Search results

  1. TaiPei

    Ni nani kati ya hawa 10 kutoka Upinzani anaweza kutoshana nguvu na Mgombea wa CCM Rais Samia?

    JF, amani iwe nanyi. Wakati chama Cha Mapinduzi CCM kikiendelea kujigamba kuwa na mgombea bora zaidi tangu kuanzishwa kwa vyama vingi mwaka 1992 au hata tangu Uhuru wa Taifa hili mwaka 1961 ambae ni Dkt Samia Suluhu Hassan. Kwanini Dkt Samia Suluhu Hassan ni mgombea bora? Ukweli ni...
  2. TaiPei

    Kafulila: Utulivu wa kisiasa wa Rais Samia umekuza Uwekezaji mauzo ya nje yameongezeka kutoka $8.8bl mpaka $13.9bl sawa na TZS 35Trilion

    Mkurugenzi wa Ubia nchi PPP Mhe David Kafulila ameueleza umma wa Watanzania kuwa Wawekezaji hawawezi kuwekeza kwenye nchi ambayo haina Utulivu wa Kisiasa, Aidha Mhe Kafulila amesema ,Nchi ambayo watu wana-tension, Watu wanatafutana haiwezi kupata wawekezaji serious na haya ni matokeo ya...
  3. TaiPei

    Kafulila: Kuna Uhusiano wa Moja kwa Moja kati ya Umasikini wa huduma na Umasikini wa kipato hii ni moja ya sababu za Pato la Kila Mtanzania kuongezeka

    ===== Kamishina Mkuu wa Ubia katika Serikali na Sekta Binafsi nchini ( PPP) Mhe David Zachari Kafulila amefafanua haya alipokuwa akihojiwa na Televisheni ya Globali, Mhe David Zacharia Kafulila amesema katika dhana pana ya Uchumi kuna uhusiano wa Moja kwa Moja kati ya Umasikini wa huduma na...
  4. TaiPei

    31 Dec 2022 baada ya Mwamposa kuvunja rekodi zote pale kwa Mkapa mara hii ni Tanganyika Packers Kawe Jijini Dar es Salaam Dec 31, Je Patatosha?

    Rekodi nyingine, Tanzania. Mtumishi wa Mungu Apostle Boniface Mwamposa Kwa neema aliyopewa na Mungu atafanya mkesha mkubwa wa crossover night yaani Vuka na Kila kitu chako Chako kuelekea 2025. Nimkesha ambao Kila atakayehudhuria na kuamini basi atavuka na Kila kitu chake kuelekea mwaka Mpya...
  5. TaiPei

    Rais Samia amteue Shaka kuwa mkuu wa Mkoa wa Shinyanga atakuja kunishukuru baada ya Uchaguzi Mkuu wa Serikali za mitaa Oct 2024

    DC Shaka Hamdu Shaka akitatua Mgogoro Kati ya Wafugaji na Wakulima huko huko Porini, === Kuelekea Uchaguzi Mkuu huru wa Serikali za Mitaa & Vijijini wa 2024 tunahitaji kuwa na DCs & RCs vibrant na waliosheheni Ushawishi hasa wa kisiasa ( Political influence ) Tunahitaji Wakuu wa Wilaya na...
  6. TaiPei

    Apostle Dkt. Boniface Mwamposa avunja rekodi zote Uwanja wa Mkapa, asema kwa Mungu hakuna mashindano

    Mtume wa madhabahu ya "INUKA UANGAZE -ARISE & SHINE " Dkt Boniface Mwamposa ( Bulldozer ) tarehe 16 desemba 2022 alifanya kongamamo kubwa la "VUKA KABLA YA KUVUKA " katika Uwanja wetu wa Taifa almaarufu kwa Mkapa Stadium. Takwimu zisizo rasmi zenye kuaminika zinaonesha Wafuasi wa Mungu wa...
  7. TaiPei

    MAONO: Baada ya Dkt. Samia Suluhu Hassan ni Dkt. Tulia Ackson. Mbingu zimeridhia na dunia itapokea

    Pokeeni Maono yangu haya na wekeni kumbukumbu sahihi, <<<<<< Tumsikilize kidogo Rais ajae >>>>>> Huyu ndiye Rais wa awamu ya saba 2030-2040 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mungu amsimamie na ampe afya njema Kwanini ni yeye aliyemchagua. Nafahamu wanadamu nikiwemo Mimi nilitamani watu...
  8. TaiPei

    Rais Samia karibu Mbeya karibu sana Mbarali uone uchapakazi uliotukuka wa Viongozi wetu wa Wilaya

    Mama nakusalimu kwa jina la JMT, Mimi ni muumini sana "Satstification & appreciation" Nafahamu kwa kutumia vyombo vyako unafahamu taarifa zote za uchapakazi na Uhodari wa DED wetu, DC na DAS wetu, DSO wetu katika Wilaya hii, Majuzi wakati unawaapisha wakuu wapya wa mikoa ulimmwagia sifa...
Back
Top Bottom