Ni nani kati ya hawa 10 kutoka Upinzani anaweza kutoshana nguvu na Mgombea wa CCM Rais Samia?

TaiPei

JF-Expert Member
Aug 4, 2022
423
404
JF, amani iwe nanyi.

Wakati chama Cha Mapinduzi CCM kikiendelea kujigamba kuwa na mgombea bora zaidi tangu kuanzishwa kwa vyama vingi mwaka 1992 au hata tangu Uhuru wa Taifa hili mwaka 1961 ambae ni Dkt Samia Suluhu Hassan.

Kwanini Dkt Samia Suluhu Hassan ni mgombea bora?

Ukweli ni kwamba Tanzania hatujawahi kuwa na mgombea wa Urais Mwanamke serious ila Sasa 2025.

Wanawake wa Tanzania kwa mara ya kwanza watapata fursa ya kumchagua mwanamke mwenzao.

Tukumbuke 75% ya wapiga kura wote wanaofika kwenye kituo cha kupigia kura na wanaopiga kura ni wanawake.

Tayari Chama Cha Mapinduzi CCM kikanuni kimeshamaliza Uchaguzi wake wa ndani ya Chama sasa wanajipanga kwaajili ya Oct 2030.

Tunafahamu, Chama Cha Mapinduzi CCM kinautamaduni wa kila Rais kuhudumu kwa vipindi viwili vya miaka 5 Kila kimoja.

Hivyo mwaka 2025 ndani ya CCM kutakuwa na form moja tu ya mgombea Urais ambae ni Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan.

Nakwakuwa nchi hii ni nchi ya vyama vingi vya Siasa.

Leo naweka majina ya Wanachama 10 toka Upinzani ( CHADEMA ).

Hawa ndio wanaotajwa tajwa wanayo misuli ya kutoshana nguvu na Mgombea wa Chama tawala Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan.

=====

#01. Mhe Catherine Nyakao Ruge
IMG-20240428-WA0049.jpg

#02 Mhe John Wegesa Heche
IMG-20240427-WA0071.jpg

#03 Mhe Tundu Antipus Lisssu
IMG-20240427-WA0053(1).jpg

#04 Mhe Freeman Aikael Mbowe
IMG-20240427-WA0075.jpg

#05 Mhe Rev. Peter Msigwa
IMG-20240427-WA0046(1).jpg

#06 Mhe John John Mnyika
IMG-20240427-WA0045(1).jpg

#07 Mhe Zitto Zuberi Kabwe ( cross Party )
IMG-20240427-WA0051.jpg

#08 Mhe Joseph Mbilinyi ( Sugu )
IMG-20240427-WA0077.jpg

#09 Mhe Halima James Mdee
IMG-20240427-WA0074.jpg

#10 Mhe Luhaga Mpina ( cross Party )

IMG-20240427-WA0054(1).jpg
 
Wote wachumia tumbo hao, hakuna hata mmoja mwenye ubavu wa kumsogelea, achilia mbali kumshinda raisi Samia kwa kura.

Labda kama unazungumzia kumshinda kwa kula sawa, lakini sio kwa kura (vote)
 
Tukiacha wizi wa kura wa ccm Yani uchaguzi uwe Haki aslimia 100 kabisa huyu mama ni mwepesi sana hata sio level za kina lisu kabisa, jamani huku mtaani ukiachana na uchawa watu hawana hamu nae hata kidogo
Nakubali kabisa. Kama wanawake wanamchukia kweli kweli. Mpaka kuna watu wameamini ile msemo kuwa wanawake hawapendani wakati ni uwezo wake mdogo.
 
Tukiacha wizi wa kura wa ccm Yani uchaguzi uwe Haki aslimia 100 kabisa huyu mama ni mwepesi sana hata sio level za kina lisu kabisa, jamani huku mtaani ukiachana na uchawa watu hawana hamu nae hata kidogo
Huko kwenu ni wapi?
 
JF, amani iwe nanyi.

Wakati chama Cha Mapinduzi CCM kikiendelea kujigamba kuwa na mgombea bora zaidi tangu kuanzishwa kwa vyama vingi mwaka 1992 au hata tangu Uhuru wa Taifa hili mwaka 1961 ambae ni Dkt Samia Suluhu Hassan.

Kwanini Dkt Samia Suluhu Hassan ni mgombea bora?

Ukweli ni kwamba Tanzania hatujawahi kuwa na mgombea wa Urais Mwanamke serious ila Sasa 2025.

Wanawake wa Tanzania kwa mara ya kwanza watapata fursa ya kumchagua mwanamke mwenzao.

Tukumbuke 75% ya wapiga kura wote wanaofika kwenye kituo cha kupigia kura na wanaopiga kura ni wanawake.

Tayari Chama Cha Mapinduzi CCM kikanuni kimeshamaliza Uchaguzi wake wa ndani ya Chama sasa wanajipanga kwaajili ya Oct 2030.

Tunafahamu, Chama Cha Mapinduzi CCM kinautamaduni wa kila Rais kuhudumu kwa vipindi viwili vya miaka 5 Kila kimoja.

Hivyo mwaka 2025 ndani ya CCM kutakuwa na form moja tu ya mgombea Urais ambae ni Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan.

Nakwakuwa nchi hii ni nchi ya vyama vingi vya Siasa.

Leo naweka majina ya Wanachama 10 toka Upinzani ( CHADEMA ).

Hawa ndio wanaotajwa tajwa wanayo misuli ya kutoshana nguvu na Mgombea wa Chama tawala Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan.

=====

#01. Mhe Catherine Nyakao Ruge
View attachment 2975966

#02 Mhe John Wegesa Heche View attachment 2975967

#03 Mhe Tundu Antipus Lisssu
View attachment 2975968

#04 Mhe Freeman Aikael Mbowe
View attachment 2975970

#05 Mhe Rev. Peter Msigwa
View attachment 2975972

#06 Mhe John John Mnyika
View attachment 2975974

#07 Mhe Zitto Zuberi Kabwe ( cross Party )
View attachment 2975975

#08 Mhe Joseph Mbilinyi ( Sugu )
View attachment 2975976

#09 Mhe Halima James Mdee
View attachment 2975977

#10 Mhe Luhaga Mpina ( cross Party )

View attachment 2975981
Mzee Mboe huenda ataongeza kura zake laki nane alizopata wakati uleeeee 🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️
 
CCM haitegemei kupigiwa kura na mtu yoyote yule hapa Tanzania kwenye uchaguzi wa siasa ili kuweza Kuwa Washindi wa Uchaguzi.

Anyway, nchi ya Tanzania Ina hazina kubwa kabisa ya 'Mazumbukuku.'
 
JF, amani iwe nanyi.

Wakati chama Cha Mapinduzi CCM kikiendelea kujigamba kuwa na mgombea bora zaidi tangu kuanzishwa kwa vyama vingi mwaka 1992 au hata tangu Uhuru wa Taifa hili mwaka 1961 ambae ni Dkt Samia Suluhu Hassan.

Kwanini Dkt Samia Suluhu Hassan ni mgombea bora?

Ukweli ni kwamba Tanzania hatujawahi kuwa na mgombea wa Urais Mwanamke serious ila Sasa 2025.

Wanawake wa Tanzania kwa mara ya kwanza watapata fursa ya kumchagua mwanamke mwenzao.

Tukumbuke 75% ya wapiga kura wote wanaofika kwenye kituo cha kupigia kura na wanaopiga kura ni wanawake.

Tayari Chama Cha Mapinduzi CCM kikanuni kimeshamaliza Uchaguzi wake wa ndani ya Chama sasa wanajipanga kwaajili ya Oct 2030.

Tunafahamu, Chama Cha Mapinduzi CCM kinautamaduni wa kila Rais kuhudumu kwa vipindi viwili vya miaka 5 Kila kimoja.

Hivyo mwaka 2025 ndani ya CCM kutakuwa na form moja tu ya mgombea Urais ambae ni Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan.

Nakwakuwa nchi hii ni nchi ya vyama vingi vya Siasa.

Leo naweka majina ya Wanachama 10 toka Upinzani ( CHADEMA ).

Hawa ndio wanaotajwa tajwa wanayo misuli ya kutoshana nguvu na Mgombea wa Chama tawala Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan.

=====

#01. Mhe Catherine Nyakao Ruge
View attachment 2975966

#02 Mhe John Wegesa Heche View attachment 2975967

#03 Mhe Tundu Antipus Lisssu
View attachment 2975968

#04 Mhe Freeman Aikael Mbowe
View attachment 2975970

#05 Mhe Rev. Peter Msigwa
View attachment 2975972

#06 Mhe John John Mnyika
View attachment 2975974

#07 Mhe Zitto Zuberi Kabwe ( cross Party )
View attachment 2975975

#08 Mhe Joseph Mbilinyi ( Sugu )
View attachment 2975976

#09 Mhe Halima James Mdee
View attachment 2975977

#10 Mhe Luhaga Mpina ( cross Party )

View attachment 2975981
Kwa bahati mbaya kabisa wanawake kwa wanawake ndio kundi linaloongoza kwa kuchukiana na kubaguana

hivyo kufikiri kuwa mgombea wa ccm ni mwanamke ndio kiwe kigezo cha kutapa kura nyingi ukonikuji danganya

Tena nimatumizi mabovu ya akili
 
Heche ni chombo
Chadema yote hamna mgombea wa maana Sababu wote wanapinga muungano uliopo Halafu wanataka kugombea uraisi wa muungano ni kituko.Hapo ndipo Mimi huwapenda wazanzibari .Wapinga muungano wakubwa hugombea uraisi wa Zanzibar tu hawakubali hata kuwa mgombea mwenza wa mgombea uraisi wa muungano.Wasiojielewa kama Duni Haji ndio hukubali kuwa wagombea wenza uchaguzi wa raisi wa muungano.
 
Back
Top Bottom