Katibu wa NEC Itikadi ,Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa,
Mhe Amos Makalla, amesema chama Cha Mapinduzi CCM kitakuwa mstari wa mbele katika kutekeleza kwa vitendo haki, usawa na wajibu.
Nia ya CCM Tanzania kuwa na uchaguzi ulio huru, wa haki na wenye kuaminika.
Ndg Makalla...
Hongera kwa Kila Raia wa Tanzania kwa kukuza Uchumi wako binafsi,
Hii GDP inapatikana kwa kugawa jumla ya uchumi wa mtu mmoja mmoja kwa jumla ya Idadi yetu.
#Samia hakamatiki
====
Below are the 10 largest economies in Africa in 2024 according to IMF by GDP:
Rank
Country
GDP (billions)
1...
Na Mwandishi Wetu, Musoma
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kupitia Makamu Mwenyekiti wake Tanzania Bara, Abdulurahman Kinana amesema Rais Dk. Samia Suluhu Hassan anafanya mambo makubwa ya maendeleo kwa Watanzania ikiwamo kuongeza mapato ya Serikali bila ya wananchi kushurutishwa au kuporwa fedha...
Na Mwandishi Wetu, Mara
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Abdulrahman Kinana ameeleza kuwa, ni vema Watumishi, wataalamu wa serikali kutotoa ahadi ambazo wanajua hazitatekelezeka au utekelezaji wake utachukua muda mrefu kukamilika kwani imekuwa ikikwamisha shughuli...
Na Mwandishi Wetu, Serengeti
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Abdulurhaman Kinana amepokea malalamiko mbalimbali yakiwemo madai ya mauaji ya wananchi katika hifadhi ya Serengeti mkoani Mara.
Amesisitiza kuwa hakuna mwenye haki ya kukatisha uhai wa mtu mwingine...
Akizungumza katika maadhimisho ya miaka mitatu ya Uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan Mkurugenzi Mkuu wa Ubia nchini PPP Mhe David Kafulila amesema,
Nchi ya Tanzania kwa awamu hii ya sita imeamua kujikita zaidi kwa kuwekeza kwenye Sekta ya Kilimo ambayo...
Hii ndio taarifa iliyochapishwa kwenye tovuti ya NMB PLC,
Binafsi imenivutia na haya moja kwa Moja ni matokeo ya Sera Bora na rafiki za Mama yetu Dkt Samia Suluhu Hassan, tunakwenda nae Mpaka 2030.
Hiki ni kiashiria muhimu kinachoonesha kuwa uchumi wa Tanzania unakua kwa kasi sana...
KINANA AMPONGEZA RAIS SAMIA
KUMUENZI BIBI TITI KWA VITENDO
Na Mwandishi Wetu
MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Abdulrahman Kinana, amempongeza Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuchukua dhima na dhamana ya kumuenzi Bibi Titi Mohamed kwa vitendo.
Kinana amesema uamuzi wa Rais Dkt. Samia...
===
Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Chama Cha Mapinduzi (CCM), imeelekeza kupatiwa ufumbuzi wa haraka wa kero ya kukatika kwa umeme, upungufu wa mafuta ambao huwa unajitokeza ingawa si mara kwa mara na changamoto ya bei ya mazao ya kilimo.
Pia, katika kikao cha NEC kilichofanyika...
Kwa haraka moja kwa moja kwenye hoja,
Kasi ya Waziri wa TAMISEMI Mhe Mohammed Omary Mchengerwa inaleta matumaini mapya kwa Watanzania hasa wanyonge na walalahoi huko vijijini.
Kwasasa Tanzania inahitaji Viongozi aina ya huyu kijana ambaye ni jasiri na shupavu asiyependa sifa,kujisifia Wala...
#CCM BABA LAO,
Matokeo ya uchaguzi mdogo wa kiti cha ubunge Jimbo la Mbarali mkoani Mbeya yametangazwa,
Mgombea ubunge kupitia CCM Bi. Bahati Ndingo ameibuka mshindi kwa kura elfu 44,334 dhidi ya mpinzani wake wa karibu kutoka chama cha ACT Wazalendo Bw. Dickson Kilufi, aliyepata kura...
Habari Njema sana,
MAKAMU Mwenyekti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa Upande wa Bara Abdulrahaman Kinana amewaambia wananchi wa Wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya kuwa Rais Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan amekubali ombi lao la kuendelea na shughuli za kilimo na ufugaji katika eneo lililozuiwa kupitia...
Kazi inaendelea vizuri,
Tume ya Taifa ya Uchaguzi ilitangaza Uchaguzi Mdogo wa Ubunge Jimbo la Mbarali kufuatia kifo cha Mbunge Marehemu Francis Mtega (CCM) pamoja na Kata 6 za Tanzania Bara utakaofanyika kesho tarehe 19 Septemba mwaka 2023.
Kwa mujibu wa NEC kata zitakazofanya uchaguzi...
Mkuu wa Wilaya ya Kilosa Mhe Shaka Hamdu Shaka akimshukuru Rais Dkt Samia Suluhu kwa niaba ya Wananchi Wa Kilosa kwa kuwapatia daraja,
BILIONI 7 ZA DKT SAMIA SULUHU HASSAN KUTUMIKA UJENZI WA DARAJA LA BEREGA, KILOSA MKOANI MOROGORO
===
Wananchi wa Berega, wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro...
Tanzania inahitaji viongozi wanaothubutu kuchukua hatua Kama kijana huyu,
Pesa zinatafutwa kwa shida Sana na Rais wetu Dkt Samia Suluhu Hassan lakini zinatumiwa vibaya na baadhi ya Watendaji wasio na huruma Wala haya,
Tunahitaji kuona viongozi wote wakisimamia vizuri pesa za umma hata kama...
Wanafunzi 1,000 wanufaika na msaada wa vifaa vya shule vyenye thamani ya tsh. milioni 32 kutoka kwa Mariam Ditopile Mbunge wa Viti Maalum kupitia CCM mkoani Dodoma.
Mbunge viti Maalum Mkoa wa Dodoma anayetokana na Jumuiya ya Wanawake Tanzania (UWT) Mariam Ditopile amewawezesha wanafunzi wenye...
Mamia wakifurahia na kuwapokea viongozi waliongozwa na Katibu Mkuu wa CCM Taifa Ndg Daniel Chongolo
Katibu mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Ndg Daniel Chongolo akiambatana na Katibu wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa Itikadi & Uenezi Ndg Sophia Mjema pamoja na Ndg Issa Haji Gavu Katibu wa...
===
Tofauti kabisa na minongo'no na matarajio ya wengi kuwa huenda Mhe Shaka Hamdu Shaka hakufurahishwa kwa kuondolewa kwake kwenye Chama na kuteuliwa kuwa Mkuu Mpya wa Wilaya ya Kilosa akiondolewa kwenye nafasi hiyo ndani ya Chama aliyeihudumu kwa karibu Miaka miwili,
Hatimaye Leo Mbele ya...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana, amekutana na kufanya Mazungumzo na, Balozi wa Algeria nchini Tanzania Ahmed Djellal alipofika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo Januari 17, 2023.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.