TaiPei
JF-Expert Member
- Aug 4, 2022
- 436
- 416
Rekodi nyingine, Tanzania.
Mtumishi wa Mungu Apostle Boniface Mwamposa Kwa neema aliyopewa na Mungu atafanya mkesha mkubwa wa crossover night yaani Vuka na Kila kitu chako Chako kuelekea 2025.
Nimkesha ambao Kila atakayehudhuria na kuamini basi atavuka na Kila kitu chake kuelekea mwaka Mpya wa 2024 na baadae 2025.
Marazote tumekuwa tukivúka mwaka wenyewe bila vitu vyetu huku shetani akibaki ameshikilia hatma zetu na mafanikio yetu,
Marazote baada ya kumaliza mwaka na kuuanza mwingine tunaanza kulalamika kuwa "Huu mwaka ni mwaka mbaya " kumbe umevuka mwenyewe huku vyote vikibaki nyuma.
Sasa mtumishi wa Mungu Boniface Mwamposa anasema 2024 tutavuka na Kila kitu chetu,
1. Tutavuka na imani yetu yote kwa Mungu na kwa Yesu kristo aliyemtuma.
2. Tutavuka na hatma zote za watoto wetu ikiwemo Masomo.
3. Tutavuka na Mashamba yetu
4. Tutavuka na Afya zetu zikiwa kamili.
5. Tutavuka na utajiri wetu wote
6. Tutavuka na Mifugo yetu yote
7. Tutavuka na wajakazi wetu
8. Tutavuka na teuzi zetu Kwenye Siasa.
9. Tutavuka na vibali vyetu
10. Tutavuka na furaha yetu
11. Tutavuka bila madeni
12. Tutavuka na wake au waume zetu.
=> Nihakika, Tutavuka na Kila kitu chetu mpaka 2025.
=> It's cross over night ever happened in Tanzania.
=> Ukikosa utakosa mengi kwaajili ya hatma yako na hatma ya familia yako.
View: https://www.instagram.com/reel/C1WRNOdNoM8/?igsh=MTc4MmM1YmI2Ng==
NB, ACHA KUJICHELEWESHA POPOTE ULIPO HAKIKISHA UNAFIKA KAWE KWAAJILI YAKO WEWE NA FAIDA YA WEWE MWENYEWE MWAKA 2024.