa kutoona tija Yake, Leo mtani ndo anatamba nayo
Mashindano ambayo mwaka huu alishiriki Coast union, Leo mtani ndo anatamba nayo
Hii hatua ya robo Namungo na Biashara united zilifika, Leo mtani ndo anatamba nayo
Haya mashindano...
Katoa tuhuma za pesa za join the chain kwamba zilichangwa kwa ajili ya uasi.
Kaulizwa, iwaje pesa zilizoingia kwenye fuko la Chama rasmi zitumiwe na waasi?
Kaulizwa, kwa nini aulizwe Lema kuhusu hizo pesa ilhali mwenye maamuzi ya pesa ni SG wa Chama Mnyika?
Kaishia kujibu hata yeye haelewi.
Nashangaa naona ni siku Moja tu imepita tangu movie itoke lakini naona kimya kabisaaaa. Hata wale haters wa Mama yetu ambao mara tu baada ya bi mdada kutangaza kutoka kwa movie yake walikimbilia mitandaoni fasta ambako walianza kushusha mamia ya viapo kwamba movie ni true kabisa. Aidha, haters...
Waziri Simbachawene unapaswa uone aibu, unatangaza nafasi 14,000 tu za Walimu wakati waombaji wapo Walimu 200,000? Huoni haya, hawa 186,000 wataenda wapi? YAANI MNACHUKUA ASILIMIA 7 TU YA WALIOOMBA? Wengine wataenda wapi?
Hii kada mwajiri mkubwa ni Serikali, pamoja na wizara ya afya, hao...
Mbowe kasema uchaguzi utakuwa live TV zote za duniani zinazotaka kuja zitaingia ukumbi wa uchaguzi
1. Wajumbe kuhakikiwa live
2. Kura kupigwa live
3. Matokeo kuhesabiwa live
4. Mshindi kutangazwa live
5. Mshindi kuhutubia live
6. Mshindwa kuhutubia live
Haya yote watashudia wanachama wa chadema...
kwa yanayoendelea sasa ndani ya chadema kuna ombwe la uongozi na kutokuwepo kwa nidhamu, ustahimilivu na kuheshimiana. uchaguzi wa kidemokrasia huwa una sura ya ustaarabu. vyama vidogo visivyokuwa na succession plan ndiyo tatizo lake. Chama kilichotegemewa na wananchi kinaporomoka kama uyoga
Wala nisiseme mengi bali msikilizeni Mbunge wa Kawe na mjumbe wa NEC ya CCM anavyo wapiga fix wakazi wa Kawe na Watanzania akiwa mbele ya viongozi wenzake wa CCM.
Uongo hadi Shetani anashika mdomo kwa mshangao!
Kabla ya yote, Maisha ni Mahusiano
Dar es Salaam kama yalivyo majiji mengi kuna idadi kubwa ya watu.
Na sehemu kubwa ya hao watu ni vijana.
Kila mwaka kuna idadi kubwa ya vijana wa kike na kiume wanaingia jijini, iwe kutafuta elimu, kutafuta kazi, na hata kutembelea ndugu. Na wengi hapo...
Leo Usiku nilipata Dharura ya Kuuguliwa na Mke wangu majira ya saa 6 usiku ikabidi nimkimbize hospitali ya Nunge kisha hapo Tukapewa Rufaa kuelekea Hospitali Ya Mkoa wa Morogoro
Baada ya Kuwepo kwa nusu saa kwenye Jengo la mapokezi na Dharura ambalo ni jipya na zuri umeme ukakatika, basi ndugu...
Mbowe anazungumzia maridhiano na CCM na Samia, ila kwa hali ilivyo sasa, hiyo nguvu ya kuridhiana na CCM aitumie kuridhiana na Tundu Lissu, tena afanya hivyo walau wiki mbili kabla ya uchaguzi, na baada ya hayo maridhiano, atangaze kujitoa kugombea na kumuunga mkono Tundu Lissu.
Hiyo kwangu ndo...
Jamii nyingi hazina hii pressure, mnakutana kiukoo kwenye misiba na sherehe, Imeisha hio!!
Kwa upande mwengine sana kuna haka kautamaduni mnakutana wiki hadi mwezi kwa dhumuni la kujuliana hali, kutambulisha wanafamilia wapya, n.k. Na ole wako ukose sasa kwenda kijijini, kelele zinaanza...
Kuna watu ni kama wamelaaniwa ikiwemo huyu rafiki yangu
Tafsiri ya maendeleo Kwa MTU mweusi itakuwa Ina maana tofauti.
Juzi nilimsindikiza jamaa yangu Kwa wazazi wake aisee ni pachafu Sana. mama yake anaishi Kama mnyama.
Nyumba hovyo, choo cha makuti hamna maji, mama yake around 70 yrs...
IPP Media mnaomiliki ITV, EATV, CAPITAL TV na Radio One tupeni Camera mnazotumia kushoot vipindi zimepitwa na wakati, nunueni Camera za 4K -6K, ubora wa vipindi vyenu unatia aibu
Mmechelewa kwenda na wakati, mbona hamtaki kubadilika? Kama ni fedha za kununua Camera hazipo hata kukopa Bank...
Wanabodi heshima mbele.
Kuanzia tarehe 15/12/2024 mpka tarehe 20/12/2024.Kulikuwa na MASHINDANO ya michezo ya VYUO VIKUU VYA AFRIKA MASHARIKI (13Th Eastern African Universities sport) yaliyo fanyika katika chuo kikuu cha MASENO nchini Kenya.
Nchi zilizo shiriki ni pamoja na Tanzania,Uganda...
Kibaya zaidi ndio vijana anaowaamini mwenyekiti, hivi Mbowe huyu Ntobi huoni kama anakuharibia hata hizo sifa chache ulizobakiza?
Sasa hivi chama kina watu walioamua kufanya “upinzani” bargaining chip
Tukapigania chama kwa juhudi kubwa . Tukapigwa , tukaumizwa , wenzetu wakafungwa wengine...
Leo tumeshihudia Mzee Mbowe akiwahda watanzania kwa kuandaa vijana ili aonekana bado anapendwa ndani ya chama.
Watanzania wenzangu tunalo jambo kubwa sana la kujifunza kwa huyu mzee kuwa ni hatari sana kumpa madara mwananchi mwenye elimu duni kama mzee Mbowe ni lazima atangangania madara tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.