TaiPei
JF-Expert Member
- Aug 4, 2022
- 423
- 404
JF, amani iwe nanyi.
Wakati chama Cha Mapinduzi CCM kikiendelea kujigamba kuwa na mgombea bora zaidi tangu kuanzishwa kwa vyama vingi mwaka 1992 au hata tangu Uhuru wa Taifa hili mwaka 1961 ambae ni Dkt Samia Suluhu Hassan.
Kwanini Dkt Samia Suluhu Hassan ni mgombea bora?
Ukweli ni kwamba Tanzania hatujawahi kuwa na mgombea wa Urais Mwanamke serious ila Sasa 2025.
Wanawake wa Tanzania kwa mara ya kwanza watapata fursa ya kumchagua mwanamke mwenzao.
Tukumbuke 75% ya wapiga kura wote wanaofika kwenye kituo cha kupigia kura na wanaopiga kura ni wanawake.
Tayari Chama Cha Mapinduzi CCM kikanuni kimeshamaliza Uchaguzi wake wa ndani ya Chama sasa wanajipanga kwaajili ya Oct 2030.
Tunafahamu, Chama Cha Mapinduzi CCM kinautamaduni wa kila Rais kuhudumu kwa vipindi viwili vya miaka 5 Kila kimoja.
Hivyo mwaka 2025 ndani ya CCM kutakuwa na form moja tu ya mgombea Urais ambae ni Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan.
Nakwakuwa nchi hii ni nchi ya vyama vingi vya Siasa.
Leo naweka majina ya Wanachama 10 toka Upinzani ( CHADEMA ).
Hawa ndio wanaotajwa tajwa wanayo misuli ya kutoshana nguvu na Mgombea wa Chama tawala Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan.
=====
#01. Mhe Catherine Nyakao Ruge
#02 Mhe John Wegesa Heche
#03 Mhe Tundu Antipus Lisssu
#04 Mhe Freeman Aikael Mbowe
#05 Mhe Rev. Peter Msigwa
#06 Mhe John John Mnyika
#07 Mhe Zitto Zuberi Kabwe ( cross Party )
#08 Mhe Joseph Mbilinyi ( Sugu )
#09 Mhe Halima James Mdee
#10 Mhe Luhaga Mpina ( cross Party )