afisa mtendaji mkuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BigTall

    Rais Samia akutana na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB Tanzania, Ikulu - Dar

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB Tanzania, Bi. Ruth Zaipuna Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 13 Januari, 2025. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na...
  2. Roving Journalist

    Waziri Jerry Silaa amteua Mhandisi Mwasalyanda kuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF)

    TAARIFA KWA UMMA Kwa mujibu na mamlaka aliyopewa Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mheshimiwa Jerry William Silaa (Mb) chini ya Kifungu cha 9 (1) cha Sheria ya Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) ya Mwaka 2009 amemteua Mhandisi Peter Phillip Mwasalyanda kuwa Afisa...
  3. Pfizer

    Waziri Ridhiwani Kikwete afanya mazungumzo mafupi na Afisa Mtendaji Mkuu wa Chama Cha Waajiri Tanzania (ATE) Bi. Ndomba Doran

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu-Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Ridhiwani Kikwete (Mb) amekutana na kufanya mazungumzo mafupi na Afisa Mtendaji Mkuu wa Chama Cha Waajiri Tanzania (ATE) Bi. Ndomba Doran aliyeongozana na Meneja wa Kanda ya Kati wa ATE, Bw. Leonard Mapha...
  4. mwanamwana

    Peter Situmbeko ateuliwa kuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Soko la Hisa la Dar es Salaam

    Bodi ya Wakurugenzi ya Soko la Hisa la Dar es Salaam limepitisha uteuzi wa Peter Situmbeko Nalitolela kuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Soko la Hisa la Dar es Salaam. Uteuzi wa Bw. Peter Situmbeko Nalitolela kama Afisa Mtendaji Mkuu wa Soko la Hisa la Dar es Salaam PLC Hii ni kuwajulisha umma...
  5. JanguKamaJangu

    Afisa Mtendaji Mkuu wa Manchester United, Richard Arnold anaachia nafasi yake

    Afisa Mtendaji Mkuu wa Manchester United, Richard Arnold amejiuzulu nafasi hiyo na kuhitimisha miaka 16 ya Utumishi wake klabuni hapo. Arnold alichukua nafasi hiyo kutoka Ed Woodward mnamo Februari 2022. Kuondoka kwa Arnold kunaashiria ujio wa Mmiliki mwenza mpya wa Mashetani hao Wekundu, Sir...
  6. P

    Senzo aomba kutokuongezewa mkataba wake na Yanga, Akubaliwa ombi lake

    Afisa Mtendaji Mkuu wa Yanga, Bw Senzo Mazingiza ameomba kutokuongezewa mkataba wake na Yanga kwa sababu za kifamilia Kutokana na ombi hilo kamati ya utendaji ya Yanga ilikutana leo katika Hotel ya Serena na kukubali ombi hilo la Bw Senzo Mkataba wa Senzo na Yanga unamalizika tarehe 31/07/2022...
  7. Analogia Malenga

    Afisa Mtendaji wa mtaa wa Mbezi Msumi ashambuliwa hadi kufa ofisini kwake

    MAUAJI ya kutisha yametokea eneo la Mbezi Msumi mkoani Dar es Salaam baada ya watu wasiofahamika kudaiwa kuvamia ofisi za Serikali ya Mtaa wa eneo hilo na kisha kumuua Ofisa Mtendaji kwa kumkata na panga. Tukio hilo la mauaji limetokea leo Oktoba 11, 2021 kati ya saa sita hadi saa saba mchana...
  8. U

    Rais Samia afanya mazungumzo na Afisa Mtendaji Mkuu wa kampuni ya mafuta ya Shell

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassani leo Septembea 04,2021 amefanya mazungumzo kwa nija ya Mtandao na Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Kimataifa ya Mafuta ya Royal Dutch Shell PLC) Bwana Ben Van Beurden Viva Mama Samia Viva CCM Kazi Iendelee ===
  9. Analogia Malenga

    TANZIA Afisa Mtendaji Mkuu Wa PPRA afariki dunia

    Mhandisi Leornard S. Kapongo aliyekuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Kudhibiti Ugavi wa Umma(PPRA) amefariki dunia Alikuwa anapatiwa matibabu katika hospitali ya Agha Khan, amefariki Julai 17 jioni
Back
Top Bottom